thuwainize
Senior Member
- Jan 29, 2022
- 178
- 382
Kama china mwamba kweli amsaidie mrusi sasa military support na adindishe misuli kwa western na ionekane waziwazi ka wachina hawajakula jeuri yao usicheze na vikwazo vya uchumi putin analialia huko. Ndiyo maana china alipoambiwa anasaidia russia faster kakana futi mia maana anajua huawei ilivyopigwa dafrau hana hamu na mabeberu na soko la bidhaa zake kwa maana ya watu wenye hela wapo western. Aisee mabeberu huwezi shnidana nayo ukayashinda 100% lazima yakupige tuHawa jamaa wapumbavu. Wao wakipeleka kwa Wakrene sawa. China akipeleka Urusi shida. Stupid
Acha kuingiza udini wako weweMariupol ,Ukraine ni mji mtakatifu wa wakatoliki Russia kawachokoza wakatoliki
Huo mji ni wa Mama Bikira Maria na ndie Mlinzi wa huo mji.
Putin Dini yake Orthodox anaua wakatoliki wa Mariupol watoto wa Mama Bikira Maria
Kumbe umechagua kuleta habari za Bwana Stone; ambaye amehukumiwa jela Marekani kama mwongo na mdanganyifu. Umemchagua mtaalamu mkuubwa!!A former Trump adviser said that Russia is conducting a special operation in Ukraine for defense, not attack.
“In fact, there [in Ukraine] there are biolaboratories that are financed by our taxes and are preparing God knows what kind of plague to unleash on the Russian people.
Putin is acting defensively, he is not acting offensively. But you don't read about it in the mainstream media," he told Real America's Voice.
Earlier, former US President Trump called Putin's decision to recognize the independence of the DNR and LNR as brilliant and added that Russia "is going to keep the peace."
Galip SV Liwagu View attachment 2159000
Usikariri kuwa biolabs zote hushughulika na tafiti halali. Nyingine zinajishughulisha na bioweapons.Kumbe umechagua kuleta habari za Bwana Stone; ambaye amehukumiwa jela Marekani kama mwongo na mdanganyifu. Umemchagua mtaalamu mkuubwa!!
Alisahau kutaja kuna biolabs zilizolipwa na Marekana hataTanzania! Na nchi sijui ngapi duniani??
Maana kusambaza biolabsa duniani ni njia mojawapo jinsi gani serikali ya Marekani iansaidia tasnia yake , makampuni yanayotengeneza biolabs na vifaa vyake. Hawaruhusiwi kuwapa pesa moja kwa moja, lakini wakitumia pesa kutoka mfuko wa "msaada" wanatoa biolabs kwa nchi zenye mahitaji ilhali ni lazima kununua kila kitu Marekani.
Soma hapa: EXCLUSIVE: US envoy to UN speaks out on neutrality, sanctions and labs
EXCLUSIVE: US envoy to UN speaks out on neutrality, sanctions and biolabs
Dar es Salaam. US ambassador to the United Nations and former Assistant Secretary of State for African Affairs Linda Thomas-Greenfield has spoken out on the allegations that America has a host of bio-labs across the world including Tanzania.
In an exclusive virtual interview with The Citizen which comes just days after US undersecretary of state Victoria Nuland told the world that there were research facilities in Ukraine, Ms Thomas-Greenfield confirmed that there were such facilities across Africa but with a sole purpose of research and not otherwise.
“What we are supporting is research that will support countries including Tanzania...
Kwa hiyo unataka Putin atume mabomu pia Dar es Salaam kuokoa taifa??
Jina lake tu linadhihirisha ufahamu wakehiv unajua taifa lipi lilimpiga hitler au unaropoka mbona nato ilipigwa na talban?
Watoto na wazee wakiwa wametafuta hifadhi kwenye shule. Shule hiyo baadae ilishambiwa kwa mabomu na Wanajeshi wa Russia na kuua watoto na wazee kadhaa huku wengine wakijeruhiwa.
Ndiyo maana nimesema ww ni peupe pamoja na kujifanya mjuaji.Iraki idadi kubwa ya watu raia iliuawa na Daesh na wanamigambo iraki. Si mabomu mfululizo ya Marekani kwa nyumba za wakazi. Onyesha takwimu yako.
Sio kweli ... Warusi wanachapika bwanaKazi iendeleeView attachment 2159411
Ha ha haa ,🇺🇸🇺🇦🇷🇺 The United States is sending some of the Soviet-made air defense systems, which it acquired as part of a clandestine program decades ago, to Ukraine to help it fight Russia, The Wall Street Journal reports.
❗️The weapons are decades old and include the SA-8. The US obtained them to “examine” the technology used by the Russian military and help with training American forces.
Kunywa maji ya baridi,punguza munkari hii ndiyo JF sasa,una miaka 6 bado ushamba wa kukubaliana kutokubaliana haujakutoka tu kichwani🙂Unayumba sana... Dishi lako haliko sawa
Ila ndio hivyo tena ukraine wanakimbia wanaziacha zinaishia mikononi mwa Russian ArmyDuh hizi si ndo zile za Ujerumani,kumbe zimeishaingia Ukraine
CNN wazinguajiHizi media kubwa zina ajenda ipi [emoji849][emoji849][emoji849]
View attachment 2159596
Hilo jengo apo juu halipo wala Ukraine... Ni Serbian Resort inayosubir Reconstruction [emoji848][emoji848][emoji848]
View attachment 2159599
Kingine hii apo chini ni Tochka-U ya Ukrainian Army wameipost wakisema ni Unexploded Hypersonic missile ya Russia...
View attachment 2159602
Haya matumizi ya Uongo kwa kiasi hiki ni kitu gani wanachojarib kuuficha ulimwengu?
Zaidi kama kuna hii taarifa waliokuwa wakidai Raia kulazimishwa kwenda Russia...
View attachment 2159604
Kisha Raia wenyewe wanaka kulazimishwa.... Kuna nini kinaendelea [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
View attachment 2159607
Hizi media hata mtu akifanya joke ila inayoiattack Russia basi wenyewe wanaichukulia kama fact na wanaiandikaHizi media kubwa zina ajenda ipi [emoji849][emoji849][emoji849]
View attachment 2159596
Hilo jengo apo juu halipo wala Ukraine... Ni Serbian Resort inayosubir Reconstruction [emoji848][emoji848][emoji848]
View attachment 2159599
Kingine hii apo chini ni Tochka-U ya Ukrainian Army wameipost wakisema ni Unexploded Hypersonic missile ya Russia...
View attachment 2159602
Haya matumizi ya Uongo kwa kiasi hiki ni kitu gani wanachojarib kuuficha ulimwengu?
Zaidi kama kuna hii taarifa waliokuwa wakidai Raia kulazimishwa kwenda Russia...
View attachment 2159604
Kisha Raia wenyewe wanaka kulazimishwa.... Kuna nini kinaendelea [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
View attachment 2159607
Amekomboa na wapi.....Hivi mnajua Ukraine wamekomboa Mykolaiv...
Hivi vita Bado tunayo