Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Marafiki wa kuazima ni pamoja na mimi
 
Jifunze kutafakari,na unatakiwa uwe unajisikiliza kwanza kabla hujatoa hayo mawazo yako fyongo kwenye haraiki,vita ya leo ni techniques, sio wingi wa nchi wa majeshi,ni tecnolojia tu,hapo ilipo urusi inauwezo wa kupiga Washington na New York bira kupeleke ndege wala vifaru,ili uingie kwenye vita,cha kwanza ni lazima ufanye utafiti wa kijeshi,he adui yako ana nguvu ipi? Ana siraha zenye uwezo upi? Ndio maana mpk sasa nato wamekaa kimya juu ya uingiliaji kijeshi Ukraine,wanamjua vzr mrussi nguvu zake na uwezo wake ki siraha,kwa taarifa ya nato,russia mpk sasa hajatumia siraha zake za kisasa,anatumia siraha za kizamani tu dhidi ya Ukraine,lkn endapo Nato itaingilia kijeshi Ukraine,ni hapo sasa ndio utashudia uwezo na nguvu za russia,achana na propaganda za BBC,voice of America,na Dutch well,utafute ukweli kwa kutumia milango mingine,
 
Almost 14,400 people were evacuated to Russia from various dangerous areas in Ukraine in the past 24 hours without Kiev’s assistance, Russian National Defense Control Center head Colonel General Mikhail Mizintsev said on Friday.

"Takriban watu 14,400 wamehamishwa hadi Urusi kutoka maeneo mbalimbali hatarishi nchini Ukraine ndani ya masaa 24 yaliyopita bila usaidizi wa Kiev, Russian National Defense Control Center head Colonel General Mikhail Mizintsev said on Friday."

"Without the participation of the Kiev government, a total of 14,397 people were evacuated to Russia from various dangerous areas of Ukraine and the people’s republics of Donetsk and Lugansk. Among them were 2,781 children.

"Bila ushiriki wa serikali ya Kiev, jumla ya watu 14,397 walihamishwa hadi Urusi kutoka maeneo mbalimbali hatarishi kutoka Ukraine na jamhuri za watu za Donetsk na Lugansk. Miongoni mwao walikuwa watoto 2,781.

The overall number of evacuees since the start of the special military operation now stands at 297,858, including 63,465 children," he said.

Jumla ya waliohamishwa (kuelekea Russia) tangu kuanza kwa operesheni maalum ya kijeshi sasa ni 297,858, wakiwemo watoto 63,465," alisema.

According to Mizintsev, 181 foreigners from nine countries were evacuated to Crimea without the Ukrainian side’s participation, including citizens of Nigeria (32), Uzbekistan (23), Kazakhstan (17), Lebanon (seven), Sri Lanka (six), Pakistan (four), Serbia (one) and Tunisia (one), as well as 90 citizens of Ukraine.

Kwa mujibu wa Mizintsev, wageni 181 kutoka nchi tisa wamehamishwa kwenda Crimea bila ushiriki wa upande wa Kiukreni, Kwa uchanganuo zaidi ni Raia wa Nigeria (32), Uzbekistan (23), Kazakhstan (17), Lebanon (7), Sri Lanka (6), Pakistan (4), Serbia (1) na Tunisia (1), pamoja na raia 90 wa Ukraine.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapa baadae vichwa vya habari vya kimagharibi vitakuja na title ikisema Russia kateka watu 14k mateka [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Nyongeza hyo ya ya Coment... [emoji23][emoji23][emoji23] Kura za wadau [emoji2958][emoji2958][emoji2958]



Mpaka sasa USA na Europe Combined ni 93% na Russia ni 7% katika 63 walioshiriki kura hizo... Then mtizame aliyetoa Poll hiyo ni Ukrainian huyo wa mwisho kabisa kwenye hii screenshot ambae alianza kwa kuweka kwa Russia [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

 
Mrusi kelele tu hana huo ubavu ajaribu apigwe nyie mnawaona kama wanaiweza dunia ahahah. Alikuwepo mwanaume hitler huyo putin mweupe tu. Nipo Manzese kwa mfuga mbwa.
Hitler alipigwa na joseph staring kama mtoto,mfaransa na mwingereza walikuwa wakipambana na benito Mussolini wa Italia,wakati marekani wakipambana Japan,waulize wamarekani kilichowapata Japan mpk ikwalazimu kutumia atomic,,
 
Huyo Hitler alipigwa na Warusi na siyo taifa lingine kamaulikuwa hujui sasa ujue
Watu wana ushabiki wa kijinga sana,hawafanyi utafiti kbs,mrussi ndio toka enzi za Napelion,ubabe na uwezo wa urussi utaukuta cuba,Venezuela,Syria,kipindi cha vita ya Vietnam na Korea,popote pale akigusa mrussi wengine ni chali,
 
jifunze geopolitics.., hakuna siku saudi Arabia inaweza alienate USA katika foreign policy Yake kwa sababu ndie anaemlinda kutokana na adui yake mkubwa Iran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…