Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Raia gani? Hawaππππ mliowabebesha magobore wapambane na makombora huku wakivizia kwa kujificha kwenye makazi ya watu!....Na ushangae ndio wameshindwa kuuteka, warusi sasa kuharibu majengo na kuua raia kwao ndio ushindi.
Tulia hivo ivo unywe maji ...ukakojoe ulale ......huyo mkenya MKENYA anaacha kwao turkana wanakufa njaa ...anakuja rukia ya urusi kuipiga ukrain apambane na serikali ha kenya kumaliza nja si wanasemaga wana GDP kubwa africa mashariki......tulieni hivo hibo tuwanyoe kwa chupa ....nyie mapro western .....shabaashI hate this xenophobia
Siyo lazima utaje utaifa wake
Ujue kuna warusi wanajua kiswahili na wamo jf
Huku ni kugombanisha mataifa.
Tafadhali acha
Kwani gari umeliona lote. Yani umeona bonnet unataka useme umeona gari zima. Hizo V wanaweka sana pembeni mwa gari, kama hujaridhika na picha niambie nikutafutie video clip ipo ili ujanja wa kusema ni propaganda ukose nguvu.Mkuu naona na ww umeamuwa kuchagua timu mpaka macho yako yameacha hata kuona.
Magari yote ya Urusi kwenye hii vita yana alama ya V au Z sasa mbona hili halina? na isitoshe hilo gari lina mpaka bendera ya Ukraine.
Nakazia na wapigwe tuu hamna namna....Raia gani? Hawa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] mliowabebesha magobore wapambane na makombora huku wakivizia kwa kujificha kwenye makazi ya watu!
Hao wanatandikwa kama wanajeshi wengine tu
View attachment 2160764View attachment 2160765
We huna uwezo wa kuelewa mambo hayo, bora ukae kimya tu. Wenzako wote wameshindwa kumsaidiaSi keshakutag Mkuu,au hujaona π
Mi Sina Caliber hiyo ila unavyo kuja ndivyo utajibiwa ...ukiifatilia Ile hoja wote WALIKATAAA MAREKANI HAIJWAHI KUCHUKUA MAENEO YA NCHI MYIMGINE, nkasema wakichukua MEXICO ..wakakataaa nkawapa mwaka wa Mexico kukubali kuachia maeneo precisely, wakagoma nkawambia American -mexico war , ndio wakaja na marekani haikuwepo mda huo .. muda wote huo nawapa fact so kukosea tu jibu la mwisho 1746 na 1776 ndio wajibebe .. ni wehu ... Nakwambia historically na economic facts ..am far beyond... Many ambao wanakariri.... Hivyo ... Karibu... Mhuni mstaarabu ... SI mnafutaliag comments za mtu FUATILIA ZANGU TANGU JINIUNGE Humukama kisukari kimepanda hivi mambo madogo ya mtandaoni unatukana mtu usiemjua
utakuwa na shida kichwani
Wanalindwa angani.Russians are too stupid to travel like this, kama wangepigana na NATO huu msafara ungekua jivu. View attachment 2160718View attachment 2160720
Utasema na hii sio ya Russia kisa haina V. Hii mojawapo ya sehemu ya Krasukha-4 electronic warfare system ni mpya hata haijawahi uzwa popote. Imekamatwa na Ukrainians.Mkuu naona na ww umeamuwa kuchagua timu mpaka macho yako yameacha hata kuona.
Magari yote ya Urusi kwenye hii vita yana alama ya V au Z sasa mbona hili halina? na isitoshe hilo gari lina mpaka bendera ya Ukraine.
tulia mzee mambo madogo sana haya wengine tupo kupoteza muda baada ya kazi so relax mambo ya kupanic na matusi si jadi ya mtu aliestarabika ukikwazika we mute freshMi Sina Caliber hiyo ila unavyo kuja ndivyo utajibiwa ...ukiifatilia Ile hoja wote WALIKATAAA MAREKANI HAIJWAHI KUCHUKUA MAENEO YA NCHI MYIMGINE, nkasema wakichukua MEXICO ..wakakataaa nkawapa mwaka wa Mexico kukubali kuachia maeneo precisely, wakagoma nkawambia American -mexico war , ndio wakaja na marekani haikuwepo mda huo .. muda wote huo nawapa fact so kukosea tu jibu la mwisho 1746 na 1776 ndio wajibebe .. ni wehu ... Nakwambia historically na economic facts ..am far beyond... Many ambao wanakariri.... Hivyo ... Karibu... Mhuni mstaarabu ... SI mnafutaliag comments za mtu FUATILIA ZANGU TANGU JINIUNGE Humu
Fuatilia vizuri... Mi SI tukani mtu kama hujanijia Kwa dhihaka na matusi halafu nikishakujibu nakucheua ... Sikujii hunijui unaniumiza Nini ... Ni sawa na KIOO CHENYE VITOBO mdogo wangu... Umevaa vizuri KIOO kinakudanganya ...ukinielewa piga kimya ... Mimi ni mtu wa tofauti sana ... Fatilia tu humu na comment zangu ..tangu miwe member ..utajitesa Bure kuhangaika na mimikama kisukari kimepanda hivi mambo madogo ya mtandaoni unatukana mtu usiemjua
utakuwa na shida kichwani
Nilipost hili Jana ... Na nikasema ni kijiwe Cha kahaw tu..USITENGENEZE NYONGO KIZEMBE ..NIMEKULA MICHEMBE YANGU NA MTINDI ..UKIKUMBUKA HILO BASI .. bless bro...kaributulia mzee mambo madogo sana haya wengine tupo kupoteza muda baada ya kazi so relax mambo ya kupanic na matusi si jadi ya mtu aliestarabika ukikwazika we mute fresh