Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Na wajamaa ndio kwanza wapo bize kupakia viulio [emoji635][emoji635][emoji635]
 
Broo na ya kiswahili
 
The main thing from the new statement of the Russian Ministry of Defense about the special operation:

- in Dnipro, SBU officers, having evacuated staff and patients, mined one of the buildings of the city hospital. It is planned to be blown up during the flight of any Russian aircraft over the city;

- Russian aviation did not have any combat missions to defeat the hospital building, other buildings in the Dnieper;

– this morning, a high-precision strike destroyed a parking lot with Ukrainian combat aircraft at an aircraft repair plant in Lviv, as well as ammunition depots and Ukrainian military equipment in the suburbs of Nikolaev and Voznesensk;

- During the day, Russian air defense systems shot down one Ukrainian drone. Aviation hit 54 military facilities of Ukraine, including four missile launchers.
Liwagu Galip SV
 
Hahaha Hawa walijifanya wazalendo wamepelekewa moto Wana anza kimbia hahahah
 
Sikiliza US hana justifications ya kurusha kombora la nuclear, ila Russia yupo kama paka aliyebanwa ndani.
Kwa hiyo we unavoona hilo no kombora au macho yangu hayaoni vizuri....[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Venus star .....nidadavulie kwa kiswahili japo kwa ufupi....tafadhali ...kiingereza kigumu kwangu ....[emoji5][emoji5][emoji5][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
In Germany, there is “media totalitarianism”: the German media now broadcast only the position of Kyiv, and alternative opinions are not allowed to air, writes Freie Welt.

“For example, people from the republics of Donbass, against whom an aggressive war has been waged since 2014, are not given the opportunity to express their position in Germany,” the publication explains.

And the media and channels that have taken up this topic, including RT and Sputnik, “are simply censored and closed down,” the article notes.

But Ukraine is just one example of “media totalitarianism” in the country: “At the moment, Germany is very far from creating an objective, independent and neutral media landscape, as well as from adequate coverage of events.”
Galip SV Liwagu
 
Ukraine yalalamika kuwa wapiganaji wa kigeni toka Syria wameingia Russia ili wasafirishwe kuingia Ukraine kupigana na waUkraine

View attachment 2155691
Ukraine wasilalamike bado tunawapa maelekezo ya jinsi ya kutumia milipuko na namna ya kujichanganya na kujilipua mbele ya makundi ya wa Ukraine na Askari wa kigeni. Ukraine hawatalia peke yao wanatalia na mabwana zake waliompa mimba ya vita afu wakakimbia maana hawa wapiganaji watapenya hadi Europe
 
Duh Mchumi kutoka Tandahimba akiwakosoa Federal Reserve of America.
 
Hakuna taifa la kinyama na la kishenzi duniani na pia la kishetani kams Marekani...Marekani imeua watu katika sehemu mbalimbali duniani kwa mamilioni...imeua huko Somalia, Sudan, Afghanistani , Libya, Grenada, Congo, Argentina, Chile, Cuba, Vietnam, Irak na kadhalika...huko Japan iliua watu kwa maelfu kwa mabomu mawili ya nyuklia...ni taifa pekee liliowahi kutumia silaha za nyuklia. Imetumia silaha za sumu..napalm..huko Vietnam.....Marekani ndilo taifa duniani linaloongoza kuwa na silaha za sumu...Marekani ndilo taifa pekee lililofanya genocide kubwa duniani kwa kuwaa gamiza wahindi wekundu zaidi ya milioni 20...eti Marekani ndiyo kinara wa demokrasia?!?! Stupid...
 
FAHAMU ANACHOKITAKA PUTIN UKRAINE KWA SASA.

Madai ya Urusi yanaangukia katika makundi mawili​

Madai manne ya kwanza, kwa mujibu wa Bwana Kalin, ni rahisi kwa kwa Ukraine kuyatekeleza.
Jambo ama dai kubwa kati ha hayo ni Ukraine kukubali kwamba inapaswa kutoegemea upande wowote na haipaswi kuomba kujiunga na Nato. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky tayari amekubali hilo.

Madai mengine ni kwamba Ukraine italazimika kupitia mchakato wa kuondoa silaha (mipakani) ili kuhakikisha kuwa si tishio kwa Urusi. Lazima kulindwa kwa lugha ya Kirusi nchini Ukraine. Na kuna kitu kinachoitwa de-Nazification.

Hilo sio la kufurahisha kwa Bwana Zelensky, ambaye yeye mwenyewe ni Myahudi na baadhi ya jamaa zao walikufa katika mauaji ya halaiki ya Holocaust, lakini upande wa Uturuki unaamini itakuwa rahisi kwa Bwana Zelensky kukubali. Labda itatosha kwa Ukraine kulaani aina zote za neo-Nazism na kuhaidi kuzuia uwepo wake.

Sehemu ya pili ya madai hayo, ndipo palipo na ugumu, na katika mazungumzo yake kwa njia ya simu, Putin alisema kuwa itahitaji mazungumzo ya ana kwa ana kati yake na Rais Zelensky kabla ya makubaliano kufikiwa. Bwana Zelensky tayari amesema kuwa yuko tayari kukutana na rais wa Urusi na kufanya mazungumzo naye moja kwa moja.

Bwana Kalin hakuwa muwazi sana kuhusu masuala yaliyopo kwenye kundi la pili, akisema tu kwamba yanahusisha hali ya Donbas, mashariki mwa Ukraine, sehemu ambazo tayari zimejitenga na Ukraine na kusisitiza ni sehemu ya Urusi, na hali ya Crimea.

Ingawa Bwana Kalin hakufafanua kwa undani zaidi, ila maelezo yake yanaleta dhana kwamba Urusi itaitaka serikali ya Ukraine kuachia eneo mashariki mwa Ukraine. Hatua hiyo itakuwa ya utata sana.

Dhana nyingine ni kwamba Urusi itaitaka Ukraine kukubali rasmi kwamba Crimea, ambayo Urusi iliichukua kinyume cha sheria mwaka 2014, kwamba ni sehemu ya Urusi. Ikiwa hili litakuwa jambo wanalolitaka Urusi, basi itakuwa kidonge kichungu kwa Ukraine kumeza.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…