Hata mimi nimejiuliza hivi ikiwa Us atajiingiza direct hizo acts za kivita sijui itakuajeMpaka sasa hivi US ana act as a fifth party in this war but Putin and Russia have started to feel her pressure. Je, ikiingia moja kwa moja vitani itakuwaje? Tuwasiliane baada ya vita.
Ndio hivyo mkuu hawa viongozi wataisha wote wakijidai kushupaza shingoMajasusi wapo kazin
Duh,haya mabomu yanaitwa mama NATO mkanye mwanao.Na wajamaa ndio kwanza wapo bize kupakia viulio [emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2155692View attachment 2155693
Duh, ebu fafanua komredi, ulikuwa unamaanisha nini?Usichokijua wazungu wote ni jamii moja mambo mengi ya kijamii wanafanana.
Binafsi naombea US aingie tuone itakuwaje. Na mpaka sasa hivi inaonekana kama US inatafuta kisingizio cha kuingia vitani.Hata mimi nimejiuliza hivi ikiwa Us atajiingiza direct hizo acts za kivita sijui itakuaje
Inaonyesha mrusi anasafisha ghala ndio maana anatumia vifaa vya kizaman vingi na vya kisasa vichacheHiyo ya machuma ilifanya kazi 1945 Berlin....
Porojo..Ukraine yalalamika kuwa Russia kachagua wapiganaji wa kujitolea 1000 toka ktk jeshi la Bashar Assad na Hizbullah
Mwambieni Zelensky aache kupiga mayowe, tulishakubaliana toka mwanzo kuwa kwenye 'mechi' hii ni ruksa timu zote kusajili 'wachezaji' wowote toka nje
View attachment 2155764
Alienda kutisha, jamaa hawatishiki...inabidi afate vya baharini sasa...Inaonyesha mrusi anasafisha ghala ndio maana anatumia vifaa vya kizaman vingi na vya kisasa vichache
Ukraine inawaka moto ...wacha kuziba masikio na hayo macho makubwa kama ya huyo komedy zellenskAlienda kutisha, jamaa hawatishiki...inabidi afate vya baharini sasa...
Mkuu mi mwenyewe sipendi vita ila natamani wazichape kidogo linalowezekana lifanyikeBinafsi naombea US aingie tuone itakuwaje. Na mpaka sasa hivi inaonekana kama US inatafuta kisingizio cha kuingia vitani.
Embu elezea vizuri.Chechen wanapigana pande zote mbili. Hawa ni jeshi la chechen vibaraka wa Putin. Waasi wa chechen wanapigana bega kwa bega na majeshi ya Ukraine.
Sikiliza wewe Putin is like a perso who know will die tomorrow tafakari una deal naye vipi? Hivi unajuwa huko ndani ya Taifa lake hali ninzaidi ya tete? Unajuwa kichwa chake kinawidwa kama lulu? Just subiri. Dunia inapita wakati mgumu sana acha kabisa.Nilikuwa sijui kama Urusi inaogopwa kiasi hichi tena Marekani na NATO wamesema hadharani kuwa hawataingilia vita ya Urusi na Ukraine
Poleni sana Ukraine nyinyi sio wa kwanza kufanyiwa hivyo walishafanyiwa Iraq, Afikhanstani, na Libya
Inayopiganwa Ukraine ni kubwa ila huwezi kupata taarifa ila jua huko vita ni kubwa na watu wanakufa ovyoVita "inayopiganwa" na Russia hapa JF ni kubwa kuliko vita inayoendelea huko Ukraine.
Hata mimi sipendi vita, ila watu wanachonga sana eti US anamuogopa Russia. Bora inyeshe tu tuone panapovuja!Mkuu mi mwenyewe sipendi vita ila natamani wazichape kidogo linalowezekana lifanyike
Mjifunze kutokukubaliana ( agree to disagree) haiwezekani mtu akiisapoti Russia umuone mwanafunzi ila wewe unaemsapoti USA na ulaya ujione mwalimu. Utakua hujatenda haki tujadiliane kwa hoja.Wanafunzi wengi humu.. Vyuo vimefungwa ila nafikiri next week wanafungua vyuo.
Tutaona nani atakimbia......Ukraine inawaka moto ...wacha kuziba masikio na hayo macho makubwa kama ya huyo komedy zellensk
Afu inasemekana hilo jukumu la kuwasachi kila sehemu yaNi ngumu kutoka maana mtu yoyote anayetoka wanamsachi kila sehem
Da aiseeMrusi kashindwa hii vita sababu ya technology tu.
Dunia ina drone, dunia ina hizo jivelin yeye kajaza vifaru vya nchi nzima.