Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Picha na ofisi ya hakimiliki ya Russia - Russia Intellectual Property Office.

Russia imepata toleo jipya mbadala wa McDonalds.

Migahawa yote 847 ya MacDonalds nchini humo imechukuliwa na warusi na waendeleza biashara.

Alama hiyo mpya yatiwa Uncle Vanya na itamilikiwa na kampuni ya Russkoye Poyle Logistik.

New World Order yaendelea.
 
Hauna mamlaka ya kumpangia mtu cha kupost humu. Eti madhara,hayo mashara hamkuyajua mwanzoni mnaanza vita na mkajitamba kuwa ndani ya siku tatu mtakuwa mshaangusha utawala wa Kyiv? Leo mambo yamekuwa magumu mnaanza kuleta visingizio vya kindezi.
 
Russia wazee wa siege, navyoona mimi kuna vikosi nje ya kiev.
Kuzuia kiev isitoe msaada kwa miji mingine.
Wakati wakiizunguka hii miji mingine na kuichukua taratibu.
Wao hata Operation ikichukua miezi nadhani ni sawa kwao na ndio mpango wao.
Eti hata operation ikichukua miezi kadhaa hakuna shida,hizo gharama atawezaje kuzilipa na huku ana vikwazo.
 
Eti hata operation ikichukua miezi kadhaa hakuna shida,hizo gharama atawezaje kuzilipa na huku ana vikwazo.
Hapa tunaleta updates wewe umekuja kuchamba watu. Kwanini usiende kwenye thread husika!? Kama kichwa chako ni kidogo, zipo thread zinazokufaa. Thread hii ipo juu ya uwezo wako.
 
Hauna mamlaka ya kumpangia mtu cha kupost humu. Eti madhara,hayo mashara hamkuyajua mwanzoni mnaanza vita na mkajitamba kuwa ndani ya siku tatu mtakuwa mshaangusha utawala wa Kyiv? Leo mambo yamekuwa magumu mnaanza kuleta visingizio vya kindezi.
Stop being fools man. Ushaambiwa hii si vita. This is special operation! Ingekuwa vita hali unayoiona kule ukraine ingekuwa mbaya sana. Operation itaisha tu pale mpoki atakapotoka mbio na kuiacha nchi bila uongozi. Na hili halina muda kutimia. Just a metter of tym.
 
Sasa km USA alichukua miezi miwili kuvimaliza ajabu ni nini wakati Russia ndio kwanza ana mwezi

Au unataka kusema Russia ni super power kuzidi marekani? Eleweka

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwanza USA haijapakana na Afghanistan lakini hawakupata logistical challenges kama mrusi anavyotaabika. Yani super anashindwa katika conventional warfare na jirani mdogo kama Ukraine. USA ikitaka kuvamia Cuba ndani ya wiki moja kutakuwa na dola mpya.
Na hivi vita havitaisha Mpaka mrusi aondoke Ukraine na hatapindua serikali ya zelensky
 
Ulitaka waendelee kutumia nguvu ndogo huku Ukraine na nchi za NATO wakitumia nguvu kubwa? Desperate move?! How?! Hiyo ni lugha ya BBC, Aljezeera na Sky News na pia CNN...duh..
Hii ndio maana hasa ya unafiki
Your browser is not able to display this video.


Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…