NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Jipige kifua sema Pietro ni mjinga.Facts za kwamba Russia ndo nchi ya Kwanza kufika mwezini?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa kiazi Sana [emoji23]
Kuna mambo yaache yapite tu. Unasoma unapita kimya.Facts za kwamba Russia ndo nchi ya Kwanza kufika mwezini?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa kiazi Sana [emoji23]
Kweli Mkuu ngoja nifanye hivyoKuna mambo yaache yapite tu. Unasoma unapita kimya.
Kaka kama ungeangalia idogo mambo yanayoendelea huko ungejua zaidi. Kati ya nchi zote za Ulaya Mashariki ndipo Bulgaria ambako watu wengi kidogo wanajisikia karibu na Urusi na idadi ndogo kuliko nchi nyingine inakosoa Urusi.NATO Sasa kuvunjwa,hivi karibuni.
Huenda maandamano haya yakasambaa ulaya nzima.
Kabisa boss.Kweli Mkuu ngoja nifanye hivyo
Kwahiyo US alienda kufanya nini Syria??Kwamba USA alikua Yuko vitani na Syria?! Duh humu ndani kuna vichekesho[emoji23][emoji23][emoji23]
Embu uliza mpaka Leo huko Syria ni nani ndo anamiliki visima vya mafuta.
Fanya hivyo kwa sababu wewe ni mjinga.Kweli Mkuu ngoja nifanye hivyo
Duh kweli ndugu yangu we mweupe sana. NI lini Marekani alitangaza yupo vitani na Syria zaidi ya kufanya operations za kuangamiza ISIS?! Aliiadhibu Syria kwa Cruise missiles baada ya kutumia chemical weapons.Kwahiyo US alienda kufanya nini Syria??
Hahaha kwahiyo visima vya mafuta anavyo US ambae leo tayari bei ya mafuta kwake ni mgogoro
Ile mizoga Mia tatu ya Ukraine mbona hujaipost
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]punguza jazba mbona mapema Sana.Fanya hivyo kwa sababu wewe ni mjinga.
A Moon landing is the arrival of a spacecraft on the surface of the Moon. This includes both crewed and robotic missions. The first human-made object to touch the Moon was the Soviet Union's Luna 2, on 13 September 1959.
Wewe uwezo wako wa akili bado ni mdogo sana. Nakushauri usijiaibishe mbele za watu kwa namna unavyo comment humu.Duh kweli ndugu yangu we mweupe sana. NI lini Marekani alitangaza yupo vitani na Syria zaidi ya kufanya operations za kuangamiza ISIS?! Aliiadhibu Syria kwa Cruise missiles baada ya kutumia chemical weapons.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pro Russia wa kwa Mpalange mahaba yamezidi mpaka unataka kurusha ngumi[emoji23][emoji23]DOHWewe uwezo wako wa akili bado ni mdogo sana. Nakushauri usijiaibishe mbele za watu kwa namna unavyo comment humu.
Elimu ni expensive. Tumia muda na fedha kupata elimu. Utaondokana na gonjwa lako hili la ujinga.
Hapo ndio utajua vitu vingi duniani tunatengenezewa na kulishwa kulingana na matakwa yao.Kwani mrusi hana altenative ya GPS?
Mtu wa kwanza kwenda kwenye space ni Yuri ambaye ni mrusi, ambaye leo hii tu kavuliwa honors zote ( maajabu ya watu wa magharib, unamvua honors mtu aliyekufa. Inasaidia nn asa anahusika nini?).
Engines za Rocket wanazitoa wapi hao wamarekani? Kurusha vitu vyao kwenye space?
Mpaka leo hiyo man landing ya USA kuna controversial. Fuatilia ndio uje hapa. Hiyo ni movie ilitengenezwa mzee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]punguza jazba mbona mapema Sana.
In fact, the first nation to send man on the moon was United States and is the only country in the world to have successfully conducted manned missions to the moon.