Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Umekurupuka kukpuku pu na majibu. Nimeandika angepigwa sikusema nani kati ya Urusi na China, Kuna Mrusi humu angevamia afanye ulichofanya kumsifia Mrusi ila naona umeparamia wewe.
Wewe umesema mchina angempiga mrusi.sijakubaliana na wewe
 
Ila hii thread kuna watu wamejaa makasiriko [emoji1787]Mtu ukimbananisha kwenye Kona kidogo hajibu hoja anakimbilia matusi au personal attacks [emoji23][emoji23][emoji23]. Wengine humu mpk tumeambiwa haturuhusiwi kuchangia mada kisa tumesoma diploma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],anayekwambia hivyo sasa 24/7 yupo JF unabaki unajiuliza huyu anafanya kazi saa ngapi au ndo wale team Kwa shemeji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hili ndilo lile kombora linalotoa na nyongeza?
Hiyo ni Soyuz rocket hasa kazi kubwa ni kutuma satellite nje ya dunia. Hilo kombora lenye nyongeza unalosema either ni ballistic lenye masafa marefu lenye vichwa vingi (MIRVs) ambalo ni nuclear na halitumiki hapa.

Au unasema rockets zenye vibomu vidogovidogo vingi (cluster munitions) ambazo Russia anatumia.
 
Hawa tutakula nao sahani moja mpaka wamwite Putin aje awasaidie humu.
 
Na Mimi kwa unyenyekevu kabisa pamoja na kwamba ni pro Putin mwenzako lakini nakuomba ipitie posti # 18419
Hata hivyo comment unayoiongelea sidhani kama inauhusiano na hiki. Ngoja tu nikupe ufahamu Soyuz-2.1a ni rocket iliyotumwa na shirika na Anga la Russia kwenda kwenye International Space Station hilo siyo kombora.

Siku zingine kitu kikitajwa jaribu hata kuingia google upate ABC.
 
Dogo nikushauri nenda jukwaa la mapenzi tu manake bado unamihemuko kama umetoka kubaleehee.
Nani Dogo,upo kwa shemeji yako hapo halafu unaita Manaume rijali tunaopambana kivyetu dogo,jiangalie usije ukapakwa kilainishi.
 
Mkuu hebu tuangalie huyo America na Nato walitumia siku ngapi kuiangusha Afghanstan au hata Libya? Strong Alliance with sophisticated weapons na unmanned drones kweli mnatumia siku nyingi namnahyo kwa watu wanaotumia silaha za kizamani? Twende kwa mrusi sasa. Hadi mda huu silaha ya kisasa aliyotumia ni Hypersonic missiles zilizobak zote anatumia zakizamani. Tena ni sawa na yuko pekeake tu kwenye hii vita wakat Ukraine anapata sapot ya silaha na vikwazo vya kiuchumi. Bado mzee unaidharau nguvu ya jeshi la kirusi?
 
Mmeshindwa kumtetea bwana wenu Putin sasa mnaokoteza story za personal attack.
 
Mtoto wa kiume unaleta mambo ya kike,utabanduliwa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…