Kwa hiyo kisingizio ni mambo ya kupakana tena [emoji1787]Kwanza USA haijapakana na Afghanistan lakini hawakupata logistical challenges kama mrusi anavyotaabika. Yani super anashindwa katika conventional warfare na jirani mdogo kama Ukraine. USA ikitaka kuvamia Cuba ndani ya wiki moja kutakuwa na dola mpya.
Na hivi vita havitaisha Mpaka mrusi aondoke Ukraine na hatapindua serikali ya zelensky
Kawaida mtengeneza silaha hua anatufata uwanja wakujaribu silaha yake kwenye uhalisia, hapo wapo kwenye utafiti kuona je kombora linaweza kuzuiwa, Uharibifu wake unatosha au uongezwe kukidhi viwango wanavyotaka na lengo hasa la silaha za Russia sio kuja kulipua Africa zimetengenezwa kwa ajili ya ku destroy West Europe na USA halikutengenezwa kwa ajili yako we msaka tonge wa BuseresereJamaa wameamua mpaka kutumia hypersonic missiles[emoji23][emoji23]halafu mashabiki zao humu ndani wanakwambia jamaa mpaka sasa anatumia silaha za zamani bado hajatoa mpya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani Marekani hana Bunker Burst ambazo Israel analilia apewe ili aende kulipua underground facilities za nuclear za Iran?Ngoja tuone....
Kombora linalofumua mpaka mahandaki, sio la level ya vita hii.
Unamuuliza nani hilo swali sasa? Israel naye anapigana Ukraine?Kwani Marekani hana Bunker Burst ambazo Israel analilia apewe ili aende kulipua underground facilities za nuclear za Iran?
Ni nini unajaribu kusema? Embu tuambie wewe ni nini ulitegemea russia kufanya tofauti na kile wanachokifanya kwa sasa.Kwanza USA haijapakana na Afghanistan lakini hawakupata logistical challenges kama mrusi anavyotaabika. Yani super anashindwa katika conventional warfare na jirani mdogo kama Ukraine. USA ikitaka kuvamia Cuba ndani ya wiki moja kutakuwa na dola mpya.
Na hivi vita havitaisha Mpaka mrusi aondoke Ukraine na hatapindua serikali ya zelensky
Umebeba zero kichwani halafu unajifanya eti ni operation, kwanza unajua tofauti kati ya Vita na Operation?Stop being fools man. Ushaambiwa hii si vita. This is special operation! Ingekuwa vita hali unayoiona kule ukraine ingekuwa mbaya sana. Operation itaisha tu pale mpoki atakapotoka mbio na kuiacha nchi bila uongozi. Na hili halina muda kutimia. Just a metter of tym.
Kuomba Meeting na Xi Jinping, Kusema kwamba Itaondoa vikwanzo mgogoro ukiisha, NATO kusitasita, USA kutaka kumtorosha Zelensky wakati operation Imeanza, Zelensky Kuisema vibaya USA na NATO Kwamba wanamuogopa Russia ni Pychologically Russia kawapiga.Marekani lazima ubabe wake uishe naona nchi zimeamua sasa kumkazia.
Story za konyagiKuomba Meeting na Xi Jinping, Kusema kwamba Itaondoa vikwanzo mgogoro ukiisha, NATO kusitasita, USA kutaka kumtorosha Zelensky wakati operation Imeanza, Zelensky Kuisema vibaya USA na NATO Kwamba wanamuogopa Russia ni Pychologically Russia kawapiga.
Marekani walishaivamia Cuba miaka ya 1950 kwa operation ya Bay of pigs na wakapata kichapo kitakatifu ambapo wengi walikufa na wengine waksahau boats zilizowaleta na wakawa wanaogelea Ili wafike Marekani..kilichowapata hao waogeleaji uchwara mpaka leo hakijjulikani...Kwanza USA haijapakana na Afghanistan lakini hawakupata logistical challenges kama mrusi anavyotaabika. Yani super anashindwa katika conventional warfare na jirani mdogo kama Ukraine. USA ikitaka kuvamia Cuba ndani ya wiki moja kutakuwa na dola mpya.
Na hivi vita havitaisha Mpaka mrusi aondoke Ukraine na hatapindua serikali ya zelensky
Vyombo vya habari vya kimagharibi bado vinatumia mbinu zile zile za zamani. Yaani bullying style. Yaani wanafanya mambo ya kizamani sana. Wanafungia media ili wao wasikilizwe.Kuomba Meeting na Xi Jinping, Kusema kwamba Itaondoa vikwanzo mgogoro ukiisha, NATO kusitasita, USA kutaka kumtorosha Zelensky wakati operation Imeanza, Zelensky Kuisema vibaya USA na NATO Kwamba wanamuogopa Russia ni Pychologically Russia kawapiga.