kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Nimekujadili wewe..wewe huyu... Huna uwezo huo ....Ujinga kutwa unanijadili mimi!! Sikujui hunijui umeshindwa kujadili mada unahangaika na mimi!! Nakwambia safari utanyooka tu!!
Mada inasema
Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?
Jadili hiyo acha ujinga wa kunijadili. Sitakusaidia lolote!!
Huyo siyo kipanya kaka.Yani Kipanya 44 umeamua urudi kivingine na ID mpya.unafikili bado atujakujuaπ€£π€£π€£
Mkuu,mbali na 20%ya ardhi ya Ukraine,ni juzi TU,Urusi kajitwalia mgodi mkubwa kabisa barani Ulaya wa madini adimu kabisa ambao USA alikua ameingia makubaliano na Ukraine kuuchukua ili kulipa madeni ya Ukraine.Kumbe we jamaa hauko serious kiasi hiki? 20% ya ardhi ya Ukraine inayokaliwa nq Urusi ilipatikana vp
Mkuu,mbali na 20%ya ardhi ya Ukraine,ni juzi TU,Urusi kajitwalia mgodi mkubwa kabisa barani Ulaya wa madini adimu kabisa ambao USA alikua ameingia makubaliano na Ukraine kuuchukua ili kulipa madeni ya Ukraine.
Nimeomba mara nyingi kuwa Verified..lakini ma"Moderator"..hawajafanya Hilo .. ikinifaa kifukuzwa katika kweli... Nitapokea...Mkuu,mbali na 20%ya ardhi ya Ukraine,ni juzi TU,Urusi kajitwalia mgodi mkubwa kabisa barani Ulaya wa madini adimu kabisa ambao USA alikua ameingia makubaliano na Ukraine kuuchukua ili kulipa madeni ya Ukraine.
Jaribu kudhibiti hasira zako inaweza kukusaidia,kwasababu hivyo unavyobweka ndio unazidi kuwehuka!.Mada inasema
Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?
Kunijadili mimi kutawasaidia nini wajinga nyie? Hizo unazosema stress zangu wewe zinakuhusu nini?
Tulidhani umeji Echolima1Russia's summer offensive becomes its costliest campaign during Ukraine invasion, Economist reports
The Economist estimates roughly 31,000 Russian soldiers were killed in the offensive so far, in comparison to some 190,000-350,000 deaths and up to 1.3 million overall Russian casualties of the entire full-scale war.kyivindependent.com
Ndio maana Trump ndani ya wiki moja anaongea hovyo... Mara akiba yao ya silaha inawatosha wao tu, mara yeye ni mkali kuliko Putin, mara tutapeleka silaha, mara vikwazo πMkuu,mbali na 20%ya ardhi ya Ukraine,ni juzi TU,Urusi kajitwalia mgodi mkubwa kabisa barani Ulaya wa madini adimu kabisa ambao USA alikua ameingia makubaliano na Ukraine kuuchukua ili kulipa madeni ya Ukraine.
Mtanyooka tu!!Jaribu kudhibiti hasira zako inaweza kukusaidia,kwasababu hivyo unavyobweka ndio unazidi kuwehuka!.
Haya mumkabili kwa hoja sasa akiweka ugoko weka chuma mpaka mtu akae sikainga mwenyewe ulingoni matusi atutaki maana upinzani lazima uwepo updates ziendeleeHuyo siyo kipanya kaka.
Kipanya ni mtu muelewa na ukimuona anakaza fuvu unajua kabisa kama analeta mzaha.
Ila huyu jamaa ni zamwamwa fulani hivi la kipekee myahudi wa shirombo.
Tunataka habari kutoka pande mbili leta vitu muache kutukana hata kama hatujuwani kimwiliMtanyooka tu!!
Wajinga hao hawana uwezo wa kunikabili kwa hoja najua sana silaha yao kuu ni UONGO,UPOTOSHAJI wa taarifa na MATUSI na kwa ujinga huo mimi lazima WANYOOKE tu!!!Haya mumkabili kwa hoja sasa akiweka ugoko weka chuma mpaka mtu akae sikainga mwenyewe ulingoni matusi atutaki maana upinzani lazima uwepo updates ziendelee
Mimi nitatoa za kwangu zikiambatana na picha/Video jinsi askari wa Russia wanavyouwawa bila huruma huko Ukraine πΊπ¦Tunataka habari kutoka pande mbili leta vitu muache kutukana hata kama hatujuwani kimwili
mara nyingi kwenye vita huwa kuna propaganda kwahiyo msije mkazipa asilimia π―
kuna zakuziamini 50 na 70 Kwaiyo kuna kuziamini na kutokuziamini.