President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Mzee nakushauri ufuatilie comments zangu. Usijiingize kichwa kichwa. Huwa sijadiliani na stupid.A 3.8ton missileView attachment 2154582View attachment 2154583
😄😄😄😄😄😄Wachambizi wenye akili kama akina Malcom lumumba, the bold nk wapo kimya sana. Kila tukichungulia uzi tunakuta 'viazi' kama ganga zumba na wapumbavu wengine. Wao ni hisia mbele za kushabikia watu. Wakiangalia movies za nje basi wanaleta hisia kwenye uhalisia.
Inasikitisha JF wapumbavu kutawala.
Urusi kawapa sana silaha wateleban awaue wanajeshi wa Marekani na NATO kipindi cha vita ya Afghanistan mpaka Marekani wakaanza kulialiaNATO haijawahi ivamia Russia usilete mambo ya Simba na Yanga kwenye vita. Yani umekaa hapo umejipanga kushabikia, kama unataka wapigane iambie Russia iwavamie.
NATO inaiogopa Russia haijavamia, mbona NATO inatoa silaha Russia apigwe. Russia naye atoe silaha ili NATO apigwe, aanze na hilo ili aendelee kujipanga na vita
Hahahaha kwamba wewe ni afisa wa FSB au?!Mzee nakushauri ufuatilie comments zangu. Usijiingize kichwa kichwa.
Alambwe chuma baada kutoa information[emoji298]️Polish soldier Emil Chechko found hanged in Minsk.
It is reported by the IC of Belarus.
View attachment 2154222
Ambacho unajifanya hujui ni kwamba US ndio aliwapa silaha Mujahideen tena kwa waziwazi na kwa shipments nyingi waitoe Soviet Union hapo Afghanistan. Zile helikopta zao zilizokuwa zinadondoka ni kazi ya Stinger MANPADS from US arsenal. Mambo ya kawaida haya, hata leo Marekani anatoa silaha waziwazi kabisa kwa Ukraine na anatangazaUrusi kawapa sana silaha wateleban awaue wanajeshi wa Marekani na NATO kipindi cha vita ya Afghanistan mpaka Marekani wakaanza kulialiaView attachment 2154594View attachment 2154595
Narudia tena. Ukiwa unajadiliana na mimi leta facts siyo stori za vijiweni na umbea.Hahahaha kwamba wewe ni afisa wa FSB au?!
Humu nipo tangu huu mjadala unaanza mpaka Leo na sio kwamba nimeingia Jana au Leo nasoma updates karibu zote zikiwemo Hot news za huyo jamaa anayeiita NYUNDO YA MOTO
Belarus yuko upande upi?Sijui tunatambua mrusi anapigana na zaidi ya jeshi la Ukraine
Ww ndo unaleta umbea badala ya kujibu hoja.Narudia tena. Ukiwa unajadiliana na mimi leta facts siyo stori za vijiweni na umbea.
Hayo majengo ya watoto yanatakiwa yalipuliwe yote magaidi ya Ukraine yanajificha humo
Huyu atakatwa mikono tu si vingine
ni rafiki wa mrusi ila hajatuma majeshi wala silaha... ila wamagharibi wameingiza majeshi ya "kujitolea" na silaha kibaoBelarus yuko upande upi?
Ha ha ha GANGA ZUMBA kweli ni kiazi.Wachambizi wenye akili kama akina Malcom lumumba, the bold nk wapo kimya sana. Kila tukichungulia uzi tunakuta 'viazi' kama ganga zumba na wapumbavu wengine. Wao ni hisia mbele za kushabikia watu. Wakiangalia movies za nje basi wanaleta hisia kwenye uhalisia.
Inasikitisha JF wapumbavu kutawala.
Nahisi tatizo wanamsikiliza zelinsky aliejichimbia... mrusi anawapa nafasi kuondoka, wengine wanatishiwa wasiondoke - wengine wanaamini unafiki wa taarifa za habari "eti mtashinda, dunia inawaunga mkono"Hayo majengo watoto yanatakiwa yalipuliwe yote magaidi ya Ukraine yanajificha humo
Tulishakubaliana Wasoviet wataondoka baada ya Ukraine kuwa majivuHawa UKRAINE wasipokuwa makini hii miji yao inaenda kuwa kama Aleppo au Grozny. Nimeona hata US sekretari ametilia shaka mbinu wanazotumia URUSI.
Ubishi wa Zelenskyy utawacost wenyewe.
Na sio ubishi tu wa Zelensky.... Ongezea kabisa Jamii ya Nyuma ya Pazia inayom-control Zelensky... Ambao hawana habari kabisa na nn kilichopo nchin apo na kwa Raia hao zaidi ya matakwa yao kukamilika....Hawa UKRAINE wasipokuwa makini hii miji yao inaenda kuwa kama Aleppo au Grozny. Nimeona hata US sekretari ametilia shaka mbinu wanazotumia URUSI.
Ubishi wa Zelenskyy utawacost wenyewe.
Utaratibu ni uleule kuirudisha Ukraine iwe kama kijana bachela anayeanza maisha na kigodoroNahisi tatizo wanamsikiliza zelinsky aliejichimbia... mrusi anawapa nafasi kuondoka, wengine wanatishiwa wasiondoke - wengine wanaamini unafiki wa taarifa za habari "eti mtashinda, dunia inawaunga mkono"
hao jamaa vichaa kabisa 😂😂 halafu ujiwashinda kwa hoja wanakimbilia matusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo nyie mkiambiwa ukweli mnabisha lkn mkisema nyie mnataka tukubali.