Huo ndiyo ukweli, wamegundua hawana tena kete ya kucheza!Ninahisi pia hii issue ya kusitisha vita kwa siku 30 huenda ni ujanja wa west na Ukraine kutaka askari waliozingirwa kule Kursk wasiangamizwe
kp kipanya44 kama msemaji wa Kiev anasemaje kuhusu hili la kuzingirwa kwa majeshi ya Ukraine huko Kursk?Thousands of Ukrainian soldiers have been surrounded by Russian forces and are in a vulnerable situation, said U.S. President Donald Trump during a phone conversation with Russian leader Vladimir Putin, APA reports.
He said that he asked Putin to pardon the surrounded Ukrainian soldiers: "Now thousands of Ukrainian soldiers are in Russia’s siege. I have seriously requested President Putin to have mercy on their lives. This would be a horrific massacre not seen since World War II. May God protect them all."
Trump asks Putin to pardon besieged Ukrainian soldiers
Trump asks Putin to pardon besieged Ukrainian soldiersen.apa.az
Mara zote tangu vita za dunia mpaka muda huu Urusi, imebaki kua mwalimu wa vitendo kwenye viwanja vya wanaojiita watawala wa dunia..
Majibu ya PUTIN
Hahaa huu mtego nimeulewa, Putin ni bonge la Prezidaa, akili mingi sana!!Majibu ya PUTIN
FULL Putin response to Trump's appeal on behalf of encircled Ukrainian soldiers
At today's Security Council meeting, Putin stated that he 'understands' Trump's plea — it can only be fulfilled if Kiev orders its troops to SURRENDER
Dah, roho ya Paka!Ni mwendo wa kipondo tu🏃
Ukrainian drones strike Russian gas facilities, air defense missile depot, source claims
Ukraine's Security Service (SBU) drones struck two gas compressor stations and a warehouse storing missiles for Russia's S-300/S-400 air defense systems, a security source told the Kyiv Independent.kyivindependent.com
Kumbe anataka wa Kursk peke yao ndo wasarende, nikajua askari wote wa UkraineNi kusuka ama kunyoa!
Putin urges Kiev to order troops in Kursk Region to surrender
14 Mar, 2025 17:00
Putin urges Kiev to order troops in Kursk Region to surrender
President Vladimir Putin has called on Kiev to tell its forces in Russia’s Kursk Region to surrender so that their lives can be savedwww.rt.com
Mbona kama wanapenda sana kumpangia putini Nini afanyeSisi tunataka Zelensk mwenyewe aje kupiga goti Urusi ili vijana wake wawe salama tofauti na hapo ni wakati wa watengeneza majeneza kupiga pesaView attachment 3270505
Na kujisimika AfrikaUkraine ameshapata medali zake muhimu alizokuwa anafukuzia kwa udi na uvumba
1.resume flowing of military aid
2.intelligence sharing from USA
3.Access to satellite images
Kwa Ukraine hata akipigana miaka 10 hii si tatizo kwake, sanasana urusi atazidi kupoteza ushawishi kama alivofurushwa huko syria
Hapo trump anajua hapo kuna wanajeshi wake kutoka usa na ulaya ndo anawaombea msamaha
.Katika watu walioamia kuwa wehu kwa makusudi hakuna anayekufikia
Katika hizo nchi zote ulizozitaja unaweza kutuambia zimetumia kiasi cha pesa kuisaidia Russia mpaka sasa? Kama ni silaha mpaka sasa amepatiwa msaada wenye thamani kiasi gani?
Usije na habari za drone za shahed, maana hizo zilinunuliwa. Pia military chips za china zilinunuliwa.
Pia unaposema Ukraine ni taifa dogo unamaanisha nini?
Je, unafahamu kwamba kwa ulaya nzima Ukraine ni taifa la pili kwa ukubwa likitanguliwa na Russia?
Je, unafahamu kwamba Ukraine ndio nchi ya pili kwa jeshi kubwa ulaya ikitanguliwa na Russia?
Je, unafahamu kuwa Ukraine kabla ya hii SMO Jeshi lao lilikuwa la 9 duniani kwa ukubwa wa bajeti, wakati Russia ikiwa ya 3?
Sasa nchi ya 2 kwa ukubwa kieneo, ya 2 kwa ukubwa wa jeshi na ya 9 duniani kwa ukubwa wa bajeti ya kijeshi inapewa msaada wa intelijensia na mataifa 10 bora kiintelijensia, inapewa msaada wa zana za kijeshi na nchi 34 na unategemea iwe ya kinyonge? Unategemea ishindwe kirahisi?
Bila kusahau Ukraine inapigana ikiwa haina vikwazo vyovyote wakati huo huo Russia ikiwa na vikwazo lukuki.
Bila shaka Yoyote ile NATO na mataifa yote yanayoisaidia Ukraine hayakutegemea Russia iwe na uwezo wa kupigana kwa muda mrefu mpaka sasa ndio maana hata Trump amekuja na mpango wa kumaliza vita ili wasiendelee kuingia gharama zaidi.
Ilichokifanya Russia mpaka sasa sidhani kama kuna taifa duniani linaweza kukifanya. Hata wao Russia wanaendelea na vita kwasababu ya Ubishi na ufahari wa kushinda vita
⚡Ukraine was the second most powerful military in Europe by far in 2022.Katika watu walioamia kuwa wehu kwa makusudi hakuna anayekufikia