Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hapo ni Ukraine πŸ‡ΊπŸ‡¦ ikibadilishana maiti kati yake Russia πŸ‡·πŸ‡Ί, nani wanapukutika?

View: https://x.com/BowesChay/status/1932786959090339856?t=Sc3ltY1qxjxICH1ystoalQ&s=19
Acha kudanganyika na Supapawa wa michongo kaweka na maiti za watu wake na kuwapeleka Ukraine akidai ni Wa Ukraine kumbe ni watu wake. Istoshe kuua watu wengi haina maana ya wewe nashinda vita.

Russia kama Russia hii kashindwa maana hana namna tena ya kuvimaliza hivi vita kwa maana ya Totaly Victory askari wake wanaendelea kupukutika tu

View: https://x.com/maks_nafo_fella/status/1935712127739736168?s=61
View: https://x.com/stratcomcentre/status/1935715789153108061?s=61
 

Attachments

  • IMG_9510.mp4
    28 MB
Naomba uweke hapa orodha ya misaada Russia aliopokea kutoka kwa Iran, North korea, China na nchi nyingine?

Weka hata misaada mitano
Naweza hata ku kuwekwa misaada zaidi ya Mitano ili tu kukutoa ujinga ulio nao kuwa Russia hapokei au hasaidiwi na nchi yoyote kwenye vita vyake na Ukraine. Hivyo acha ujinga Russia kwenye vita hii pamoja na kusaidiwa anapigika vizuri sana askari wake huko mstari wa mbele wanapukutishwa sana kiasi ambacho hata maiti zao kuonekana ni taabu!!!




View: https://x.com/jurgen_nauditt/status/1862509688761245981?s=61
View: https://x.com/egyosint/status/1937904353861398752?s=61
View: https://x.com/alootercontinua/status/1656793802940510209?s=61
View: https://x.com/alootercontinua/status/1657031293270409217?s=61
 
Dah mkuu usimfananishe T14 Armata na POPOMA kama huyo,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Kwetu Kilwa jina Kosugi maana yake ni Kisimi na tulisoma Cuba tunajua kiungo hicho kinafanya kazi gani!!
Ulivyo mjinga unataka watu wafikiri, wawaze na kutenda kama wewe huo ni ujinga uliopindukia umeshindwa kujibu hoja unaanza kujipendekeza kwa watu wakupenda wewe ni nani unayependa kupendwa kwa kuniponda mimi?

Ulivyo punguani unafikiri Mimi niko hapa ili nipendwe!!! Niko hapa kuweka mambo sawa tu hayo mazungumzo ya kike ni sawa tu na jina lako kosugi!!!! Acha ujinga wa kipumbavu
 
Kwa ujinga ulio nao unashindwa kujua USA ndiyo NATO na vizuri zaidi unasema hutaki kuelewa!!!
Baki na uelewa wako kuwa Russia anapigana peke yake!!! Wakati pamoja na Usupapawa wake wa MICHONGO ameshindwa kuiteka Ukraine πŸ‡ΊπŸ‡¦
 
Oyaaa Urusi anapondwa balaaa.... Kazan imeondoka, moscow imeanguka, Belgorod imeanguka , Kursk imeanguka ...aseee Urusi anachapika vibaya sanaaaaaa.....
 
Echolima1 amekuja kujaza severs za huu Uzi
Jamani Mimi nasema ukweli ulivyo na wala si maneno ya kukaririshwa ni ukweli na ushahidi ninatoa kuwa Russia hana ubavu wa kupigana na Ukraine pamoja na U-Supapawa wake alisema ataiteka Ukraine kwa masaa 72 leo hii miaka 4 inayoyoma!!!!

Nawashangaa mnaolalama kuwa Ukraine Ina said iwa na NATO wakati huohuo mnasahau kuwa Russia naye anasaidiwa na nchi nyingi sana. Au kunya anye Kuku akinya Bata mnasema Kaharisha???
 
Taarifa kama zipi ambazo wewe unasema ni Matango-Pori? Kama huamini unatakiwa wewe ndiyo utupe za uhakika ili kuondoa utata sasa wewe umekaa tu kulalamika!!!!

Ukweli utabaki palepale Russia askari wake huko mstari wa mbele wanapigika sana na ndiyo maana hasira zake kazihamishia kwa raia wasio na silaha kawakimbia wanaume wenzake huko mstari wa mbele na kwenda kuua raia mijini!!
 

Attachments

  • IMG_9575.mp4
    22 MB
Jisikitikie mwenyewe mimi unanijua? Acha ujinga ukishindwa hoja unasikitika!!!
 
Kiuchambuzi na uongo wewe ni pacha wa Jemedari Saidi
 
Mkuu hongerwa kwa logic na kwa fact
 
Ndugu yangu naomba na mimi unisaidie source ya video au yoyote kama itawezekana Putin akisema OP itaisha kwa masaa 72.

Ikiwa ya video utanisaidia zaidi ili niwaaibishe vizuri Warusi wa Nyakanazi.
 
Ndugu yangu naomba na mimi unisaidie source ya video au yoyote kama itawezekana Putin akisema OP itaisha kwa masaa 72.

Ikiwa ya video utanisaidia zaidi ili niwaaibishe vizuri Warusi wa Nyakanazi.
Kajinga hako...anachokiongea Leo kilishakuwa na majibu miaka mi2 iliyopita ...ni kapuuzi kamoja ..kamebaki peke yake humu ..wenzake wote wamekula Chocho....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…