Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Tell you what? You should have your head Examined.Hicho Kiingereza uchwara wewe unajiona unajua sana? Kwa ujinga na upumbavu wako unaniandikia Mimi kiingereza Uchwara unafikiri hapa nitakuelewa sasa? Acha ujinga endelea tu kusifia-sifia maana wewe ni zuzu!!!!
Wewe mjinga hiyo So-called Exposure yangu wewe inakuhusu nini au itakusaidia nini? Acha ujinga wako wa Kipumbavu!,,
Acha kubwabwaja ovyo ovyo jikite kwenye Point Mimi nilikuambia ujiulize mara mbili kwa nini Supapawa Russia inamchukua miaka 4 kupambana na Ukraine? Usupapawa wake kausahau wapi? Nilitarajia utanijibu maswali hayo wewe umeng’ang’ana na Simulator tu kwa akili yako ndogo unafikiri wewe peke yako na kiingereza chako-Uchwara ndiyo unajua na sisi Wamatumbi hatujui? Acha ujinga wako wewe zuzu!!!!
Kwa ujinga wako unafikiri hao wewe unaowaita wasomi unafikiri ndiyo wanakuwa mstari wa mbele na wanapanga mipango ya vita wao? Ignorance yako ndiyo inakufanya ujiamini eti wewe zuzu ukisema Wasomi wanalalamika Ukraine kudanganya wasomaji kwa kusambaza eti video ambazo ni Generated na Computer!!! Na sisi wenye akili timamu tutakuamini!!! Umekosea kajipange upya wadanganye Mazuzu wenzako tu!!
Hapa ndipo umenionyesha wazi ulivyo zuzu wa kutupwa!!!
Nakuomba utuambie hao unaowaita wewe wasomi walilalamikia wapi kuwa Ukraine inatumia Generated video tupatie hiyo video au tupe hiyo link na sisi tuione ili usitufanye na sisi wote humu ni mazuzu kama wewe!!!
Kama akili yako iko sawa utatupatia na sisi tuone huo UHARO wako. Na nina uhakika hujui hata video ambazo ni AI Generated na ndiyo maana unalazimisha kila kitu ni Generated.
Wewe kinachokusumbua ni mahaba-Niue!!!
Kama wewe ulivyo taahira wa kutupwa!!!Wanaobishana nae nao Ni mataahira tu
😂😂😂😂Hiko kiingereza ni hatari aisee!?Hata kingereza chako mgogoro, ebu rudia kusoma ulicho andika!!
Kuna Mkoa Zelensiky alimuahidi Trump kumpatia wenye rare earth materials...Sasa upo chini ya Russia. Trump ka kasirika ndiyo maana analazimisha Ulaya wanunue Long range missile kwake wampatie Zelensiky.Halafu asichokifahamu Russia imeteka miji mitano ama mikoa mitano ya Ukraine.
Sasa Russia anamshindwa vipi Ukraine!?
Hata mimi nilikuwa nafikiria sijui Trump atafanya nini kirudisha aridhi hiyo yenye madini adimu mikononi mwa Urusi, hapo naona Trump atapashwa kuelewana na Putin kwanza lipi la kufanya - Trump si mfanya biashara bwana, basi atabuni njia za kumuingia Putin na kusawazisha mambo, lakini akianza mambo ya kumtisha tisha Putin kwa kumuwekea deadline kama mtoto mdogo, hapo Trump asahau mambo ya kuchimba madini adimu kutoka Ukraine.Kuna Mkoa Zelensiky alimuahidi Trump kumpatia wenye rare earth materials...Sasa upo chini ya Russia. Trump ka kasirika ndiyo maana analazimisha Ulaya wanunue Long range missile kwake wampatie Zelensiky.
Putin alivyokuwa na jeuri atamwambia Trump kuwa kama anaitaji madini basi akayanunulie Urusi tena akiwa na ela ya Urusi, sio kwa dollarHata mimi nilikuwa nafikiria sijui Trump atafanya nini kirudisha aridhi hiyo yenye madini adimu mikononi mwa Urusi, hapo naona Trump atapashwa kuelewana na Putin kwanza lipi la kufanya - Trump si mfanya biashara bwana, basi atabuni njia za kumuingia Putin na kusawazisha mambo, lakini akianza mambo ya kumtisha tisha Putin kwa kumuwekea deadline kama mtoto mdogo, hapo Trump asahau mambo ya kuchimba madini adimu kutoka Ukraine.
Sticky ni nzuri zaidi maana uzi upo juu ya nyuzi nyingine. Ukiingia Jukwaa la Kimataifa wa kwanza kuona ni huu uzi.Moderators watuwekee live sign yetu ktk Uzi huu mgogoro haujaisha.
Au itakuwa wanawagawanya warusi kuwa vipande vidogovidogo kwa makomboraView attachment 3409607
Hii ni baada ya ule mzigo wa maiti 6000 wa mwezi uliopita.
Tunaambiwa huko mstari wa mbele wa mapigano warusi wanakufa kama nzige ila cha kushangaza Ukraine huwa wanakosa maiti za kubadilishana
Alaf was Israel na Iran Gaza nao wakieka Pin itakua poaSticky ni nzuri zaidi maana uzi upo juu ya nyuzi nyingine. Ukiingia Jukwaa la Kimataifa wa kwanza kuona ni huu uzi.
Trump hataruhusiwa kuchimbq hata dini moja,Bali atauziwa .Hata mimi nilikuwa nafikiria sijui Trump atafanya nini kirudisha aridhi hiyo yenye madini adimu mikononi mwa Urusi, hapo naona Trump atapashwa kuelewana na Putin kwanza lipi la kufanya - Trump si mfanya biashara bwana, basi atabuni njia za kumuingia Putin na kusawazisha mambo, lakini akianza mambo ya kumtisha tisha Putin kwa kumuwekea deadline kama mtoto mdogo, hapo Trump asahau mambo ya kuchimba madini adimu kutoka Ukraine.
Ndivyo itakavyokua wala Haina mjadala,Ruble tuPutin alivyokuwa na jeuri atamwambia Trump kuwa kama anaitaji madini basi akayanunulie Urusi tena akiwa na ela ya Urusi, sio kwa dollar
🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3409607
Hii ni baada ya ule mzigo wa maiti 6000 wa mwezi uliopita.
Tunaambiwa huko mstari wa mbele wa mapigano warusi wanakufa kama nzige ila cha kushangaza Ukraine huwa wanakosa maiti za kubadilishana