Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hawajaingia ila misaada wanayotoa ipo wazi
Tunapiga UKRAINE na NATO kwapamoja
 
Hata China na Japan wana mzozo wa visiwa.

Korea Kusini na Japan pia wana mzozo huo huo wa kisiwa.

Kwanini Japan ana mizozo mingi ya visiwa na nchi za hilo eneo?
China ndio nchi inayoongoza duniani na kwa kuwa na migogoro ya ardhi na nchi nyingi, wana gombania mipaka na Japan, Philippines, Vietnam na India.
 
😂😂😂 kama humuwez ungana nae tu yebo yebo za kirusi namna gani pale
 

Maelezo mengi utumbo mtupu,,, you missed the point.Sio kila jibu mpaka insha You boring!
 
Urusi anaweza kuipiga dunia nzima ikiamua muulize germany anajua mziki wake..sio mm ni hapa kijiweni ndo wananiambia hvyo
Mkuu hapo kijiweni waambie Urusi alipigwa vita ya kwanza ya dunia mpaka Tsar Nicholas II wao akaongoza jeshi mwenyewe, napo wakapigwa. Mpaka yakatokea mapinduzi Urusi Tsar na familia yake wakauwawa.

Kwanza Ujerumani yenyewe iliipuuza Urusi na ikaivamia Ufaransa, Urusi ndio iliivamia East Prussia ambalo ndio eneo kubwa la Poland kwa sasa na kwenye battle Urusi ikapigwa. Wakati huo Warusi walipokimbia vita huku nyuma Ujerumani akashindwa na kina Uingereza na Ufaransa.

WW2 Urusi ndio Urusi akampiga Mjerumani
 
Turkey drew attention to information about drifting Ukrainian mines in the Black Sea.

According to Erdogan, the Turkish Ministry of Defense will take the necessary measures.

Earlier, the FSB of the Russian Federation reported that the mines delivered by the Ukrainian Navy could “float” to the Bosphorus and further to the Mediterranean Sea, because they broke away from their anchors due to a storm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…