Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

ana akili timamu
 
Nimejaribu kusoma mara mbili mbili lakini wapi sijaelewa kitu.
 
unaangalia bbc tu... amka

Wakati Urusi anaanzisha huu ujinga mlitujazia nyuzi humu za misifa ya namna atamaliza hii shughuli ndani ya masaa, leo wiki zimepita kadhaa mnahangaika kuperuzi vituo vyote vya habari kutafuta matumaini na kujiliwaza
 
Warusi wamefuata nini kwenye nchi ya watu, rais wa Ukraine ni shujaa na huyo mtume wenu Putin raundi hii atatiwa mimba maana amesababisha maelfu ya wanajeshi Warusi wafe Kwa ujinga wake.
Hivi wewe mkenya hapo mombasa wakisema waungane na alshababu kujitenga na kuanza kuingiza silaha hapo mombasa nairobi watakubali ....na ndivo ilivo kwa russia dogo ukrain anawaletea hatari karibu na moscow .....hata kama ndo mim nisingekubal ningewasafisha kwa mabomu mpaka mshike adabu....
 
MK254 kile kikundi cha Mombasa kilichotaka kutangaza dola huru kilifikia wapi? Je ni wangapi mliwaua ili kikinyamazisha hayo madai????? Ukishajibu hayo nenda ukakojoe, unye na kulala maana siasa za dunia huzijui
Mkumbushe naona keshasahau huyo jamaa ...yeye anakomaa na urus akati kwao kulitokea janga kama hilo na NAIROBI haikukubali huo ujinga
 

Hizi propaganda mnalishwa sijui misikitini au wapi, maana wote mnaomshabikia Putin naona ni wale wale watu wa dini ya "amani", mnabwabwaja vitu visivyo na mantiki.

Mombasa wakijitenga na kuunda nchi yao na turidhie kweli kwamba wametutoka, hatutawapangia nani waungane naye huko wanakokwenda. Ndivyo hivyo hata kwa Zanzibar, leo mkiachika nao, nyie Watanganyika hamtakua na jeuri ya kusema wasiungane na Oman.
 
Mkoa wa Lviv ule uliopo magharibi ya Ukraine karibu na mpaka wa Poland umeshambiliwa kwa makombora makali. Meya wa Lviv bwana Andriy Sadovyi anasema makombora mengi yameshambulia na kuharibu majengo yanayotumika kuripea ndege za jeshi (military aircraft) na mabasi.

Ikumbukwe kuwa huu mkoa ndio wenye ngome ya kijeshi iliyoshambuliwa na kuangamizwa kwa makombora zaidi ya 30 juzi kati.

=====

 
President Former Actor and Comedian



Advisor wake, Blogger and Actor [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Wote kutoka entertainment industry [emoji847][emoji847][emoji847].... Hawa jamaa wanaumiza Raia sijui wanafikiri wapo Studio wanatengeneza Movie [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Ukraine says that russian “tank crews shelled civilians from their airplanes” in the Zhitomir oblast [emoji23] you can’t make this stuff up.



Eti wadau siku hizi kuna flying tanks? Yani kuna vifaru vinavopaa???

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…