Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huu ni ujuaji uliopindukia

Kombora linafukua andaki na kuwazika wanajeshi wa ukraine zaidi 300 hapo hapo
Huyo jamaa nimempuuza, hajui kitu, akijifanya kuingia kwenye uchumi tukamtoa mbio maana hana analojua ni kudandia gari tu. Mwanzoni alisema Urusi vifaa vyake vinachakazwa vibaya sana, watu wakamwambia hizo unazoona ni za miaka ya nyuma, bado Urusi hajatumia silaha zake za kisasa.
Juzi hapa Urusi wametumia HYPERSONIC MISSILE iliyotengenezwa 2016 lkn hadi leo hakuna mtambo unaweza kulidtect. Ukimuuliza anarukia Bricks as if tulioko hapa hatujui kitu.
Jamaa kilaza na hana anachojua, mwanzoni alijifanya anachambua silaha, lkn ukimsoma kwa umakini unagundua huyu akili yake anahisi URUSI atapigwa kabisa.
Now ndio amefungua mahaba yake ya wazi na sasa ameungana na shost wake GANGA ZUMBA.
 
akili yako ndo imekomea hapo?
 
British-backed satellite firm OneWeb signs deal with SpaceX to put the rest of its constellation into orbit after suspending ties with Russian agency Roscosmos

The move will allow the firm, which is part-owned by the UK government, to expand its constellation of satellites in low-earth orbit, which currently stands at 428 – or 66% of the fleet.

The network of satellites will be used deliver high-speed, low-latency internet access across the globe, putting it in direct competition with SpaceX itself, which already has a constellation of over 2,000 satellites known as Starlink.

OneWeb expects its first launch with SpaceX this year.
 

One fiscal year isn't enough for your currency to turn a leaf on ksh, you lost it when you decided to wage war with Uganda, right now is when your economy is recovering from after shock. So unless something major like war hits us or you devalue your currency, you can't catch up.

Like i told earlier, microeconomic factors affect the strength of a currency, right now in russia their is

-a High rate of inflation because goods are less because of sanctions

-lending rate is high because the central govt doesn't want Russians to take loans

-Gdp growth has slowed because Russia is producing less goods

-Investment is getting pulled out.
etc

Lastly the reason why Kuwait dinar has a stronger value than dollar is because when it started it was pegged to a stronger currency - the British pound (Bp). Meaning the Kuwait authority woke up one day and said the dinar will be equal to the pound.

So over the years they've manage to maintain the exchange rate because they managed their economy well with the help of large oil and gas reserves one point having a trade surplus of 15% to GDP
 
The UN Security Council will discuss the incidents with chemicals in Ukraine on Tuesday - the Russian permanent mission.

Earlier, the Ministry of Defense stated that nationalists in a number of settlements of Ukraine are preparing provocations with the use of toxic chemicals in order to blame the Russian military for this.
Galip SV Liwagu
 
anajifanya mchambuzi kumbe ni pro western vi habari vyake anavitoa wikipedia
 
Nani anaiba mafuta Liya?? Nakuta hii:
The National Oil Corporation (NOC; Arabic: المؤسسة الوطنية للنفط) is the national oil company of Libya. It dominates Libya's oil industry, along with a number of smaller subsidiaries, which combined account for around 70% the country's oil output.[1] Of NOC's subsidiaries, the largest oil producer is the Waha Oil Company (WOC), followed by the Arabian Gulf Oil Company (Agoco), Zueitina Oil Company (ZOC), and Sirte Oil Company (SOC).[2]

Je una habari tofauti?
Nani ananyonya gesi hapa kwetu? Nikiangalia gazeti naona zaidi kuna watu wanaotafuta hao weny euwezo wa kutumia malighafi. Mwanamapinduzi Museveni aliwafuata sana hao Wachina na Wafaransa ili waanze kutumia mafuta yake (hadi kutojali wananchi wake wanaohamishwa sasa...) . Naona changamoto ya kugawana mapato kwa njia nzuri. Pia kuhifadhi mazingira.

Wale wanaoiba Somalia - kuna nini cha kuiba isipokuwa samaki? Na hao wanaoiba samaki baharini mbele ya Somalia si hao wanaoleta misaada na vvyakula vya kulisha Wasomalia ambao wangekufa bila misaada hii.

Sijui kilio hiki si mbali kidogo na uhalisia?
 
naona umeamua kung'ang'ania tafsiri yako, ok.
 
Unapoteza muda wako bure MKUU pole
 
Anguko la US litatokea within
 
naona umeamua kung'ang'ania tafsiri yako, ok.
Asa c ufunguke kama mimi nimefungua ya moyoni .....asa ukitupia mapicha picha bila maelezo ....yoyote miki huku ntatafsiri navojua ....em funguka kwa faida ya wengi ....maana kuna mawazo tofaut tofaut humu .......ndnibya hiyo misaada / hivo viroba kuna nini .mkuu em update nondo mkuu
 

One of Europe’s biggest car plants halts production​

The Volkswagen factory in Slovakia is facing supply shortage due to the conflict in Ukraine

One of the biggest vehicle manufacturing plants in Europe, Volkswagen Bratislava, has suspended production due to interruptions to its supply of parts from Ukraine and other issues, Slovakian media reported on Tuesday.
 
Urusi imeshindwa kutimiza malengo yake huko Ukraine, hili lipo wazi kabisa.

Wanachofanya Sasa ni kuharibu miundombinu ya Ukraine ili kuwatia hasara ila kuangusha utawala wa Ukraine imekuwa ngumu.
Wewe ndio umekua mgumu kutekeleza malengo yako kwenye hii changia yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…