Wacha unafki, jamaa ndo ameanzisha. Mimi niko hapa kwa maslahi ya Ukraine.
Kiduku ana mizuka na vita!North Korea fires multiple rocket launcher shots into Yellow Sea – reports
North Korea appeared to fire four shots from its multiple rocket launchers into the Yellow Sea early on Sunday, military officials in Seoul have said.
“There were shots believed to be that of North Korea’s multiple rocket launchers this morning,” a South Korean military official told Yonhap news agency.
“We are maintaining our defense readiness posture, while closely following related developments,” he added.
View attachment 2157781
Haka kavideo umekaangalia au umesoma hayo maelezo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna source nyingine au ndio naelezo ya msimuliaji tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kibao kimegeuzwa baada ya Urusi kudhihirisha udhaifu wake, Ukraine walijikita kwenye kuhimili mashambulizi, ila sasa baada ya kubaini adui alivyo na kumsoma, wameanza kushambulia wao pia.
Ameanzisha na wewe ukaingia mzima mzima kuendelezaa vita na Tanzania yote iliyopo humu kwenye huu uzi? Hakuna Mtz atakayesapoti ulichofanya sababu anasapoti Ukraine kama wewe. Tutakushambulia.
View attachment 2157784
Duhh [emoji3][emoji3][emoji3]100 tuu ilitakiwa wafe wote hao[emoji35][emoji35][emoji35] ila sio mbaya kajitahidi
VIVA PUTIN
Russians are 10 times worse, my cousin can attest to that wakati akikua Saratov State Medical University. Jiulize mbona hakuna wafrika ama foreigners wengi huko.Maslahi ya Ukraine?
Taifa baguzi la wazi wazi kwa watu wenye asili yako.
Neo Nazi
Extremists
Kweli Nyerere hakukosea kuwaita wakenya Nyang'au.
Ndio maana mna Kambi za majeshi ya kigeni kwenye ardhi yenu.View attachment 2157787
Angalizo nishakupa kuwa upo kwenye himaya ya WATANZANIA.Huyo jamaa namjua vizuri sana, kule kwa uzi wa Kenya na Tanzania ndugu zake wenyewe hawamtaki. Sasa kama utanishambulia kwa niaba ya huyo kilaza utakua unajikosea mwenyewe.
Ungekuwa Povu trump asingehangaika na kupanda kwa soko la Huawei dunianiUchumi wa China ni kama povu kubwa tu, muda wowote unapasuka
Narudia tena, hapa niko kwa maslahi ya Ukraine.Angalizo nishakupa kuwa upo kwenye himaya ya WATANZANIA.