Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Haya nendeni sasa mkaombe Viza mwende mkaishi Moscow,siyo mnapiga mayowe hapa wakati kutwa ndoto zenu ni kwenda kwa Bideni mkaishi American dream
 
Sasa mnasubiri nini kumuwekea U.S vikwazo?
 
Wale mamluki wakati flani hufanya kazi chafu yenye kuleta ushindi ambayo jeshi la nchi rasmi haliwezi kufanya, si unajua mambo ya plausible deniability?
Unakwepa kuonekana unafanya mambo yanayovunja sheria za kimataifa.

Urusi huwa hajui hayo mavitu ya sheria, kwanza kama sasa hivi ako frusrated kwa kushindwa kuteka kataifa kadogo anakafyatulia makombora kote bila kujali vifaranga wala nini, na bado kamekomaa...
 
Niliiona hiyo CNN walishaidaka kitambo,na huo ndiyo ukweli wenyewe.Inaonekana walitishiwa wakaifuta
 
Hilo shirika la ndege la Urusi hiyo nafasi ya pili Kidunia inashikilia kwenye kipengele kipi,embu tujuze.
 
Unadhani hatujui kizungu, chancellor amesema wataacha kutumia mafuta na gesi ya mrussi lakini si kwa siku moja. Bottom line nikwamba sooner or later they will stop importation from Russia
 
kiuhalisia ni ngumu europe kuachana kabisa na gas ya urusi kwakuwa ni nafuu mno kuliko LNG, But kusema kuwa ulaya itaathirika zaidi kuliko urusi kwe issue ya vikwazo sidhani km ni kweli hasa kwa size ya uchumi wao, hii bei ya nishati ya sasa ambayo iko juu sana ilishawahi kuwa hivi miaka ya 2004-2008, ila kuacha kununua gesi urusi ni maneno tu ya kisiasa hata wakati huu ila ulaya haitaweza kaucha ingawa itadiversify
 
Niliiona hiyo CNN walishaidaka kitambo,na huo ndiyo ukweli wenyewe.Inaonekana walitishiwa wakaifuta
kuna mambo mengi sana hapo maana maana kuna taarifa mitandaon kuwa mkuu wa FSB na deputy wake wametiwa kizuizini na moja ya sababu ni hizi kuhusu taarifa za casualities inaonekana km zinalikishwa na FSB hivyo kuilazimu wizara ya ulinzi kutoka mara kwa mara kuclarify, mwezi uliopita wizara ya ulinzi ililazimika kutoa official number ya casualities ingawa Putin alishapitisha sheria huko nyuma kuwa takwimu km hizo ni siri ya taifa
 
Safi sana Urusi,watie hasara TU.
Wanachangishana visilaha kuja kukupigia wewe.
Aibu kabisa kwa NATO .
NATO imedhalikishwa na Urusi pakubwa sana.
Wamekalia kujichangisha visilaha alafu wanawapa waukraine wapigwe wafe.
Waliwadanganya eti watawasaidia poor NATO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…