T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Mkuu nimetoa boko kuendana na boko alilotoa. Sio mara ya kwanza kunisahihisha kauli ila uache kuona makosa yangu tu. Mara zote nafanya reaction, cause huioni unaona jibu nililotoa tu ndio baya. Unalaumu pa kudondokea pekee na unaacha pa kujikwaaNawafuatilia kwa ukaribu sana na michango yenu inanipa na kinielimisha sana kuhusiana na huu mzozo na dunia kwa ujumla ila kwa hii komenti ni wazi umetoa boko
Wanajeshi frontline hawali vyakula vya kawaida mara nyingi. Hawapiki hovyo kuna vyakula vya haraka, vya nguvu nyingi na quantity ndogo kupunguza logistics ndio wanakula. Kutoa supplies kwenye battleground wakati kuna adui magari yako yanapigwa, mzigo haufiki mbele. Ni tofauti na kupeleka vyakula mjini pasipo na vita.Acha propaganda. Hakuna mwanajeshi wa Urusi ambaye ana njaa hata mmoja.
Urusi anatoa misada ya chakula na matibabu huko Ukraine alaf awe yeye hapohapo wanajeshi wake wana njaa!?
Wapi uliwahi kuona marakani kavamia alaf akawa anatoa misada ya kibinaadamu kwa raia wa nchi aliyoivamia tena wakati vita vinaendelea!?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Umeanza matusi mapema sana hio inaonyesha umepanic, wacha nikupeleke pole pole,Una "Ushoga wa akili we jamaa" nazan ntakuwa nimeku'adress vizuri kwa hiyo kauli [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]... Endeleeni kuzodoana uko kwenye issue za kivita ila Uchumi hauihitaji mahaba ko kaa kwa password utulie tuliii...
Hukijui kilichokuwa kinazungumzwa unakurupuka ku'qoute...
Hyo GDP ka uliambiwa ni ela mkonononi kaoge maji ya mchele utoe huo uzuzu ulionao...
Af kwanza imetokea baada mbaya tu kukujib uzuzu wako...
View attachment 2160321
Hyo list juu ina nchi Tatu ndani ya BRICS, China, Brazil na India.... Nje ya Top 10 yupo number 11 apo n Russia na South Africa ambae ni number kwa Africa nyuma ya Nigeria...
Kwasabab una akili za kushikiwa hujui na huezi kujiongeza lengo haswa la Russia kuokota mmoja mmoja tokka mabara tofauti na haswa wahusika wakiwa top kwenye nchi hizo...
South America Brazil ndo number 1. Ukichukia soko la Brazil umepiga, North America hawezi kwasabab wapo "Adui Zake" USA na Canada...
Asia soko adhim ni India na China... Kwasabab huna akili unawaza GDP ni ela mfukoni hujiongezi kwann kaweka urafiki na hao viumbe...
Kwa Africa masoko makubwa ni Nigeria kisha South Africa... Na penyewe kwasab huna akili hujiongezi kwanini kaweka urafiki hapo...
Ukitaka kueleweka njoo na Hoja za kiutu uzima so hiz story za GDP na ugoro mwingine ilhal walau in detail unachokizungumza hukijui...
Hizi propaganda zilitumika mwaka 1939.View attachment 2160356
Kiwanda cha kutengeneza vifaru urusi kimesimasha uzalishaji kutokana na upungufu mkubwa wa malighafi.
Urusi ana shida gani? Mbona hatulii alipokamata?Kichapo kinaendelea , superpower ucharwa ametimuliwa Makariv mapema leo.
Early Tuesday, Ukrainian troops forced Russian forces out of the Kyiv suburb of Makariv after a fierce battle, Ukraine’s Defense Ministry said.
Utatusiwa na wale jamaaView attachment 2160356
Kiwanda cha kutengeneza vifaru urusi kimesimasha uzalishaji kutokana na upungufu mkubwa wa malighafi.
Kiwanda gani hicho. Ularvagonzavod ndio watengenezaji wakubwa wa vifaru ila Russia huwa wanakuwa na design bureaus na manufacturing plants kama KnAAPO na OKBs. Sasa kiwanda gani ungetaja jina.View attachment 2160356
Kiwanda cha kutengeneza vifaru urusi kimesimasha uzalishaji kutokana na upungufu mkubwa wa malighafi.
Wanakula kiepeHiyo Kamaz truck ni battlefield kitchen ilikamatwa last week imejaa viazi na vitunguu wanapelekewa wanajeshi wa Russia. Viazi vinaiva mapema ndio, ila Westerns wanashangaaView attachment 2160366View attachment 2160367View attachment 2160369
Sasa hivi hawatusi wanasema PROPAGANDAUtatusiwa na wale jamaa
Hapo ndio wameshinda vita.Hiki nini unatuwekea kilaza wewe??
Judgements zenu hata dogo wa miaka 6 anaweza washinda. Hakuna sehemu nimesema ni lazima uuze dhahabu kwa UK au US. Kumbe mnaona ulazima sana wa kuziuzia dhahabu hizo nchi mbili, mbona mnalalamika sana na kulia hayo si ni maamuzi ya nchi mbili tu duniani, na nyie si ni superpower? Yeyusha dhahabu muifanye iwe fedha au wauzie BRICS.Huku ulikohamia ndio hujui kitu mzee, kwanza aliyekwambia lazima uwauzie USA na UK nani?? Mkuu tuje uwanja wa VITA eeeh ant tanks zimefanyaje sasa??