Ni kweli sio tu situmii bali sina kabisa,Watu wengine hamtumii akili zenu vizuri!! Russia kwenye uwanja wa vita kalemewa sana sasa anageukia kupiga miji na kuua raia kwa visingizio mbalimbali.
Na si kweli kuwa anapiga malengo ya kijeshi kambi za kijeshi zinajulikana hazikai mijini na tunaona anapiga makazi ya Raia ambao hawana silaha!!!
Mkuu unajadiliana na psychopath hapo!Ni kweli sio tu situmii bali sina kabisa,
Wewe mwenye akili, naomba nikuulize;
Kwani hauwezi kuweka military facilities kwenye civilian residence?
Kwa mfano drone assembling.
Katika shambulio lililofanywa juzi, mmoja wapo ya kilichoshambuliwa ni Poland embassy pale kiev ambapo walikuwa wanaficha makombora na ku traine merceneries, je hiyo embassy haikuwa kwenye residential area?
Je ile UK Visa center iliyokuwa inatumika kama base ya UK special forces na military equilment storage hasa kwa missile, drone na mine haikuwa resudential area?.
Kwa wewe mwenye akili je hapa dar ni kambi ngapi za jeshi ziko around na makazi ya watu, ukitokea mlipuko, je walioko jirani hawapati madhara,?
Rejea mabomu ya mbagala na gongo la mboto.
Alafu pia usisahau asilimia 80, ya silaha anazotumia Ukraine kwa kipindi hiki hazarishi yeye bali ni kutoka kwenye nchi zaidi ya 50+ (US, EU, na nato members ambao ni non EU mfano Turkey Canada, South Korea, Japan, Israel, Poland n.k).
Ukisema kashindwa, je ame concede defeat na kuomba mazungumzo au lah?
Ukija field anapoteza au ana gain?
Military cabability anakuwa stronger au anashrink?
Kwako mwerevu naomba kuelimishwa na mimi nitoke kwenye ujinga, kwa kuzingatia kauli yako ya situmii akili.
Asante
Kwa mazingira ya Kiev haiwezekani kuweka facilities za kijeshi kwenye maeneo ya mji huo kwa sababu mji huo ulijengwa zamani kwa akili ya makazi ya raia leo hii ukijua kusema kuweka facilities za kijeshi itakuwa ni vigumu maana itabidi ubomoe tena makazi ya raia ili kuweka facilities tajwa kwa mazingira hayo si kweli!!!!Ni kweli sio tu situmii bali sina kabisa,
Wewe mwenye akili, naomba nikuulize;
Kwani hauwezi kuweka military facilities kwenye civilian residence?
Kwa mfano drone assembling.
Mambo mengine ni ya wazi kabisa kama unatumia akili yako vizuri!! Kwenye Ubalozi kuna sheria za Kimataifa zinazolinda balozi hizo na kuna miiko ya vitu kama vile kuficha makombola na eti na ku Traine mercenaries huo ni uongo huwezi kutumia Ubalozi kuwa kambi ya kijeshi kufundishia watu wajinga tu na wapumbavu wataamini upuuzi huo!!!Katika shambulio lililofanywa juzi, mmoja wapo ya kilichoshambuliwa ni Poland embassy pale kiev ambapo walikuwa wanaficha makombora na ku traine merceneries, je hiyo embassy haikuwa kwenye residential area?
Je ile UK Visa center iliyokuwa inatumika kama base ya UK special forces na military equilment storage hasa kwa missile, drone na mine haikuwa resudential area?.
Sisi wenye akili tunajua Kiev siyo Dar na istoshe hata hapa Dar na maeneo mengine kambi hizo zilikuwa nje ya mji raia ndiyo wamezivamia kadri miaka inavyozidi lakini hapo mwanzo kambi hizo zilikuwa mbali na raia waulize babu zako wakuambiaKwa wewe mwenye akili je hapa dar ni kambi ngapi za jeshi ziko around na makazi ya watu, ukitokea mlipuko, je walioko jirani hawapati madhara,?
Rejea mabomu ya mbagala na gongo la mboto.
Alafu pia usisahau asilimia 80, ya silaha anazotumia Ukraine kwa kipindi hiki hazarishi yeye bali ni kutoka kwenye nchi zaidi ya 50+ (US, EU, na nato members ambao ni non EU mfano Turkey Canada, South Korea, Japan, Israel, Poland n.k).
Huko Ukraine Russia hajaweza kuchukua jimbo lolote zima amechukua nusu nusu tu na ndiyo maana hata kupata ushindi ameshindwa na askari wake wengi kuuwawa kama nzige na kwa hasira hizo za mbogo kaamua kushambulia maeneo ya kiraia kwa visingizio vya kijinga.Ukisema kashindwa, je ame concede defeat na kuomba mazungumzo au lah?
Ukija field anapoteza au ana gain?
Military cabability anakuwa stronger au anashrink?
Kwako mwerevu naomba kuelimishwa na mimi nitoke kwenye ujinga, kwa kuzingatia kauli yako ya situmii akili.
Asante
Na wewe acha kiherehere chako cha kijinga na kipumbavu unafikiri watu wote ni wajinga kama wewe? Au unataka watu wafikiri kama wewe acha ujinga wewe!!!Mkuu unajadiliana na psychopath hapo!
Unatwanga maji kwa kinu broo.
Kwamba mji ukijengwa zamani ndio huwezi kui embed military facilities and installation, una uhakika?Kwa mazingira ya Kiev haiwezekani kuweka facilities za kijeshi kwenye maeneo ya mji huo kwa sababu mji huo ulijengwa zamani kwa akili ya makazi ya raia leo hii ukijua kusema kuweka facilities za kijeshi itakuwa ni vigumu maana itabidi ubomoe tena makazi ya raia ili kuweka facilities tajwa kwa mazingira hayo si kweli!!!!
Mambo mengine ni ya wazi kabisa kama unatumia akili yako vizuri!! Kwenye Ubalozi kuna sheria za Kimataifa zinazolinda balozi hizo na kuna miiko ya vitu kama vile kuficha makombola na eti na ku Traine mercenaries huo ni uongo huwezi kutumia Ubalozi kuwa kambi ya kijeshi kufundishia watu wajinga tu na wapumbavu wataamini upuuzi huo!!!
Kuna uwezekano mkubwa wewe upo hapa kupiga Propaganda za uongo kuaminisha watu uongo tu maana unaongelea vitu vingine ambavyo havina ukweli wowote ule kama una ukweli hebu tuwekee hapa wote tuone hiyo Source yake!!!
Sisi wenye akili tunajua Kiev siyo Dar na istoshe hata hapa Dar na maeneo mengine kambi hizo zilikuwa nje ya mji raia ndiyo wamezivamia kadri miaka inavyozidi lakini hapo mwanzo kambi hizo zilikuwa mbali na raia waulize babu zako wakuambia
Unaongelea mambo ambao huna uhakika nayo na kujΔ hapa kutuaminisha kuwa 80% ya silaha anazotumia zinatoka nje na hukutuambia Russia yeye anatumia silaha asilimia ngapi kutoka China,Korea ya Kiduku, Afrika ya kusini,Iran na nchi nyingine lukuki ambazo hukuzitaja!!!
Huko Ukraine Russia hajaweza kuchukua jimbo lolote zima amechukua nusu nusu tu na ndiyo maana hata kupata ushindi ameshindwa na askari wake wengi kuuwawa kama nzige na kwa hasira hizo za mbogo kaamua kushambulia maeneo ya kiraia kwa visingizio vya kijinga.
Fikiria uwanja wa vita uko mbali leo wewe unakimbiliaje kupiga majengo ya makazi ya raia? Ukraine yeye akiamua kupiga Moscow hapigi makazi ya raia anapiga vituo vya kijeshi viwanda vya kijeshi,viwanja vya ndege na huo ndiyo uanaume.
Askari wa Russia huko mstari wa mbele wanakufa kama kumbikumbi wanasakwa mmoja baada ya mwingine wanakufa vibaya sana!!! Msiojua mnafikiri ana Gain kumbe hakuna kitu Russia ni Supapawa wa mchongo mnamsifia bure tu!!
ππππHere we go again!Kwamba mji ukijengwa zamani ndio huwezi kui embed military facilities and installation, una uhakika?
Kwani zilaha zinazotokea poland kupitia west ukraine, kabla ya kuja frontline zinapitua wapi?
Nenda google andika attack on UK visa center, jeje taarifa ulizoandika umeweka source
shida unasema haiwezekani bila technical fact kwamba haiwezekani
Hata hiyo nyumba unayoishi inawezankuwa missile and drone assembling facility
Mbona 1991 Nato walipiga Chinese ambassy serbia, hizo sheria zilifanya nini?
Mdogo wetu huyu kumsaidia, hutakiwi kukasirika wala kupaniki.ππππHere we go again!
Sawa mkuu mie wacha nijifunze kupitia hizi quotes.ππMdogo wetu huyu kumsaidia, hutakiwi kukasirika wala kupaniki.
Kuna vitu anaandika ni very naive kwenye hii dunia ambayo sheria ya mwenye nguvu na interest ina override hizo takataka nyingine
Kama umengβangβania kuwa kuna facilities za kijeshi weka ushahidi wako tuone!!!Kwamba mji ukijengwa zamani ndio huwezi kui embed military facilities and installation, una uhakika?
Kama silaha kupitia Poland haina maana silaha hizo zinahifadhiwa kwenye Ubalozi wa Poland maana Ukraine yenyewe Ina ghala za kuhifadhia hizo silaha na kambi za kuendeshea hayo mafunzo. Kumbuka kama eneo la Ubalozi liki wa kubwa ni ekari mbili sasa hapo unafanya vipi mafunzo ya kijeshi?Kwani zilaha zinazotokea poland kupitia west ukraine, kabla ya kuja frontline zinapitua wapi?
Nenda google andika attack on UK visa center, je taarifa ulizoandika umeweka source
shida unasema haiwezekani bila technical fact kwamba haiwezekani
Hata hiyo nyumba unayoishi inawezankuwa missile and drone assembling facility
umeshindwa kujibu hoja kuhalalisha uongo wako unatafufa excuses zisizo na maana ulitakiwa wewe kama unao ushahidi ungetoa huo ushahidi na mimi ni singe kuwa na la kujitetea tatizo watu mmejazwa uongo tu nanyi bila kutafakari mmeufakamia acheni ujinga.Mbona 1991 Nato walipiga Chinese ambassy serbia, hizo sheria zilifanya nini?
Ulipoanza kutumia matusi nimegundua kuna logic na run time error kwenye ubongo wako
Wewe ni T14 Armata ulibadili I'd kwa kwa kupopolewa kwenye uzi huuhuu π€£π€£π€£Russia kaamua kupiga mjini kwenye uwanja wa vita kakimbia askari wake wanauwawa kama nzige wanawindwa mmoja baada ya mwingine ndiyo maana kakimbilia mijini kuua raia kupunguza hasara zake!!
Huko kwenye uwanja wa vita Russia imezidiwa na wanajeshi wake wanakufa mithili ya nzige, ila cha ajabu wanaoshinda hawakomboi ardhi yao, ndio kwanza wanazidi kuipoteza taratibu taratibuWatu wengine hamtumii akili zenu vizuri!! Russia kwenye uwanja wa vita kalemewa sana sasa anageukia kupiga miji na kuua raia kwa visingizio mbalimbali.
Na si kweli kuwa anapiga malengo ya kijeshi kambi za kijeshi zinajulikana hazikai mijini na tunaona anapiga makazi ya Raia ambao hawana silaha!!!
Nadhani ungekuwa unajibu maswali niliyouliza, ndio hoja zinavyojadiliwaKama umengβangβania kuwa kuna facilities za kijeshi weka ushahidi wako tuone!!!
Kama silaha kupitia Poland haina maana silaha hizo zinahifadhiwa kwenye Ubalozi wa Poland maana Ukraine yenyewe Ina ghala za kuhifadhia hizo silaha na kambi za kuendeshea hayo mafunzo. Kumbuka kama eneo la Ubalozi liki wa kubwa ni ekari mbili sasa hapo unafanya vipi mafunzo ya kijeshi?
umeshindwa kujibu hoja kuhalalisha uongo wako unatafufa excuses zisizo na maana ulitakiwa wewe kama unao ushahidi ungetoa huo ushahidi na mimi ni singe kuwa na la kujitetea tatizo watu mmejazwa uongo tu nanyi bila kutafakari mmeufakamia acheni ujinga.
Huko mstari wa mbele Russia anapigika mno!!!
Acha kujifariji kwa kusema uongo!! Una ushahidi kudhibitisha UHARO wako huo kuwa nimebadili ID?? Hata hivi huyo Supapawa wenu huko Ukraine askari wake wanapukutika kama nzige Drones za Ukraine zinafyeka sawa sawaWewe ni T14 Armata ulibadili I'd kwa kwa kupopolewa kwenye uzi huuhuu π€£π€£π€£
Huamini kilichowapata wayahudi na kinachowapata wanamgambo wa NATO pale Ukraine
Nakusikitikia.... Ungekua ndugu yangu ningekuwahisha kwa daktari wa magonjwa ya akili ππAcha kujifariji kwa kusema uongo!! Una ushahidi kudhibitisha UHARO wako huo kuwa nimebadili ID?? Hata hivi huyo Supapawa wenu huko Ukraine askari wake wanapukutika kama nzige Drones za Ukraine zinafyeka sawa sawa
Hapo ni Ukraine πΊπ¦ ikibadilishana maiti kati yake Russia π·πΊ, nani wanapukutika?Kiev haiishi bali askari wa Russia huko mstari wa mbele ndiyo wanapukutika kama nzige!! Russia kwa kuona hivyo ndiyo maana kakimbilia kushambulia maeneo ya raia.
Brother jitahidi kupunguza hasira unapokua una mfundisha kichaa suguNakusikitikia.... Ungekua ndugu yangu ningekuwahisha kwa daktari wa magonjwa ya akili ππ
Tatizo lako linaweza kuwa huelewi mambo ya kijeshi na hujui kijeshi ushindi unakuwaje na kushindwa kunakuweje ndiyo maana unasema tufanye ni kweli!!!Nadhani ungekuwa unajibu maswali niliyouliza, ndio hoja zinavyojadiliwa
Basi tufanye ni kweli Urusi naoigwa na majeshi ya Ukraine yapo moscow sasa hivi, na Urusi hana hata manpower ya kufanya mobilisation
Umeridhika?
Naomba uweke hapa orodha ya misaada Russia aliopokea kutoka kwa Iran, North korea, China na nchi nyingine?Tatizo lako linaweza kuwa huelewi mambo ya kijeshi na hujui kijeshi ushindi unakuwaje na kushindwa kunakuweje ndiyo maana unasema tufanye ni kweli!!!
Russia angekuwa anashinda hii vita asingelitoka Kiev lakini aliingia Kiev lakini baada ya kipigo alitolewa mkuku na akafungua uwanja wa mapigano mwingine huko mashariki mwa Ukraine na aliweza tu kuteka sehem tu ya majimbo hayo na mpaka sasa hivi hakuna hata jimbo moja alilolitwaa lote yote hayo ni nusu nusu tu.
Nawaambia Russia ni Supapawa wa MICHONGO hana ubavu wa kupigana na Ukraine. Febr 24,2022 Alipovamia Ukraine alijigamba anaweza kuiteka kwa masaa 72 tu angalia mpaka leo hii 2025 bado anahangaika na Ukraine pamoja na yeye kusaidiwa na China, Korea ya kiduku, Afrika kusini, Iran na nchi zingine nyingi tu hajaweza kufurukuta mbele ya Ukraine matokeo yake kaanza tu kushambulia maeneo ya raia na visingizio visivyo na maana.
Kwenye uwanja wa vita askari wa Russia wanapigwa kama Ngoma Drone za Ukraine zinawawinda mmoja baada ya mwingine kuwaua bila huruma yoyote!!
Unampigia gitaa ng'ombe anaetembea akinya?Hapo ni Ukraine πΊπ¦ ikibadilishana maiti kati yake Russia π·πΊ, nani wanapukutika?
View: https://x.com/BowesChay/status/1932786959090339856?t=Sc3ltY1qxjxICH1ystoalQ&s=19