President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
US na Ukraine wote wanafana kwa kuwa wanapewa vifaa na mambo mengine na washirika wao.Ni kujitia ujinga kuiona Russia ni dhaifu mbele ya U.S. A wakati anapambana bila ya msaada kutoka nje yake na huku amewekewa vikwazo ambavyo angeliwekewa huyo U.S.A bila shaka angekuwa amekwisha.Asante kwa ibu. Sidharau jeshi la Kirusi. Ila ni vema kutambua tofauti ya yale unayolinganisha. Libya tuache nje, hapo Marekani hawakuingia wa jeshi la ardhi, ilikuwa ndegevita pekee. - Hata Afghanistan serikali ya Taliban iliondolewa na jeshi lake kuvunjwa 2001 na wapinzani Waafghani pamoja na msaada wa ndegevita na komandoo wa Marekani. Baadaye walijaribu kuidhibiti nchi kwa serikali ya Waafghanistan (maadui wa Taliban) na kwa mchanganyiko wa wanajeshi wao na wa Kiafghani. Iliyofuata ilikuwa vita ya msituni ambayo hawakushina na hatimaye kuondoka.
Urusi imeshindwa hadi sasa baada ya wiki nne kudhibiti nchi kwa jumla na miji mikubwa, kwa kutumia idadi kubwa ya wanajeshi rasmi ikipigana na jeshi rasmi la Ukraine.
Na hapa nashangaa sana kuona udhaifu wa kiuongozi na kimkakati.
Sidharau. Hawakuingia bado katika vita ya guerilla.
Unagombana na jirani, waliomshawishi aanzishe ugomvi wanamsaidia.
Na wewe upo ukipata wa kukusaidia unaungana naye mnapigana kila mtu anajua nyuma yangu siwezi kupigwa kuna mshirika wangu atapambana upande huo.
Huyu naona kama ana sura ya kimamluki kutokea Western Europe.Kamanda mwinginine wa ukraine huko mariupol kauawa ametandikwa risasi ya kalio wakati anajaribu kukimbiaView attachment 2161525
Hata kama ichukue 20,lakini wameweka heshima ya kulinda Nchi yao na mwisho wa siku Nchi itajengwa lvizuri tu akini wakati huo kuna Russia amerudishwa nyuma ki uchumi vile vile tena siyo kidogo.Ngoma droo.Eti miaka 3-5
Walishatoa tathmini wakat vita ina kama week nne wanakwambia ku rebuild UKRAINE inahitajia miaka zaidi ya 15
Nimeshajibu juu huko.Baada ya hapo ikawaje? Maana hata CUBA ilisaidia kupigania Uhuru lakini mpaka leo tunaona mchango na miradi yao hasa ya afya na kilimo. Je Mrusi ana miradi gani kwetu?
yeah hio true ila usisahau kuwa shirika la ndege la urusi Aeroflot ambalo duniani n la pili kwa ukubwa lenyew limeground kabisa all international flights except those that involve belarus mpk litakapotoa taarifa nyingine ambay si chini ya august, RT waliliripoti mwezi marchView attachment 2161754
Time is money.
▪️The ban on flights through Russian airspace has significantly increased travel time.
Anti-Russian sanctions have reminded the world that the earth is round.
Wale mamluki wakati flani hufanya kazi chafu yenye kuleta ushindi ambayo jeshi la nchi rasmi haliwezi kufanya, si unajua mambo ya plausible deniability?Halafu wewe ndiye umekua tegemeo la wengi (Waarabu) kama ulinzi mwenye uwezo wa kukomoa (Marekani), wamekua wakinunua silaha zako maana huwa unaaminika kuwa mbabe wa wababe, kisha unapata aibu ya kushindwa kuteka kataifa kadogo unaanza kuomba msaada....