kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Ndoto nyingine ni operation maalum ya saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo 🏃 🏃 🏃 🏃Kumbe wewe ni msomaji wa ndoto.
Basi na Mimi nasoma ndoto ya NATO kua walidhani wataishinda Urusi kupitia Ukraine Kwa kushirikiana Mataifa 59 kijeshi na kivikwazo lakini matokeo yake wamameamua kuungana na Urusi.
Sasa kama Ukraine ni mwamba apigane peke yake bila USA.
Hata Trump Jana kasema Ukraine bila USA Putin angeshaichukua Kiev mapema TU.
Lakini Sasa Urusi ni ya nne kiuchumi.
Haya leta ndoto nyingine nami nije na nyingine.