Kwa iyo Mimi ni mukraineVipi kuhusu vita ya syria ambayo imedumu zaidi miaka 10?
Vipi kuhusu vita ya Iran na Iraq iliyo dumu miaka 8?
Vipi kuhusu vita ya Talban na Marekani iliyo dumu miaka 20?
Leo hii hata mwezi haujaisha mshaanza kutia huruma?
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Wapuuuzi tuuuuu warusi, ukiona wanaondoa wanajeshi ujue wanataka kupiga kitu kizito cha nyuklia. Wanataka watukumbushe Ile la Hiroshima na NagasakiMorale lazima ipo chini- amri jeshi mkuu anatafutiwa hifadhi nchi rafiki-majenerali wameaasi na wamekubali kuondaa majeshi Ukraini.
Kwa mashairi yenye vina vya taarabu kama haya piga 102Vipi kuhusu vita ya syria ambayo imedumu zaidi miaka 10?
Vipi kuhusu vita ya Iran na Iraq iliyo dumu miaka 8?
Vipi kuhusu vita ya Talban na Marekani iliyo dumu miaka 20?
Leo hii hata mwezi haujaisha mshaanza kutia huruma?
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Kilio cha mtu mzima hicho,halafu Warussi wa hapa JF wanasema vikwazo si kitu kwa Russia 😀"Western countries are not only taking unfriendly actions against our country in the economic area. I'm speaking about the illegitimate sanctions that everyone is well aware of. However, the top officials of the leading NATO countries also make aggressive statements against our country as well,”
Kweli vita isikie kwa jirani tu
Nilijua huna jibu,haya pumzika sasa