myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaAmbacho unajifanya hujui ni kwamba US ndio aliwapa silaha Mujahideen tena kwa waziwazi na kwa shipments nyingi waitoe Soviet Union hapo Afghanistan. Zile helikopta zao zilizokuwa zinadondoka ni kazi ya Stinger MANPADS from US arsenal. Mambo ya kawaida haya, hata leo Marekani anatoa silaha waziwazi kabisa kwa Ukraine na anatangaza View attachment 2154602
huna akili nakuletea vitu toka source za frontline kaa na kamasi zako pia siko kwa ajili ya kufurahisha upande wakoWachambizi wenye akili kama akina Malcom lumumba, the bold nk wapo kimya sana. Kila tukichungulia uzi tunakuta 'viazi' kama ganga zumba na wapumbavu wengine. Wao ni hisia mbele za kushabikia watu. Wakiangalia movies za nje basi wanaleta hisia kwenye uhalisia.
Inasikitisha JF wapumbavu kutawala.
Wanataka habari za kuwapendeza wao tu. Ww ukileta wanakwambia propaganda [emoji23][emoji23]hao jamaa vichaa kabisa [emoji23][emoji23] halafu ujiwashinda kwa hoja wanakimbilia matusi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huna akili nakuletea vitu toka source za frontline kaa na kamasi zako pia siko kwa ajili ya kufurahisha upande wako
kanywe gahawha ulale
Watakwambia Propaganda [emoji23]Ambacho unajifanya hujui ni kwamba US ndio aliwapa silaha Mujahideen tena kwa waziwazi na kwa shipments nyingi waitoe Soviet Union hapo Afghanistan. Zile helikopta zao zilizokuwa zinadondoka ni kazi ya Stinger MANPADS from US arsenal. Mambo ya kawaida haya, hata leo Marekani anatoa silaha waziwazi kabisa kwa Ukraine na anatangaza View attachment 2154602
mimi siwafuatilizi namwaga madude naendelea na mambo yangu ila baadae unaona mbwa wa kirusi ya buza anabweka kwenye komenti naishia kucheka tu 😂😂Wanataka habari za kuwapendeza wao tu. Ww ukileta wanakwambia propaganda [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bampa to bampamimi siwafuatilizi namwaga madude naendelea na mambo yangu ila baadae unaona mbwa wa kirusi ya buza anabweka kwenye komenti naishia kucheka tu [emoji23][emoji23]
Mzee nakushauri, hebu jifunze kwanza. Usilazimishe vitu vya uongo viwe ukweli.Ww ndo unaleta umbea badala ya kujibu hoja.
atakwambia ni Western propaganda.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo nyie mkiambiwa ukweli mnabisha lkn mkisema nyie mnataka tukubali.
Kama silaha zipi?![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee nakushauri, hebu jifunze kwanza. Usilazimishe vitu vya uongo viwe ukweli.
Mzee kuna silaha zikitumiwa dunia yote itainuka.
Nakushauri, ondoa ujinga ndio uje hapa.
ukiwauliza tuwekee source hapa anakultea viscreen shot kutoka websites uchwara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bampa to bampa
🤣 tena kigodoro cha kuazima kishachanikia vitaniUtaratibu ni uleule kuirudisha Ukraine iwe kama kijana bachela anayeanza maisha na kigodoro
Iskander ule mdude wote una uzito wa kilo 4,615 kg namaanisha the whole system.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo nyie mkiambiwa ukweli mnabisha lkn mkisema nyie mnataka tukubali.