Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Roskomnadzor demanded that Google stop spreading threats against Russians on YouTube.

Earlier it was reported that users of the platform received advertisements calling for the disruption of railway communications in Russia and Belarus.

“The actions of the YouTube administration are of a terrorist nature and threaten the life and health of Russian citizens. The spread of such appeals clearly demonstrates the anti-Russian position of the American company Google LLC,” the RKN said in a statement.

Earlier, Facebook and Instagram were allowed to publish calls for the murder of Russians. In response, Roskomnadzor announced their blocking, and the Investigative Committee opened a criminal case.
Galip SV Liwagu
 
The Ministry of Defense of the Russian Federation showed footage of the work of the strike group of Ka-52 and Mi-24 helicopters, which ensure the landing of troops at one of the Ukrainian military airfields.

The commander of the leading Ka-52 came under intense fire from MANPADS and covered a group of Mi-8 helicopters with an assault force. The Ka-52 was fired upon 18 times, after which it made an emergency landing. The crew was not injured.

“Thanks to the courage and heroism of the crews of the forward strike group of Ka-52 and Mi-24 helicopters, the landing of the airborne units was carried out without losses,” the ministry noted.
Galip SV Liwagu
Your browser is not able to display this video.
 
Hili ndilo la Msingi Sana kuliko ushabiki. Mtu anaamka TU na mahaba yake anakaambia eti Dollar inaenda Kufa baada ya Vita.

Hata Mimi Binafsi natamani isiwepo nchi moja ambayo itakuwa na Say kubwa kiuchumi Kama ilivyo Marekani. Marekani anatumia mwanya wa Dollar kuyadhoofisha Mataifa ambayo hayakubaliani naye kimtazamo. Mifano iko Mingi. Venezuela,Iran na Sasa Urusi pamoja na kuwa na Mafuta Mengi sasa wanaonja vikwazo vya Marekani na Washirika wake ambavyo kimsingi lazima vitaathiri kwa Kiwango kikubwa Uchumi wa Nchi Hizo tajwa.


Lakini haiondoi ukweli kwamba Bado Kuna kazi kubwa ya kuondoa Mfumo Dollar. Kwa mwendo anaokwenda nao China,Baada ya miaka 30 Basi Nguvu ya Dollar inaweza kuwa Sawa na Nguvu ya YUAN kwenye Soko. Project ya China ya Belt and Road Initiative (BRI) Ni mwiba mkubwa Sana kwa PetroDollar. Mchina alishagundua njia pekee ya kupambana na Marekani kiuchumi sio kukurupuka. Kupitia BRI,Mchina ameweza kuzishawishi nchi Nyingi za Asia na Africa kupitia Ujenzi wa Miundombinu kuweka Reserve na Malipo mengine kupitia YUAN badala ya Dollar. Hii ndio mbinu ambayo inaweza kufanikiwa,Ndio maana inapingwa na kupakwa matope na nchi za Magharibi. Wamebaki kuuita eti ni DEPT TRAP.

Huwezi kuuangusha Mfumo wa PetroDollar kwa Kususa Kama wengi wanavyofikilia. Embu Fikilia,Zaidi ya Mataifa 180 Duniani yameweka Reserve yao yenye thamani ya $ 250T kwa USD. Sasa ukisema waususie mfumo wa Dollar wa Marekani maana yake nchi Hizo zipotezee hifadhi yao ya $ 250T waiachie Marekani harafi wao waanze upya kwa kutumia Yuan. Hivi inawezekana? Yaani Tanzania iache Reserve yake ya $ 6.2B na kwenda kuanza upya kwenye Yuan?

Kiuchumi kwenye huu mgogoro Mchina ni Bora asijiinguze make ndio anatafutwa. Kwa Gharama yeyote ile wanaweza kumuangusha Kama walivyofanya kwa Japani miaka ya 1990s na ikabaki Historia.
 
Waziri wa Ulinzi wa Ukraine amesema wanasheria wako wana-draft mkataba wa amani kati ya Ukraine na Russia. Anaomba Russia wasitishe kunyesheleza mizinga/mabomu kwenye miji ya Ukraine ili makubaliano yaweze kufikiwa.

Mwambieni ndugu Waziri kuwa hiyo mizinga ndiyo inaweka sawa akili/kichwa ya Zelensky, lazima iendelee hadi pale atakapokuwa kisha saini matakwa ya Putin.

 
Hilo ni lengo la Siku ya Kwanza ya Mashambulizi ya Anga. Siku ya tarehe 24 Urusi ilifanikiwa kuharibu 90% ya Mifumo ya Ulinzi wa Anga ya Ukraine hasa S-300. Zaidi ya Millitary base 15 ziliharibiwa na Siraha ndani yake. Kosa la Putin ni Pale alipoona Mashambulizi ya Anga ambayo kimsingi aliyafanya kwa kuwashitukiza Ukraine yalipofanikiwa akanogewa na kuamua kutuma Jeshi ili Kuiangusha Serikali ya Zelensky. Hilo ndio kosa kubwa la Putin.


Kama Lengo la Putin ni Kuharibu Kambi za Jeshi na Offensive Weapons za Ukraine ambavyo alifanikiwa siku ya Kwanza kabisa, je,kulikuwa na haja gani ya kutuma Jeshi la Ardhini?
 
Latvia is expelling three employees of the Russian embassy, the country's foreign minister said.

Estonia is expelling three Russian diplomats, accusing them of "undermining security" and "spreading propaganda."
Galip SV Liwagu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…