D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Uzi huu usifungwe ili tuone Goliath anavyonyanyaswa na Daud!!! Majeshi ya Russia wanafyekwa sana huko Mstari wa mbeleUzi ufungwe
He added that while Russia had offered “specific ideas” to correct this trajectory, these “warnings and initiatives received no clear response.”Russia
Kwanini walisambaratishwaTuwe wakweli, tokea WAGNER wasambaratishwe hii vita imepungua mbwembwe.
Wahuni walikuwa wanakutandika huku wanakupigia vifaa vya muziki.
Vita ya BAKHMUT sitoisahau
Russia hawezi kushinda vita hii na Ukraine 🇺🇦!! Russia kashikwa pabaya hawezi kufurukuta hawezi kwenda mbele na hawezi kurudi nyuma kuogopa fedheha kilichobaki askari wake wanapukutika kama Kumbikumbi huko Ukraine kwa kuuwawa na Drones za Ukraine!!!He added that while Russia had offered “specific ideas” to correct this trajectory, these “warnings and initiatives received no clear response.”
“There should be no doubt about this: Russia is capable of responding to any existing and newly emerging threats. Responding not with words, but through the application of… military-technical measures,” Putin warned.
Katekista Echolima1 dili la kuvuna zabibu likija tena nistue tukalime woteShambulizi sahihi la Jeshi la Wanahewa la Ukraine kwa mara nyingine tena liliangamiza mkusanyiko wa vikosi vya Urusi, wakiwemo maafisa waliokuwa wamekusanyika ndani ya jingo moja huko Krasnodar Russia!!! Ukraine into uwezo wa kufanya mashambulizi ndani kabisa ya Russia bila shida yo yote!!!
Ustadhi Munch wa annabelletz47 a.k.a. Mazinge safari hii Warusi wako wameshindwa pabaya wanapigwa sana Sana!!Katekista Echolima1 dili la kuvuna zabibu likija tena nistue tukalime wote
Kremlin umemwacha Aishi ila yeye anauchokoa moto
Endelea kujifariji lakini ukweli utabaki kuwa Putin hana uwezo wa kushinda hii vita!!!Kremlin umemwacha Aishi ila yeye anauchokoa moto
Tuwekee clip na sisi tuone lakini najua hakuna kitu kama hicho ni maneno ya kujifariji tu kuficha kuzidiwa kwa askari wake huko frontlineHali ni mbaya Frontline, Zelensky amesema yuko tayari kwa uchaguzi kama ceafire itakubalika, kuhusu majimbo yaliyochukuliwa na Urusi amesema hakuitaji njia za vita kurudisha
Ukraine si Wajinga kama Russia kushambulia makazi ya raia!!!Zelensky alisema Urusi wakisababisha blackout Ukraine, basi Moscow nako watalala giza.
Usiku wa kuamkia leo, Urusi wamepiga makombora vituo vingi vya meme.
Sasa tuone
Tunamsubiri afanye ivyoZelensky alisema Urusi wakisababisha blackout Ukraine, basi Moscow nako watalala giza.
Usiku wa kuamkia leo, Urusi wamepiga makombora vituo vingi vya meme.
Sasa tuone