LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Thousands of Ukrainian soldiers have been surrounded by Russian forces and are in a vulnerable situation, said U.S. President Donald Trump during a phone conversation with Russian leader Vladimir Putin, APA reports.
He said that he asked Putin to pardon the surrounded Ukrainian soldiers: "Now thousands of Ukrainian soldiers are in Russia’s siege. I have seriously requested President Putin to have mercy on their lives. This would be a horrific massacre not seen since World War II. May God protect them all."
kp kipanya44 kama msemaji wa Kiev anasemaje kuhusu hili la kuzingirwa kwa majeshi ya Ukraine huko Kursk?
 
1741970316890.png
 
Russia amekua na tabja ya kuripoti nusu ya idadi ya askari wa adui waliouawa na majeshi ya Russia hpia maeneo anayoteka na husema baada ya masaa 72. Ukraine ana tabia ya kuzidisha data mara mia mbili na huwahi kusema hata kabla ya tukio. Hivyo ndio maana huwezi kuta nabishana na KP . Data halisi ni makaburi ya wa ukraine
 
Majibu ya PUTIN

FULL Putin response to Trump's appeal on behalf of encircled Ukrainian soldiers

At today's Security Council meeting, Putin stated that he 'understands' Trump's plea — it can only be fulfilled if Kiev orders its troops to SURRENDER
Hahaa huu mtego nimeulewa, Putin ni bonge la Prezidaa, akili mingi sana!!
 
Ukraine ameshapata medali zake muhimu alizokuwa anafukuzia kwa udi na uvumba

1.resume flowing of military aid

2.intelligence sharing from USA

3.Access to satellite images

Kwa Ukraine hata akipigana miaka 10 hii si tatizo kwake, sanasana urusi atazidi kupoteza ushawishi kama alivofurushwa huko syria
Na kujisimika Afrika
Kwa mataifa mbalimbali
Hadi Ivory Coast na Senegal
 
Katika watu walioamia kuwa wehu kwa makusudi hakuna anayekufikia
Katika hizo nchi zote ulizozitaja unaweza kutuambia zimetumia kiasi cha pesa kuisaidia Russia mpaka sasa? Kama ni silaha mpaka sasa amepatiwa msaada wenye thamani kiasi gani?

Usije na habari za drone za shahed, maana hizo zilinunuliwa. Pia military chips za china zilinunuliwa.

Pia unaposema Ukraine ni taifa dogo unamaanisha nini?
Je, unafahamu kwamba kwa ulaya nzima Ukraine ni taifa la pili kwa ukubwa likitanguliwa na Russia?

Je, unafahamu kwamba Ukraine ndio nchi ya pili kwa jeshi kubwa ulaya ikitanguliwa na Russia?

Je, unafahamu kuwa Ukraine kabla ya hii SMO Jeshi lao lilikuwa la 9 duniani kwa ukubwa wa bajeti, wakati Russia ikiwa ya 3?

Sasa nchi ya 2 kwa ukubwa kieneo, ya 2 kwa ukubwa wa jeshi na ya 9 duniani kwa ukubwa wa bajeti ya kijeshi inapewa msaada wa intelijensia na mataifa 10 bora kiintelijensia, inapewa msaada wa zana za kijeshi na nchi 34 na unategemea iwe ya kinyonge? Unategemea ishindwe kirahisi?

Bila kusahau Ukraine inapigana ikiwa haina vikwazo vyovyote wakati huo huo Russia ikiwa na vikwazo lukuki.

Bila shaka Yoyote ile NATO na mataifa yote yanayoisaidia Ukraine hayakutegemea Russia iwe na uwezo wa kupigana kwa muda mrefu mpaka sasa ndio maana hata Trump amekuja na mpango wa kumaliza vita ili wasiendelee kuingia gharama zaidi.

Ilichokifanya Russia mpaka sasa sidhani kama kuna taifa duniani linaweza kukifanya. Hata wao Russia wanaendelea na vita kwasababu ya Ubishi na ufahari wa kushinda vita
.
 
Attachments

  • 19137964_gl3j2uw8aasfy_jpeg_jpeg1a8f23cd6ec590f94fbacef53a9441d6.jpg
    19137964_gl3j2uw8aasfy_jpeg_jpeg1a8f23cd6ec590f94fbacef53a9441d6.jpg
    22.1 KB · Views: 1
Katika watu walioamia kuwa wehu kwa makusudi hakuna anayekufikia
Katika hizo nchi zote ulizozitaja unaweza kutuambia zimetumia kiasi cha pesa kuisaidia Russia mpaka sasa? Kama ni silaha mpaka sasa amepatiwa msaada wenye thamani kiasi gani?

Usije na habari za drone za shahed, maana hizo zilinunuliwa. Pia military chips za china zilinunuliwa.

Pia unaposema Ukraine ni taifa dogo unamaanisha nini?
Je, unafahamu kwamba kwa ulaya nzima Ukraine ni taifa la pili kwa ukubwa likitanguliwa na Russia?

Je, unafahamu kwamba Ukraine ndio nchi ya pili kwa jeshi kubwa ulaya ikitanguliwa na Russia?

Je, unafahamu kuwa Ukraine kabla ya hii SMO Jeshi lao lilikuwa la 9 duniani kwa ukubwa wa bajeti, wakati Russia ikiwa ya 3?

Sasa nchi ya 2 kwa ukubwa kieneo, ya 2 kwa ukubwa wa jeshi na ya 9 duniani kwa ukubwa wa bajeti ya kijeshi inapewa msaada wa intelijensia na mataifa 10 bora kiintelijensia, inapewa msaada wa zana za kijeshi na nchi 34 na unategemea iwe ya kinyonge? Unategemea ishindwe kirahisi?

Bila kusahau Ukraine inapigana ikiwa haina vikwazo vyovyote wakati huo huo Russia ikiwa na vikwazo lukuki.

Bila shaka Yoyote ile NATO na mataifa yote yanayoisaidia Ukraine hayakutegemea Russia iwe na uwezo wa kupigana kwa muda mrefu mpaka sasa ndio maana hata Trump amekuja na mpango wa kumaliza vita ili wasiendelee kuingia gharama zaidi.

Ilichokifanya Russia mpaka sasa sidhani kama kuna taifa duniani linaweza kukifanya. Hata wao Russia wanaendelea na vita kwasababu ya Ubishi na ufahari wa kushinda vita
⚡Ukraine was the second most powerful military in Europe by far in 2022.

Ukraine in 2022 had armored brigades that were the best in the world and would have been extremely difficult for a US Army equivalent to defeat.
 
Back
Top Bottom