Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mzee kabla ya kuweka comments zako humu hebu pitia comment yangu na ujishughulishe kujua ni nini nime post. Kuliko kujaza mashudu hapa JF na kujiaibisha.
Ndugu yangu si unajua tena sisi wengine lugha ya Queen Elizabeth inatuletea shida?
Nikipata translation nitafurahi zaidi.
Ingawa nilikuwa more interested na hilo kombora uliloliweka hapo naona kama lina na vitoto kwa upande wa chini.
Samahani lakini na mashudu yangu.
 
Hahahaha Pro Putin mnakaribia kurusha ngumi sasa. Kama huwezi kushindana kwa hoja jiondoe Jamiiforums,chochote utakachokiweka hadharani tutachangia mbuzi wewe.
Kama umeshindwa kujadili kistaarab mimi mwenyewe naweza vita vya maneno. Nakusihi jikite kwenye mada. When you attack me personally unataka nikueleweje!?. Nakusihi jikite kwenye mada.
 
Nimekusihi kwa unyenyekevu kabisa, unapojadili mambo ya kimataifa jitahidi aghalau kidogo upo na ABC ya kile unacho comment.

NB: Hapa siyo darasani kwamba utafundishwa.

Nakusihi tena, sipendi stupid people wanaojifanya wanajua vitu.
HUO NI UPUMBAVU
 
Wakati Marekani anatelekeza Humvees kule Afghanistan, huku superpower uchwara wapiganaji wanaomuunga mkono kutoka Donbass region wanaendesha nini hiki tunaita huku wanabebea nyanya sokoni. Sijui ni Bajaji nayo
 
Umetisha.
 
Kaka tafadhali tusiangukie haraka mno peopaganda wa upande mmoja jinsi wengi hapa wanavyofanya. Si rahisi kuona yote, maana ukweli ni mhanga wa kwanza wakati wa vita.
Nguvu ya jeshi la Kirusi ni tishio la silaha za nyuklia. Hakuna anayetaka vita ya nyuklia, (ingawa wote wanatishana) kwa sababu itaendeleea haraka kuharibu yale unayotaka kutetea, pamoja na maadui wote pia nchi yako mwenyewe.

Menginevyo hata mimi nilitegemea Urusi itashinda Ukraine haraka, sasa naendelea kushangaa udhaifu wa jeshi hili kubwa. Wiki nne! na bado linakwama mbele ya miji.

Umetaja mfano mmoja muhimu, uvamizi wa Crimea mnamo mwaka 2014. Ila sababu ya kufaulu bila upingamizi - sioni nhuvu ya kijeshi, zaidi nguvu ya kiuchumu. Maana nchi nyingi za Ulaya zinategemea mafuta, gesi na makaa kutoka Urusi. Pia makampuni ya Ulaya yalifanya biashara na Urusi. Hapa Waulaya walisita kujibu kwa ukali, ingawa mwaka ule Putin alianza kuvunja sheria ya kimataifa waziwazi.

Sasa kuna hasira kati ya wananchi wengi wa Ulaya wakiona wakimbizi pamoja na picha za uharibifu. Hapo wanasiasa wanasukumwa kuchukuia hatua, na pia makampuni makubwa yameamua kuachana na mali yaliyowekeza katika Urusi.
Hii ni tofauti mwaka huu kuliko 2014, Tuone wataendelea hadi wapi kubadilisha vyanzo yva nishati, maana bado Ujerumani inalipia Urusi $ milioni 200 kila siku kwa gesi ila wanatafuta njia mbadala sasa. Poland itafaulu mwisho wa mwaka kuachana na gesi ya Urudi, lakini bado wanategemea makaa mawe kutoka Donbass.
 
Mchina Hana uwezo wa kuipiga urusi Acha kuropoka.
Umekurupuka kukpuku pu na majibu. Nimeandika angepigwa sikusema nani kati ya Urusi na China, Kuna Mrusi humu angevamia afanye ulichofanya kumsifia Mrusi ila naona umeparamia wewe.
 
Kama umeshindwa kujadili kistaarab mimi mwenyewe naweza vita vya maneno. Nakusihi jikite kwenye mada. When you attack me personally unataka nikueleweje!?. Nakusihi jikite kwenye mada.
Vyovyote vile utakavyo wewe,naona unaleta ujinga wa Putin wakupiga watu biti kumbe huna lolote.
 
hilo sio kombora MKUU ni satelite
 
Nimekusihi kwa unyenyekevu kabisa, unapojadili mambo ya kimataifa jitahidi aghalau kidogo upo na ABC ya kile unacho comment.

NB: Hapa siyo darasani kwamba utafundishwa.

Nakusihi tena, sipendi stupid people wanaojifanya wanajua vitu.
HUO NI UPUMBAVU
Na Mimi kwa unyenyekevu kabisa pamoja na kwamba ni pro Putin mwenzako lakini nakuomba ipitie posti # 18419
 
WENGI HUMU WANAKOPI HABARI KILINGANA NA UPANDE ANAOSHABIKIA, HALAFU ANAMPINGA MWENZAKE ALIEKOPI KWINGINE!!!

Mzee kachoooka sana, hii vita imemchanganya..
 
Performance ya Ukraine leo imenifurahisha. Kesho nawatakia upambaji mwema superpower wa mafuta na gesi mwenye uchumi wake na BRICS duniani abanwe. Zile meli zilizoonwa na Japan zinafika lini hizo zinaleta shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…