Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

View attachment 2161094
Hatuja sahau kuwa umeanza kusoma diploma 2017.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na sasa nipo MUHAS! Karibu MUHAS ndugu yetu mshinda JF[emoji1787].
Halafu uache kubishana na Doctor we mkaa Kwa shemeji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji419]Sema niliimisi hyo image Mzee Baba hujaituma siku nyingi
 
Cheki ulivyo na akili za kimama,kwa hiyo akianza kusoma diploma 2017 ndio hana haki ya kuchangia hapa Jamiiforums?
Mkuu achana nae huyo Mtu hua ukimbananisha kwenye Kona akikosa hoja anakimbilia matusi au personal attacks. Kazi yake ni kushinda Jf 24/7 jobless. Save your energy bro,ACHANA NAE.
 
Hao watoto wanaishi kwa mashemeji zao muda wote wanashinda mitandaoni wanadhani kila mtu hana cha kufanya kama wao wanavyosubiri kuosha magari ya shemeji zao.
Mkuu, nakuachia huyu mrussia mweusi amuweke pahali yake......
naona saa hizi yuko huru na remote, beki tatu amelala......🤣
 
Mkuu, nakuachia huyu mrussia mweusi amuweke pahali yake......
naona saa hizi yuko huru na remote, beki tatu amelala......[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aachane nae tu Mkuu ujue siku hizi maisha magumu kuna watu muda wote hasira zimetawala medulla oblongata wanatafuta watu WA kushare nao.[emoji23] Siunajua tena kaka kwamba Misery loves company.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…