Google chrome
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 2,287
- 12,856
Vyombo vya habari vya kimagharibi bado vinatumia mbinu zile zile za zamani. Yaani bullying style. Yaani wanafanya mambo ya kizamani sana. Wanafungia media ili wao wasikilizwe.
Kwa kifupi huko ulaya zipo nchi hazipendi kabisa haya yaendelee, lakini kwakuwa walishawekwa mfukoni na USA wanafuata amri.
Mkuu hiyo habari hujaielewa vizuri ,Eneo lililo shambuliwa ni Eneo lake mwenyewe Ukrein (donetsk and luhansk).Warusi wa kwa mpalange wanapenda tu kusikia Ukraine imeshambuliwa, Sasa Russia kashambuliwa wamebaki kumbwelambwela tu.
Acha upotishaji Ukraine haina uwezo wa kufanya mashambulizi ndani ya Urusi kwa sababu maeneo ambayo angeyatumia yote yame tekwa na Urusi.Warusi wa kwa mpalange wanapenda tu kusikia Ukraine imeshambuliwa, Sasa Russia kashambuliwa wamebaki kumbwelambwela tu.
What if tukisema ni msafara wa Vifaru vya NATO na Ukraine?Kumbe ilikua zuga, msafara ulisubiriwa hadi ufike eneo la kujianika vizuri, vifaru vimepigwa mapigo ya pamoja hadi huruma...
Hizi drones ni habari nyingine.
Ha ha haa,anaenda nje ya madaWatu huwa wanaboa sana.....
Unaambiwa hilo kombora sio level hii ( ingefaa kama lingetumika kwa mkubwa mwenzake).
Alaf yeye anasema mbona marekani anazo.
Hilo kombora alituma kwenye Nchi ipi ya NATO?Nilishasemaga humu ndani Russia anateknolojia ambayo anaweza tuma missile na lisionekane kwa rada kuna watu walibisha sana humu ndani.
Russia alituma kombora kule mpakan kwa majeshi ya NATO nikajiuliza hawa NATO wamepigwaje?inamaana hakukuwa na rada wala airdefense? Hapana zilikuwepo nyingi tu ila kombora lilipenya.
Tulishuhudia wenyew media za west walisema kombora halikuonekana kwenye rada zao coz NATO hawezi kupeleka jeshi lake bila kuwepo na security ya kutosha.
Kinzhal unaambiwa ilikua special kwa ajil ya NATO jiulize hawa jamaa nyuma wana silaha ngapi nzito na za maajabu hawajataka kushare na sisi??
Usifikir NATO ni wajinga kutoingia Ukraine ni wanajua Russia angewamaliza kweupe kabisa.
Kuna kitu kinampa kiburi Mrussi huenda huyu jamaa anateknolojia ya kuzuia nyuklia na lisilete madhara kanyamaza kimya anawasubiria[emoji28]
Kuna boya huko anakuja anakwambia Russia hamna kitu ni dhaifu aiseee. Russia anaupiga mwingi sana, heshima lazma irudi nawaambia
Alichofanya Russia anawaambia NATO nina missiles ambazo hamuwezi kuziona kwa rada zenu shenzi zenu mazafakaz hio ni msg tosha.
Ila nyie Russia ni mbabe kazinyamazisha nchi 30 sahv mpaka vikwazo wameishiwa wameanza story za kuomba jamaa apunguze moto fakenii[emoji28][emoji28]
Kwani Kenya cha kupigwa ni bandari tu....?usiombe itokee ndugu,hata akiamua kusapoti al shabab,kenya yote ipo mashakani,maana atawapa drones za kupiga bandari ya mombasa...
Safi na wakome sasaShambulio la ndege za russia kwenye kituo cha kupokelea mamluki cha ukraine,karibu na mpaka wa poland,lilikuwa pigo baya sana kwa nchi za magharibi na limewachanganya sana.
Wanajaribu kuficha ukweli wa madhara yaliyotokea,lakini walionusurika ndo wanatoboa siri baada ya kufika kwao,soma screen shorts hapa chini.View attachment 2156941View attachment 2156942View attachment 2156943