Unamuanzaje kumpiga.hakuna anayejua madhara sahihi ya Nuklia kila mtu anaogopa kuwa sehemu ya majaribio ya nyukliaKiduku kwa mikwara hajambo.
Na uzuri hadi sasa imemsaidia maadui zake wanajishauri namna yakumpiga wanakosa.
Mtu anazudi kutema bungo wakati anaendelea kusubiri TomahawksWeken update wadau
Walioususa ni wale wapenzi wa wavamizi wa Russia maana sasa hivi wamezidiwa wanapukutishwa kama nzige!!Hatimae uzi umesuswa
Habari hizo hazina ukweli wowote acha tu zinyeshe tuone wapi panavuja!!!Hungary na Romania ni wanachama wa NATO zimeshambuliwa katika miundombinu ya mafuta,inadhaniwa Ukraine inahusika katika kile kinaitwa kuharibu mazungumzo ambayo yalitaka kufanyika kati ya Putin Trump na orban.
Je Article 5 itafanya kazi?
Hapa unahisi nani anaombwa amalize vita?? Hata kama unalipwa jaribu kutumia akili hata za kuvukia barabara. Au kujizima data inahitaji uwe chizi??Kutokana na vita ilivyo kwa sasa hivi Putin ana Machaguo mawili tu ashindwe vita au aanzishe mazungumzo