Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Ndio usingetaja Tanzania sasa .... Yeye alisema Amesomea Chuo kikubwa ... Ungeishia Hapo ... Kuanza na wewe kuleta mbwembwe oooh nawajua wanafizikia kibao ni kujimwambafy kama vile ulichokuwa hutaki afanye mwenzako ...Kwa hiyo wote mmekutana NI PIPA NA MFUNIKO mnatoshana .... Na ukamalizia kama tungekuwa na wataaalam wangetutoa duniani ... Nimekupostia huyo mama ulikuwa unamjua !!!?? SI unawajua wafizikia wengi.., acha kujimwambafy .... Piga porojo humu kale kande za choroko usiku ujambe asubuhi uendelee maisha mengine .... Uwe mrussi wa itigi uwe MyUkraine wa hombolo hatuna lolote la kuamua humu zaidi ya porojo na kuvuta siku??? Hakuna chuo Tanzania kinachofundisha astronomia kama somo. Ukikijua, niambie.
Menginevyo hujaninukuu. Niliandika "Nchini Tanzania hakuna chuo kinachofundisha astronomia. Najua wanafizikia wachache wanaogusa astronomia katika kozi zao, lakini huwezi kuhitimu astronomia popote Tanzania."
Ukiweka maneno kwa alama za ""..."" angalau fanya hii sahihi.
Hivi kweli kuna watu mnafikiria Ukraine atahimili na kushinda hii operation? Nyie ndio mnaomdanganya Zelensky anapoona comments kama hiziKama mambo yenyewe ndiyo haya basi na tuseme kuna mtu mzima anakwenda kudharirika zaidi na safari hii atakimbilia kwenye nuke code moja kwa moja Frustration Tsh
USA na western wana upumbavu Fulani wa kijanga wanaposema wana mvua ni kwamba hakwenda bali walimpendelea.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila hapa nazani kuna vitu viwili mnachanganyana...
Kuna the first man in Space na The First Man to Walk/Land on Moon...
"The first Person in Space" ni Mrusi Mmoja hivi anaitwa Yuri Gagarin 1961... Na ambae hivi jana kama sikosei amevuliwa hyo "Honor" kisa huu mgogoro wa Ukraine na Russia... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anaevuliwa hyo Honor mwenyewe Marehem nikaanza kujiuliza hicho kitendo kinatatuaje mgogoro uliopo...
Ukipata mda kamfatilie...
Na "The first Person to walk/land on Moon" ndio huyo Mmarekan Neil Armstrong 1969... Ingawa kuna fununu chini kwa chini ikisemekana kua ni "Uongo" ila historia ndivo inavosema...
Matenki ya maji ya kifo haya[emoji48][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]VIVA RUSSIA ......VIIIIIVAAA .....STRONG RUSSIAN ....[emoji123][emoji123][emoji123]View attachment 2159698
iyo clip ina majibu yake humu ni ya mwaka 2014, RT Walishashikwa Ugoni 😂😂😂Mwaya shosti angu, chukua hii hapa itakufaa zaidi👇👇👇
Ndegevita mbili za Russia zikiangamiza ngome ya kijeshi ya Ukraine ktk shambulio ambalo ndege hizo zilipita kweye kimo kifupi kabisa toka ardhini Ukraine pasi na kupata upinzani wowote
View attachment 2159384
USA na western wana upumbavu Fulani wa kijanga wanaposema wana mvua ni kwamba hakwenda bali walimpendelea.
Kwenye uhalisia wa utundu wa sayansi ya anga Russia ataendelea kuwa kinara daima.
Zinalipuaje wakati ni vidogo sanaHizo ziliingia mapema zina wiki kadhaa kwenye matumizi.
Zinazosubiliwa ni Switchblade kamikaze drones kutoka Marekani ziongeze nguvu kwenye kuharibu soft targets. Wiki hii muda wowote utasikia zishafikaView attachment 2159666
"Dagger""Dagger" WARNING TO "PEACEKEEPERS" FROM NATO IN UKRAINE [emoji91]
View attachment 2159741
A multi-sphere operation, unpredictable tactics, massive strikes from different directions with high-precision missile weapons allow Russian troops to rapidly expand their control zone on Ukrainian territory and disarm the enemy even in the deep rear. Priority targets remain important military facilities, artillery firing positions, strategic arsenals, the most combat-ready formations of the Armed Forces of Ukraine, collection centers for foreign "volunteers", reserves of fuel and lubricants and military-industrial complex enterprises of Ukraine.
In the course of a special operation to demilitarize and denazify Ukraine, the Russian Armed Forces of Russia continue to occupy strategic outposts, while simultaneously building a layered defense and rear logistics. The activity and effectiveness of fire destruction of targets is constantly growing. The past two days have shown that Russian troops are grinding the Armed Forces of Ukraine seven days a week, throughout the territory, with an emphasis on the western and southern regions.
With a night strike by high-precision cruise missiles, the Russian Armed Forces destroyed the Training Center for Foreign Mercenaries and Ukrainian Nazis in the Rivne region (160 km from the Polish border), more than 80 specialists were eliminated at the Novaya Lubomirka training ground. At the same time, cruise missiles destroyed an ammunition depot and the headquarters of a mechanized brigade of the Armed Forces of Ukraine near the village of Selets (20 km from the Belarusian border).
On March 20, over 100 foreign military instructors, mercenaries, and Ukrainian servicemen were killed on March 20 by Kinzhal hypersonic missiles (from the airspace over Crimea) and Caliber cruise missiles (from the Caspian Sea) at the Special Operations Forces training center in the Zhytomyr region.
The West was very sensitive to these second and third - after the Yavoriv test site - Russia's signals regarding the inevitable fate of foreign "volunteers" and "peacekeepers" on Ukrainian territory.
Russia's hypersonic and non-standard approach to solving the problems of demilitarization and denazification of Ukraine is producing results.
SikirimimimasikiniRT yashikwa Ugoni 😂😂😂😂
Cormorants in their repertoire - a piece with "target defeat" was cut from an ancient video from "Stars".
Kaka labda unyoshe historia yako kidogo? Marekani ilikuwa na kipindi cha kumaliza makundi yote ya Maindio wazalendo. Unamaanisha hii? Lakini je hizo zilikuwa nchi? Baadaye walikuwa na kipindi kifupi cha ukoloni juu ya Puerto Rico na Ufilipino. Ufilipino walikuwa wabaya kama wakoloni wengine baadaye waliondoka.USA alichukua utaifa wa Nchi ngapi,unadhani utakiwa super power Duniani una kaeneo kama Nchi ya Tanzania.