Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Si
Umesema mwenyewe kuwa wamepiga upande wa magharibi.
Ni mbali kutoka walipo, kulikuwa na uwezekano wa kuwa intercepted. Na walihitaji precision ya hali ya Juu.
Sidhani. Juzi tu walipiga kituo cha kijeshi karibu na Lviv karibu na mpaka wa Poland. Walitumia cruize missiles za kawaida kutoka anga la Urusi. Nisipokosei walirusha 6, 2 zilizuiliwa, nne zilifika na Urusi ilitangaza ushindi mkubwa. Hapa sielewi kwa nini wanafichua makombora ambayo yalikuwa siri hadi sasa na ambayo si lazima maana hayana uharibifu wa umakini zaidi.
Swali itakuwa tena wana akiba kiasi gani. Itaonekana.
 
❕🇧🇬 An anti-NATO protest was held in Bulgaria on Saturday


Activists said they were against Bulgaria giving its "few remaining weapons" to Ukraine and were heard chanting, "NATO Out!"


Bulgaria has been a member of the alliance since 2004


Your browser is not able to display this video.
 
Wanajeshi wanajificha kwenye mahandaki unataka wakachomolewe kwa mtindo gani na wana silaha?? Hayo mabomu ya Vacuum ndio kazi yake sasa, kikubwe UKRAINE wakubaliane na matakwa ya URUSI, kisha wajipange kwa siri sana kutengeneza silaha za kujilinda.
wakitumia hayo mjini penye makazi ya watu itakuwa ni kesi ya jinai ya kivita. Inaeleweka kabisa. Inaonekana Jeshi la Kirusi linakosa uwezo hadi sasa kupita tu kati ya miji, kukata mawasiliano yote na kusubiri hadi njaa inawalazimisha kusalimisha amri.
Wakijaribu kuvunja moyo wa Ukraine kwa kuchinja watu raia wanabomoa zaidi sababu zote ambazo walitaja eti wanataka kuokoa raia kutoka kwa utawala wa Neo Nazi, kuzuia mauaji ya kimbari wa Waukraine Warusi - sasa wanaitekeleza wenyewe.
 
Yalikuwa sirini au wewe hukuyajua?
Yapo mengi tu, hilo dogo mbona......
 
Wanatoroka sana tu sasa hivi
 
Unajua kama barabara zote za kuingia KYIV zimeharibiwa na UKRAINE wenyewe ili kuzuia vifaru na magari ya URUSI??
Hapo unataka watumie njia gani kuingia?? Ndio wanatuma mizigo kwanza wanasafisha kuanzia walioko ardhini mpaka juu huu. Then wanaingia kwa uhuru mjini kati.
 

 
Lazma wasepe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…