Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ndugu nilikuomba ushahidi wa kauli uliyoandika kuwa Urusi walisema watamaliza vita ndani ya masaa72.

Nimekuomba kauli ya Putin unipe kwa video kuna warusi wa mbagala rangi3 nataka niwapige nayo.

Ila naona kimya au bado unaitafuta video ndugu.
Wewe umeshindwa kitu gani kutafuta? Kwani wewe ni kinda la ndege kila kitu utafutiwe?
 
Chizi wewe hakuna unachokijua yani Taliban wamechukua nchi kwa Amani🀣🀣🀣
 
 
Ile intake ya wale Pro UkraiNato wenye akili timamu walio wengi wameondoka kwenye Mada hii,sehemu kubwa ya hii intake iliyoingia safari hii ni full pumba.
Kwa kuwa wewe ni mjinga ukiwekewa ushahidi wewe unasema najaza Seva!!!
 
Jamani eeeh popoma wa JF karudi 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Acha ujinga Mimi sijatoka hapa nipo hapa kwa ajili ya kuwanyoosha wajinga kama wewe??? Eti unasema najaza seva!! Acho u zuzu!!
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜‹πŸ˜‚πŸ˜†Huyu jamaa ndio mtupu kabisa katika Hawa pro NATO wa safari hii,wala hajui yeye mwenyewe anaongea nini.
Yani hamna kitu kabisa ni pumba tupu.nasikia kina Kipanya44 wamemkodisha kutoka Madagascar aje kubishana na pro Russia
 
Huko Frontline askari wa Russia wanaendelea kupukutika kama nzige tuwaombee tu maana hawana namna tena.

Hiki ndicho kinachowafanya askari wa Russia kukimbilia kushambulia maeneo ya raia mjini maana kwenye uwanja wa vita walishashindwa toka siku ya kwanza!!
 

Attachments

  • IMG_9794.mp4
    24.3 MB
  • IMG_9793.mp4
    21 MB
🀣🀣🀣🀣 kwe kweli hamna kitu kabisa ni mtu wa mwisho kwenye hii dunia.iyo ni Source au mtu kandika tu kaweka, unajua maana ya source?
Wewe Ungekuwa na kitu ungeelezea maana ya source sasa kubwabwaja kote huko kumesaidia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…