Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukiangalia nyuso ni kama wako msibani.
 
#Moshchun , Kiev region, again, the crossing over the Irpin did not work out for the occupiers
 
#Taganrog , the funeral of the platoon commander of the control division # 1tp of the 2nd division, Lieutenant Ivan Vasilyevich
 

Watulie mbona wao wanao zaid 30k tena kutoka mataifa mbali mbali
 
#Tsarev : I invite everyone to sign up as collaborators, such a chance to jump into the social elevator and become a leader rarely comes up
 
[emoji848][emoji2297]
Your browser is not able to display this video.
 
Vipi huyu nae ni Dada ako au [emoji848]

 
#Gostomel , Kiev region, probably the end of February 2022, the Russian Ka-52 helicopter is fighting and at the end makes an emergency landing
 
Mpaka sasa hivi US ana act as a fifth party in this war but Putin and Russia have started to feel her pressure. Je, ikiingia moja kwa moja vitani itakuwaje? Tuwasiliane baada ya vita.
Putin kapeleka huko Ukraine Askari ambao sehemu kubwa ni JKT ya Russia...Askari wenyewe ambao ni trained wako Mpakani wakisubiri Kuona Kama NATO atajilipua kwa kutia mguu vitani...hata air Force ya Russia inayotumika huko Ukraine ni chini ya asilimia tano ya air Force yake..asilimia nyingine wanaisubiri NATO...
 
Binafsi naombea US aingie tuone itakuwaje. Na mpaka sasa hivi inaonekana kama US inatafuta kisingizio cha kuingia vitani.

Mzee unafikir US akiingia NATO nao wataingia kwa upande wa Russia kuna china, India, korea, Iran nk nao watamuunga mkono kumbuka Russia ananguvu kubwa sana Asia wengi wanamuunga mkono.

Hio itakua WW3 na mmarekani hawezi ingia kama hujui mmarekani anatafutwa ajichanganye na hao NATO.
 
Wewe mkenya hebu rudi kule kwa thread yetu ya nairobi &dar esaalm .....ndo pana kufaa huku .....huku unaleta ushabiki.....rudi kule tufagie kichwa na nyundo za maana...

Jadili hoja uliyoikuta kama ilivyo, si mnajifanya Warusi wa Bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…