Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Iraki idadi kubwa ya watu raia iliuawa na Daesh na wanamigambo iraki. Si mabomu mfululizo ya Marekani kwa nyumba za wakazi. Onyesha takwimu yako.
 
Morale lazima ipo chini- amri jeshi mkuu anatafutiwa hifadhi nchi rafiki-majenerali wameaasi na wamekubali kuondaa majeshi Ukraini.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] majenerali wameasi au sio??
Haya tumalize vita, tusiendelee na mjadala UKRAINE wameshinda, tusogee maeneo tukapate bia baridi.
 
Morale lazima ipo chini- amri jeshi mkuu anatafutiwa hifadhi nchi rafiki-majenerali wameaasi na wamekubali kuondaa majeshi Ukraini.
Bila hata russia, Luhansk na Donetsk wangepigana........
Mwaka 2014 walikaribia kabisa kuchukua Mauripol, Russia ndio aliowazuia.
Baadhi ya mageneral wakati ule ( wa Donbass) walichukizwa na hilo suala, asa huwezi kusema kuwa hawa watu wana morali ya chini.
 
😅😂 punguzeni kutudanganya ,tuoneeni huruma japo kidogo
 
Mi huwa nacheka nikiona mtu yuko MAKONGO JUU, anachambua vita na hata GOBOLE hajui kufunga na kulifungua.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1] we jamaa umeandika mashudu
Wewe unayereport ulishawahi kupigana vita ipi? Yani wakichangia wengine unawacrash kwa lugha ya madharau wakati huo huo unatullisha kabobo zako utadhani uko Live Kyiv.Sote tulioko kwa huu uzi hakuna aliyeko Ukraine,so hakuna aliye mkweli zaidi kuliko mwingine.
 
Hii ni "Western Media propaganda" haiwezekani Reuters wakareport kitu cha ukweli,ingetokea RT ningeamini 🙂
Mwaya shosti angu, chukua hii hapa itakufaa zaidi👇👇👇

Ndegevita mbili za Russia zikiangamiza ngome ya kijeshi ya Ukraine ktk shambulio ambalo ndege hizo zilipita kweye kimo kifupi kabisa toka ardhini Ukraine pasi na kupata upinzani wowote


 
Bado, miezi miwili ni muda mfupi sana kwenye issue ya vita. Labda miaka mitano ijayo ndio muanze kuhoji.
Kwahiyo tunakubaliana mambo si rahisi kama tulivyoaminishwa hapa mwanzoni wa huu mzozo na pro Russia wa JF?
 
Ukimaliza ulete na clip zile wanadunguliwa Warussi Boss wangu 😀
 
Hii "operation" imewafrustrate vibaya sana Warussi wa JF.Putin unawamaliza watu huku kwa stress,maliza hii operation haraka watu wapate ahueni😀
Sasa hivi wanauluza ni lini NATO na USA walimaliza vita kwa siku 3? Wameshasahau kuwa hii ilikuwa ni operation tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…