Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sidhani China itaingia upande wa Urusi, wala Uhindi. Wote wawili wanajikunja kwa sababu wanachukia vita ya Putin lakini wanataka kutunza ushirikiano na Urusi. Wote wawili hawakupinga azimio la Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa kukosoa uvamizi wa Urusi, walipendelea kuabstain.
Kuota ndoto ni tamu, ila kwa bahati mbaya tunapaswa kuamka.
 
Tatizo Urusi alituahidi ndani ya siku tatu atakuwa kashafika Kyiv na kumkamata Zelensky sasa mambo yamekuwa tofauti.

Ulitaka mambo yaweje? Na wapi Urusi aliahidi ndani ya siku 3 ukinipa evidence nakutumia 200k wanajf hili suala niko siriaz akinipa hzo evidence namtumia laki2 na cashout fee.
 
😂 😂
After the loss of about 2,000 armored vehicles and trucks, the RF Armed Forces are expecting reinforcements in the form of deer soon. And get deer on deer
 
Unachekesha Sana. Mbona Syria walikuepo na aliingia Rais wetu Putin
 
Utoto Tena!!! Unazijua mbinu za medani wewe?. Unataka ajianike wanato wamsome?. Russia Ni strategic country. Na ndio nchi inayoweza kumbishia yeyote yule na sifanye kitu au huoni. Amka jombii
 
Acha kuropoka funga bakuli lako
 
The number of confirmed facts of loss of equipment of the RF Armed Forces exceeded 1,500 units, - Oryx data: Since February 24, the Russian army has lost hundreds of armored personnel carriers, infantry fighting vehicles and other armored vehicles. The Ukrainian military captured 106 enemy tanks. We emphasize that only equipment confirmed by photo or video is included.
 
ZSU WAS LITIGHED

One of the ORKIV REFE helicopters, which was shot down by the Armed Forces of Ukraine, had the inscription "To Berlin".

Send these photos to Chancellor Scholz and all Germans in general, let them sympathise.
 
Vipi huyu nae ni Dada ako au [emoji848]

View attachment 2155843
Kaka unajitahidi kupinda maneno (nimeshasema? Samahani). Hujaleta maelezo ya Nuland, bali tweet juu yake.
Hali halisini kile nilichosema juu. Umoja wa Kisovyeti ilikuwa na silaha ya kibiolojia. Baada ya mwisho wa Ukomunisti nchi kama Urusi na Ukraine zilitafuta ushauri na usaidizi jinsi ya kushughulika mabaki ya silaha hizo. Nisipokosei Marekani ilianza kutoa misaada ya kitaalamu kwa nchi zote mbili kuendesha maabara ya utafiti ya silaha hizi na kufanya uchunguzi kwa shabaha ya kujenga uwezo wa kupambana na hatari hizo. Ushirikiano wa Marekani na Urusi ulikwisha baada ya uvamizi wa kwanza mwaka 2014.
Ushirikiano na Ukraine umeendelea. Hakuna dalili yoyote kwamba silaha za kibiolojia ziliandaliwa hapa.
Urusi ilishambulia Ukraine kwa kutangaza uwongo kuhusu serikali ya NeoNazi (chini ya rais Myahudi!!!! ambayo ni kichekesho ca kuhuzunisha), madai kuhusu mauaji wa kimbari dhidi ya raia wenye lugha ya Kirusi (pia kichekesho kibaya ilhali rais Zelensky ni Mrusi Myahudi ) na kwa kuvunja ahadi zake za kulinda umoja waUkraine.
Baada ya historia hiyo ya kusambaza uwongo Nuland alisema kwamba waliona atai Urusi iliweza kukamata mata kutoka maabara na kuitumia kwa kusababisha hatari kwa watu kwa lengo la propaganda, eti ilikuwa tendo la Ukraine.
Ambayo isingekuwa ajabu baada ya historia yake ya uwongo.

KAma hali ya vita inaanza, ni vema kuondoa vitu hatarishi katika eneo ambako mapigano yanaweza kutokea. Kwa bahati mbaya vituo vya kinyuklia haviwezi kufungwa na kundolewa mara moja jinsi ilivyo kwa maabara yenye kilo (au gramu?) chache za sampuli. Vitu hivi viko pia hatarini ktokana na mashambulio ya Kirusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…