LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums

Russia wanampa kichwa tuu, mara nyingi kwake ambacho kipo ni high spirit regardless how heavy casualties...!!! Tatizo hii vita yake ina different opinion among public tena humo humo Russia , hata Ile spirit na support ya raia kama WW2 haipo ...the same Kwa US against Vietnam or US against Afghanistan...!!!
 
Defensive ni pamoja na offensive,ni mpuuzi tuu nae.

Huna jeshi afu unacheza mchezo wa hatari matokeo yake ndio haya sasa.
 
Hana cha spirit anajivunia nukes tuu kama N.Korea ila hawezi pigana huyo na powers wenye nguvu.

Pia intelligence ndio wako vizuri zaidi otherwise sijaona maajabu..

Ukraine wangekuwa na surface to air missiles za kutosha,vifaru nk wangewanyoosha hao Russia vizuri tuu.
 
Urusi wamefikisha mitambo ya kujamm internet na electric shield. Mambo yanazidi kuchangamka
 
Critical assessment! Shida vita ipo nchini Ukraine.... Hii ni rahisi kuachwa madhara makubwa huko manake Hao warusi watakufa wanaolipwa na waliofunzwa kufa. Ukraine watakufa mpaka ombaomba
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa mjinga sana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ujue humu kuna wapumbavu sana. Eti URUSI imedanganywa na wameshaingia kwenye Mtago. Yaan mtu anayejua haya anaishi kwa MTOGOLE hana hata Jeans ya 50k mwilini. Amesoma shule ya kata na hata hajawahi kuiona hata Beaker ikiwa maabara. URUSI wana kitengo cha usalama KGB na wanauwezo wa kuhack hata uchaguzi wa USA afu useme wameingia vitani bila ANALYSIS this is JOKE.
 
Yangu macho maana kwa jinsi upepo unavyo enda huwenda Putin akapakatwa.

Maana misaada inayo tolewa na yeye ana sua sua **** liza kazi ita mkost

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
huwa hap tu nawaZ walifanya fanyaje calculus zao mana naona kama anaend kupoteza
Waweza kuta wamefanya mkadirio lakini kuapply kwenye field hauko effective by 100% lakini ni lazima wamefanya assesment ya threat.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…