Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

poland hata tz tunawamudu vizuri tu kupewa silaha sio sababu tatizo ukraine imeijulia kiundani kwenye huu mgogoro tu jamaa wameuza silaha nyingi mpaka ufaransa
Ukraine anauza silaha ambazo tech yake iliundwa Soviet Union. Mbona inauza hata kwa Urusi.

South Afrika inauza silaha kwa wazungu, kwamba inaweza wapiga?
 
In Greece, activists pelted it with red paint to protest against the entry of a NATO ship into the port.

The action was staged in Piraeus by left-wing organizations from the Communist Party of Greece and the Communist Youth of Greece, local media write.

The day before, a demonstration against NATO and military assistance to Ukraine took place in Bulgaria near the building of the country's Ministry of Defense. Similar actions took place in Italian cities.
Galip SV Liwagu
Your browser is not able to display this video.
 
Habar Kama hizi mamluki wakifyekwa ndo napenda kuskia[emoji4][emoji106]
 
Sahivi hawapaswi kuzungumza,
Kichapo kiendelee mpk Zelensky aweke silaha chini
 
Vita vina faida kubwa sana.....
Vita vina hasara kubwa sana.....

Matokeo ya vita yataamua aina ya maisha tutakayoishi, jinsi ya utenda wa kibiashara nk.
Nikupe mfano. WWii ilileta faida nyingi japo hasara zilikuwa kubwa pia.
1. Bila WW2 kusingekuwa ta nchi ya Israel,
2. Bila WW2 kusingekuwa na UN.
3. Bila ww2 kusinfekuwa na korea hizi mbili. Hii ni faida kwa upande mmoja.
Hasara ni vifo, uaribifu wa miundo mbinu nk.
Kwa hiyo uwepo wa Hitler wakati ule ilikuwa ni faida kama ilivyo kwa putin sasa. Ni faida pia.
Mwisho wa hii operation (sio vita) inayoendelea kule ukraine matokeo yake yatabadili mifumo mingi ya kibiashara. Maana nchi nyingi zimestuliwa kwa aina ya vikwazo walivyowekewa russia na westen.
Usije ukashangaa kutokea kwa aina nyingi za mifumo ya ulipaji kama ile a swift wanayoringia US na wenzake. Wenzetu wanakuna vichwa sasa ili itakapokuja kutokea tena wajue wapi pakukimbilia.

Operation itaendelea mpaka malengo yatakapofikiwa.
 
Completely irrelevant, Telegram kazi yake Kubwa nikusambaza pornography

Ndio ulikua unasambaza zako nini haha huko tweeter zilipojaa mbona huongelei hakuna apps isiosambaza porns kila app nowadays hadi hizo language apps zishaharibiwa siku izi,,, kipindi cha covid bbc ilikua inaonesha jinsi watoto wanavyorubuniwa ili waoneshe tupu zao kwa strangers online tena watu wazima Kwenye β€œOmegle”(video chat).Crazy people are everywhere ni wewe tu kama unataka kuitumia apps kujifunza,kupata Habari,kupata hela au kutumia kwa mambo yakijinga it’s up to you nobody force you to use it!!!
 
israel inakalishwa na hezbullah kila battle
Hezbollah hii ambayo kila mara Israel inashambulia silaha zake zinazotoka Iran.

Kushindwa vita unakuchukuliaje. Urusi ikivamia Ukraine ikaua watu mamilioni ila ikashindwa kukamilisha operation hapo tutasema imeshindwa. Marekani ilishindwa Vietnam kwa kukosa kukamilisha lengo. Lengo la Israel ni existence palepale Arab land. Lengo la Hezbollah ni kuifuta Israel, Israel imefutika? Nani kashinda pale, hata ukija kwa vifo ni upande gani huwa wanakufa wengi zaidi
 
Aliyasema JF? Blinken yuko JF hapa. Humu JF hatujawahi sema Ukraine ashinde, ugomvi wetu ni performance mbovu ya Russia. Humu hatujawahi jadiliana na Antony Blinken. Unaniulizaje kauli za mtu mwingine, muulize yeye
Teh teh teh...uliposema kuwa hata EU wanaopeleka msaada wa silaha hakuna anayeota kuwa Ukraine atashinda ulikuwa wakusudia EU wa hapa JF?


Haya mwanaJF huyu Sandali Ali anaamini kuwa Ukraine atashinda mpaka yupo tayari kuwekeana dau na ambao wanaamini kinyume chake. Au yeye sio mtu wa JF?

Ifikie muda uache kuongea mambo ya ujumla jumla



 
Inamaana Georgia kagoma kuungana na pro Americans kumuwekea sanctions Russia[emoji4][emoji106]
 
In January-February, Russia supplied more than half a billion dollars worth of pipeline gas to China.

This amount is almost 3 times higher than last year's figure. This was reported by the General Administration of Customs of the People's Republic of China.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…