Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hahahaha unachekesha kweli wewe urusi hawezi shinda hii vita kiufupi urusi ni kubwa jinga miaka 4 anahangaishwa na ka nchi kama Ukraine halafu aje ashinde Sasa hivi hahahahah supa pawa wa mchongo huyu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Marekani alihangaishwa miaka mingapi na Vietnam? Je Vietnam na Ukraine ipi ni nchi kubwa kiuchumi, kijeshi ja kieneo?
 
Jamani msimjibu huyo jamaa muacheni tu kama alivyo ,maana ni wazi kabisa maumivu ya kipigo anachopewa Ukraine yamemzidia mpaka amechanganyikiwa.....messages zake zina emoji za vicheko ila nafsini mwake analia kwa uchungu
Hahahaha kweli mmepagawa yaani kichapo anachotembeza Ukraine kubwa jinga urusi miaka 4 linajamba Jamba tu na hii vita ilipofikia patamu Ukraine akidhidisha kichapo kidogo tu anaibeba nchi inayojiita supa pawa kumbe wa mchongo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ningekuwa mie ndio putin kila jengo la serekali lazima liwe kifusi pale kiev. Ule usenge waliofanya ndani ya russia kupiga airbase na kulipua daraja la cremia wanapaswa kulipa.
Israiel ndio mabingwa wa kukomesha. Hamas washapata walichokitaka, na wanaendelea kupewa. Akaja Hizzbolah na wakaonyeshwa kwamba hupaswa kucheza na sharubu ya Simba. Yemen nae tayari kashapokea dose yake.
Putin unatuangusha sana sie Mashabiki zako.
Nenda mbali, mwinde mpaka huyo shoga Zele. Mbona israel wanawauwa viongozi wa vikundi vya kigaidi? Unakwama wapi mzee babaaah aaarrgghhhh....
Hata hii respond sijaielewa bado.
 
Kwa jinsi TU unavyoeleza inaonesha uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana.
Haya mambo Yako juu ya uwezo wako.
Sijajua kama shida Yako ni Elimu,umri au ni athari za hizo sinema za Hollywood,au pengine ni ujinga wa kawaida wa kutokuelewa mambo au pengine ni utoto TU na kujaribu kurukia mambo yaliyokuzidi ufahamu.
 
Putin sio kichaa kama Netanyahu anaeua mamia kwa mamia ya wanawake na watoto kwa makombora mazito huko Gaza.

Zelensky nae kwa ujinga uleule nae aweka vifaa na silaha kwenye maeneo ya makazi ili Russia alaumiwe kwa kuua watu.

Lakini angalia idadi ya watu wanokufa baada ya mashambulizi ya Russia kwenye military targets zake. Hivyo ni kwasababu wale majasusi wa Russia ndani ya Ukraine (saboteurs) hutakiwa kutoa data sahihi zikisaidiwa na zile Data za picha za satelite.

Anokifanya Ukraine na wafadhili wake kwa sasa (NATO) ni kujaribu kuwaondoka Russia kwenye reli ili warudi kwenye sehemu ambazo tiyari walikwishapita na wamefanya installations ya mitambo.

Jambo lingine ni kwamba Russia imepanga katika siku chache sijazo kufanya mashambulizi makubwa ambayo yataleta athari kubwa sana kwa Kyiv.

Na maeneo yenye shughuli za SBU (majasusi wa Ukraine) huenda yakashambuliwa kwa makombora ya masafa ya kati au "intermediate-range ballistic missiles".

Hali haitakuwa nzuri kwa Ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…