Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hiyo Asia yenyewe imekua tajiri na kuendelea Kwa Kasi kutokana na uwekezaji wa makampuni ya haohao mabeberu mfano mzuri ni China.

Kuna kamsemo kanasema Kama huwezi kushindana nao,ungana nao.
 
Huwezi ku deal na mimi maana siku zako za kufa zimebaki chache. Unatakiwa utubu sasa dhambi zako uache kutembea na watoto wa shule. Unawaambukiza gonjwa lako
Teh teh teh kweli ubongo wako umejaa funza. Kwa hiyo wenye ukimwi ndio wanakufa mapema kuliko wasio kuwa nao? Jamani embu njooni mumshangae hili shoga lililojaza funza na kamasi kichwani
 
Habari za abunuas hizo. Eti muwashinde Ulaya na Marekani wakati maji safi ya kunywa miaka 60 ya Uhuru sasa yanatutesa.
Watu mpk magovi huko vijijini wanatolewa Kwa msaada WA watu WA Marekani,kampeni za kuhimiza huko vijijini kila mwaka. Leo hii tuwashinde hawa jamaa.

Pale kuna mamashine kibao ya kufanyia vipimo jamaa wametupa Kama misaada,wizara ya Afya inapewa mabilioni karibu kila mwaka ya kujenga vituo vya Afya huko vijijini Leo hii ndo tushindane nao.

Daraja la Tanzanite tu limejengwa Kwa msaada wao. (South Korea)
 
Hao wanasikiliza porojo za Putin kuwa tuwasusie Magharibi,yeye mwenyewe analia na vikwazo.
 
Nimevaa msuli, heater inawaka, niko na Red Wine pembeni..
Niambie ni nchi gani wanatumia heater kutoa baridi......labda North Pole [emoji23]
Tafuta hela jomba...brrrrrbrra

View attachment 2161085
Hao watoto wanaishi kwa mashemeji zao muda wote wanashinda mitandaoni wanadhani kila mtu hana cha kufanya kama wao wanavyosubiri kuosha magari ya shemeji zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…