Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wamevamia nchi ya watu na kupiga raia hovyo warusi ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ kabisa
Kherson: Russian punishers threw grenades and fired at civilians, at least one person (pensioner) was badly injured.
 
Russia ilikuwa ndogo sana kama Poland ya sasa kwa madirio... Baada ya kuvamiwa na Mongolia ndipo wanapata akili ya Kutafuta Natural boundaries kama mito na milima wakaanza expedition kueleka Mashariki Hadi wakafikia mwisho wa Dunia, hapo ndio waliponogewa...

Yaani Russia Hadi leo Wana migogoro na China, Lithuania na Poland zilikuwa kubwa Sana, Russia wakajimegea...

Ila naona kwa kuwa ni federation Kuna siku wataanza kujitenga
 
The European Union, as part of its new defense strategy, agreed on the creation of a rapid reaction force of 5,000 people.

Also, the EU countries intend to conduct regular exercises at sea and on land.
Galip SV Liwagu
 
We ni mkenya Eti?
Mnapoambiwa mjielimishe kabla ya kuzoa maandishi ya mabeberu huko muwe mnaelewa.
Kwanza Chenchen sio nchi( rekebisha hili).
Chenchens ni Echelon forces, Sio kwamba wapo front kiasi cha kuweza kupata losses kiasi hicho.

Hakuna mwanajeshi hata mmoja aliyerudi Nyumbani.

Ushahidi ni post ya mwisho ya Kadyrov mwenyewe usiku huu.

Na haya ni maandishi juu ya hiyo post, translated from russian.

Chechen fighters are successfully advancing in the Mariupol direction. After capturing and clearing the large Azovstal plant, they proceeded directly to the assault on the city, freeing quarter after quarter.
โ €
The assault operation is led by my dear BROTHER, State Duma deputy Adam Delimkhanov, who is in constant contact with me. Thanks to the competent distribution of forces and means, our fighters not only successfully eliminate firing positions, but also provide reliable cover for their comrades from the military formations of Russia.
โ €
In the near future, we will completely liberate Mariupol from Ukrainian nationalists and Bandera, restore security and public order in the city. We will not stop until we call the last Bandera and nationalist to account!
 
Kaka bado hujajifunza kunukuu. Sikusema najua wafizikia kibao, wala wengi. Nilisema "wachache" kwa sababu nimesikia kipindi cha redio ambako mwanafizikia wa Dodoma alieleza hali ya astronomia Tanzania akataja majina matano nisipokosei ambao ni wanafizikia ambao kazi yao inagusanana na astronomia. Nimesikiliza na kujifunza. Lakini fani hii haifundishwi Tanzania.
Ila hii ni jambo la pembeni. Swali lilikuwa: rafiki yetu aliyedai kwamba hakuna binadamu waliofika mwezini hana habari.
 
Kamanda wenu mwingne chalii
The commander (xs, what level) of the GRU special forces Krenik Alexey Alexandrovich, born in 1988 from the Trans - Baikal Territory died tragically on 03/11/22 during the defense of the peaceful sky over Russia in Ukraine
 
Hivi kweli kuna watu mnafikiria Ukraine atahimili na kushinda hii operation? Nyie ndio mnaomdanganya Zelensky anapoona comments kama hizi
Hazisomi, sidhani kama anajua hata kiswahili. Humu ni analysis uchwara tu na ubishi wa wenyewe kwa wenyewe usio na msaada kwa Urusi au Ukrain. Kuhusu kuhimili, amehimili kwa siku zaidi ya 20 sasa, jambo ambalo linawaudhi warusi humu nadhani kuliko linavyomuudhi Puttin. Kuhusu kushindwa mnyonge anajulikana tangu day 1.
 
Masyakin Mikhail Sergeevich courageously fulfilled his military duty, killing civilians. Finished
 
Duh...hatari
 
#Mariupol , something has arrived and yeah (the enemy is wandering below)

 
The commander of the deep reconnaissance platoon, junior sergeant Yevgeny Malay, died after shelling the humanitarian convoy in which he was. Well, you get
 
Mariupol ,Ukraine ni mji mtakatifu wa wakatoliki Russia kawachokoza wakatoliki
Huo mji ni wa Mama Bikira Maria na ndie Mlinzi wa huo mji.

Putin Dini yake Orthodox anaua wakatoliki wa Mariupol watoto wa Mama Bikira Maria
๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Hivi Yesu ana wadogo zake kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ