Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🇷🇺🇺🇦The footage shows an Iskander missile strike on a Ukrainian military-industrial complex facility in Chuguev. According to local media, the facility was civilian, but...

According to information from a source:
This workshop was used to manufacture and assemble UAVs for the Ukrainian Armed Forces with an increased flight range.
 

Attachments

  • VID_20250628_105537_981.mp4
    4.7 MB
Russia conducted its largest combined strike series of the war on the night of June 28 to 29 by launching over 500 missiles and drones against Ukraine.

June 29, 2025, 3:30 pm ET

 
Pilot aliyekufa alikuwa mzoefu saana.

Ila hawa jamaa bwana badala yakusema ndege imedunguliwa wao wanasema pilot amekufa. How about the f-16??


F-16 ya tatu hiyo inaharibiwa.
 

Attachments

  • Screenshot_2025-06-30-08-13-18-149_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
    212.3 KB · Views: 23
Basi sawa, yeye kasema.
 
Hata mim nawazaga khs hili sipati picha kamili
Yaani kwamba Russia let say anaitawala mikoa kadhaa

Mfano, kama ndio ameivamia tz

Let's say anaitawala kigoma Kagera mwanza na mara....

Hahah very hard work

Ila nimesoma kwenye website ya institute study of war Naona kwenye maeneo ambayo ameyachukua anajenga infrastructures anaanzisha program za kuwabadilisha raia altitudes watoto wanakuwa na program mbali mbali za kuwakuza wakiipenda urusi

Ngoja tuone mwisho itaishaje
 
Jamani msimjibu huyo jamaa muacheni tu kama alivyo ,maana ni wazi kabisa maumivu ya kipigo anachopewa Ukraine yamemzidia mpaka amechanganyikiwa.....messages zake zina emoji za vicheko ila nafsini mwake analia kwa uchungu
Kipanya et al ....ni wa kuwaacha ..... Ndio walewale tunaosema ...wanawasifia Finland walishinda dhidi ya Urusi wakati lilipo Jiji la St.Petersburg ilikuwa ardhi ya finland walipokubali kuachia 10% ya ardhi ndio urusi akasitisha kichapo..Sasa Ukraine zaidi ya majijibma5 makubwa yamechukuliwa na mtu anakaza fuvu Urusi kafeli ..huyo mtu Hana kichwa ana mfuniko wa shingo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…