Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Tunaisubiri tujiunge tunaweza pata wachumba wa kirussia huko haha
 
Hawa ndio wale wanao minywa kimya kimya
 
Putin Ni kichaa mtoto wa miaka 19 unampeleka vitani ili iweje?

Private self-propelled gunner David Harutyunyan, born in 2003 from Kyakhta, Buryatia, did not live to be 19 for a week. Contracto
Kwa mujibu wa sheria za kimataifa, mtoto mwisho miaka mingapi.

Je hapa Tanzania wanachukua kwenye majeshi yetu, kuanzia miaka mingapi?

Acha kukomenti jambo lilio wazi, huyo sio mtoto
 
Ni leo hii katika uwanja wa michezo mjini Moscow ukiwa umejaa warusi wakibeba bendera za Russia [emoji635] na kuchora katika miili yao.

Inaonekana wananchi wa urusi wanashauku kubwa na wanaunga mkono hii vita kwa zaidi ya 90 % . Jioneee pictures nilizojaribu kuzipata kwenye TV.
 
Bado mdogo na mchanga sana kifikra na inaonyesha wazi hujawahi kufatilia siasa za madikteta zinafanyaje kazi
 
Biden: “I may be Irish, but I’m not stupid" - Joe's 'Joke' Backfires


Opening a St. Patrick’s Day speech with an Irish joke might have seemed like a good idea - but Joe Biden managed to mangle it into an offensive statement instead:


“I may be Irish, but I’m not stupid.” Irish officials in the room reportedly made no reaction, but at least some obediently chuckled at the old stereotype Biden had trotted out in 2020 and 2015.


Rep. Congressman Thomas Massie spoke for many when he quipped back: “Is either assertion true?”
 
Huwezi kuiteka nchi kwa kutumia makombola tu.

Asingeweza kuhakikisha usalama wa DONBAS bila kuipiga kiev.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…