Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa sababu mpaka Sasa, pesa ya kweli ni dhahabu.
Kama utakuwa unafatilia utagundua dhahabu inapanda thamani kila baada ya miezi sita hadi nane
Hii fiat money thamani yake inategemea na mzunguko na inavyohitajika sokoni.

Kwa Hali Sasa inavyoendelea inafanya Mataifa mengi yawaze kama hatua walizochukua kuhifadhi nakisi zao kwa USD ni sahihi na salama.
Jibu lipo wazi si salama, Marekani muda wowote anaweza kuzinyakua.
Mbaya zaidi wanahifadhi kwenye benki za Marekani au affiliate wa hizo benki.

Nini kifanyike maana kwa Wahasibu, finance na Wachumi wataiingiza hii kwenye kundi la risk.

Hivyo iitabidi isoviwe kama mbinu kwenye international finance inavyosema.
Diversification .

Na hapa ndio Mrusi na pesa ya Mchina wanaoingia.
Itabidi kiwango Cha ufanyaji Biashara wa Yuan kipande Ulimwenguni ili kumkimbia Mmarekani.
Usisahau kwa Sasa Pesa ya Urusi umepoteza robo ya thamani yake hivyo bado watu wataona risk kuhifadhi, maana huwezi jua kesho kitatokea nini?

Ndio maana Saudia anaangalia Mashariki Sasa hivi na reserve ya Mchina inaongezeka wakati ya Marekani inashuka.

Hapa tukiwa hatujazingatia faida ya kushuka kwa thamani pesa ya nchi husika.
 
Bravo na unaeza nielezea pia reason behind "Gold" kua very stable na thaman ake kuendelea kukua?
 
[emoji635][emoji1255] Updated special operation map for March 17, 2022



Kisha mimi wa ushirombo baada ya kutizama habari kutoka BBC naja kuwaambieni ase Russia anachapika sana.... Russia mchumba tu.... Russia Jogoo wa Shamba... Duh.
 
duuuh hii chai
wakat jana cjui juzi zelensky anaomba US na NATO waeke No~fly zone kutokana na dozee inayoendelea huko
ila jamaa wamemgomea tena
 
And in America there are sane, honest people.

Not all US congressmen are in favor of supporting Ukraine.

They mostly belong to the right flank of the Republican Party and advocate American isolationism in foreign policy. After all, the States themselves have so many internal problems that it is better to deal with them, and not get involved in the affairs of other countries that are thousands of kilometers from Washington.

On American TV, the most popular TV presenter, Tucker Carlson, with 4 million subscribers, repeats this.

In Congress, right-wing libertarians Rand Paul and Tom Messi, as well as Trumpist Republicans, oppose aid to Ukraine.

Right-wing Republican Marjorie Taylor Green defiantly refused to applaud Volodymyr Zelensky's speech.

Because of this gesture, in the States they are already comparing her with a daredevil who was the only one who refused to raise his hand in the Nazi salute, being in a crowd of NSDAP supporters.

In a recent address to the Americans, Congressman Green directly says that Biden is financing and arming neo-Nazi gangs in Ukraine. According to Green, the establishment of the Democratic Party protects its business interests in Ukraine, which run counter to the national interests of the United States.

After all, the escalation of the Ukrainian crisis by America could lead to the collapse of the petrodollar system, established by Nixon. In the event that Russia and the Persian Gulf countries switch to settlements in yuan.
Galip SV Liwagu
 
Russia withdraws its request for a UN Security Council vote on March 18 on a draft resolution on Ukraine, but does not withdraw the document, Nebenzya said.

He stressed that UN delegations are facing pressure from the West, including economic blackmail, not to support Russia's draft resolution.
Galip SV Liwagu
 
So the Serbian presidential candidate Misha Vacic came on air today on the Serbian TV channel, owned by the British media holding, with a team in T-shirts with the letter Z.

By the way, Vacic promised an amnesty for Serbian volunteers. He said that if he wins the elections, he will pardon those who will be convicted of helping Russia because they go voluntarily to protect the inhabitants of the DPR and LPR.
Galip SV Liwagu
 
[emoji779]️Apple includes the Mir payment system to allow cards to continue using Apple ID accounts - meaning Russian customers will again be able to use the service after Mastercard and Visa pulled their services from the country



[emoji779]️Apple inajumuisha mfumo wa malipo wa "Mir" ili kuruhusu kadi kuendelea kutumia akaunti za Apple ID - Hii ina maana wateja wa Urusi wataweza tena kutumia huduma hiyo baada ya Mastercard na Visa kuondoa huduma zao nchini.
 
🌎 "All we say is give the world a chance"

🇬🇸 A banner with this slogan was stretched by the fans of the Serbian Red Star at the Europa League match. They also listed the countries that the United States has invaded.

🎼 All we are saying is give peace a chance is a line from John Lennon's song of the same name.
Galip SV Liwagu
 
Bravo na unaeza nielezea pia reason behind "Gold" kua very stable na thaman ake kuendelea kukua?
Kwa maelezo ya mtandaoni, hii nakiri hii sijawahi kuisoma kwenye kitabu chochote Wala kufanya hesabu zake.

1) Benki kuu za Mataifa duniani
Tamaa ya kumiliki dhahabu nyingi ikiwa kama akiba ili itumike kipindi Cha dharura.

2) Uhitaji wa urembo wa gharama

3)Matumizi ya dhahabu katika vyombo vya kielectroniki hadi simu zetu.

4)kupungua kwa uzalishaji

Sababu hizo ndio hupeelekea dhahabu kupanda kwa thamani.
 
Wewe ni muongo, soma hizo war head specification za IskanderView attachment 2154636
Muongo Mimi au huyo alokua anabisha kwamba huko Ukraine Urusi haijapiga Makombora mazito hata ya kg500-1ton?!

Hapa tunazungumzia uzito wa kiujumla WA missile na sio warhead?! Unadhani hiyo warhead Peke yake inasafiri vipi bila msaada WA rocket?!

Au unadhani missile ni warhead tu,kuna guidance systems,nk.
 

kisiju pwani umekiona tulichokua tunakisema???[/QUOTE]Bado ni speculation.
Ila nguvu ya Ushawishi wa west lazima iteteleke?
Mataifa mengi yataamka kwenye hili.
Wamarekani wamefaidika na huu mfumo kwa miaka mingi uanguke tu
 
Apple will not sell the new iPhone SE and other devices in Russia from the last presentation. At the same time, the AppStore is working, and iOS updates continue to come to Russian users. Galip SV Liwagu
 
hakuna silaha ya kisasa iliyotumika ya makombora ya exkander hata bongo yapo na yazaman kinoma urusi anatumia su 25 za miaka ya 70
Duh Bongo tuna Iskander missiles [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii kweli mpya.
Sasa hujui km Su 25 ni close air support heavy bomber km ilivyo A-10 Kwa Marekani?!
 
HAKUNA KITU KAMA HICHO.
Tukutane mwakani hapa baada ya hii Vita tuone. USD mpk Leo ndo safe heaven Kwa investors. Na ndo fedha inayotumika Sana kwenye miamala ya kimataifa karibu 70% hiyo ya uchina hata 10% haifiki. NI investor gani aache USD aende kushikilia shilingi inadhibitiwa na kuamuliwa na serikali km yuan?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…