Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Akili zako size ya nyeto tu jomba aliyekwambia vile hakukosea... Maelezo mengj, Punic nyingi ajab zote pumba tu. Mwanzo umesema haziezi onekana tukakukanusha unadanganya.Usiwe ng'ombe. Ukitrack F-35 within 60 miles utakuwa umefanya nini wakati tiyari ishakuona ishatoa anti radar missile yenye range kubwa na ushakuwa majivu.
Kwenye engagement kuna rule moja ya msingi. First to see, first to kill. Ukiwasha radar uione F-35 hizo radar zako zinaonekana hata kutokea satellite angani, ila wewe utasubiri F-35 ikusogelee maili 60 ndio uishambulie wakati inajua ulipo. Utaipata wapi.
Marekani akitumia SEAD na DEAD hizo air defence system hutoziona. Uturuki tu hapa ilipiga Patsir zilizokuwa Libya na Syria ikashambulia, Bayraktar ziko Ukraine zinapiga air defence system alafu ishindwe MarekaniView attachment 2162482View attachment 2162484
Vip maandamano yanaanzia wapi?Warusi wa Namanyere mna matatizo nyinyi!eti"masharti yetu"wonders shall never end
Unafurahisha sana. Kwamba kombora 5 tu kuingamiza Uingereza yotePunguza mahaba upofu kijana, vita vya urusi na NATO unadhani itakuwa ya mawe na fimbo? Unadhani Russia anahitaji kombora ngapi za Nyuklia kuiangamiza Uingereza yote ? Kwa Taarifa yako Russia anahitaji kombora 5 tu za SATAN 2 kuangamiza kila kitu Uingereza na hapo Russia INA stock ya makombora 7500
Russia ndo nchi pekee duniani yenye first and second nuclear strike hivyo hata ukimvizia na kuwaua warusi wote bado ana uwezo wa kukuangamiza kabisa kupitia mfumo wake ambao unaitwa perimeter au dead hand au silo ambao ukidetect tu moshi au radioactive basi mfumo huo utaruhusu makombora kuachiwa automatic
Kwahiyo mkiwa vitani kule utasema mimi sio mwanajeshi kisa ulitokea JKT? Una silaha, kila kitu, uniform na uko uwanja wa mapambano je unataka tukuite muokota makopo au nani?Huna akili, kwako wewe, mtu wa JKT akivaa KOMBATI ya JWTZ ni MWANAJESHI WA JWTZ?? Kama jibu lako ni ndio mbona walipomaliza ile vita hawakuandikishwa JESHINI??
Naendelea kukwambia huna akili kichwani, hivyo kwa akili zako ndogo nchi ikiingia vitani inapelekea wanajeshi wote huko VITANI?? Yaan TZ walipeleka wanajeshi wote huko UGANDA??
Huna akili masta.
Elewa utakavyoelewa lakini kikubwa Russia kapeleka resolution la kusimamisha na limekataliwa.Elewa maana ya kura ya humanitarian vote against war in UN security Council usikurupuke, hivyo vitu viko technical sana
Wakati Russia inashambulia kwa nuclear U.K kwani U.K nae hana hizo nuclear?Punguza mahaba upofu kijana, vita vya urusi na NATO unadhani itakuwa ya mawe na fimbo? Unadhani Russia anahitaji kombora ngapi za Nyuklia kuiangamiza Uingereza yote ? Kwa Taarifa yako Russia anahitaji kombora 5 tu za SATAN 2 kuangamiza kila kitu Uingereza na hapo Russia INA stock ya makombora 7500
Pro Russia bana,mnazani nuclear ni risasi hadi ukiwa nazo nyingi ndio unafanya totally destructions? Ukiwa na mabomu yako 20 ya nuclear yanatosha kabisa kuangamiza Dunia.Punguza mahaba upofu kijana, vita vya urusi na NATO unadhani itakuwa ya mawe na fimbo? Unadhani Russia anahitaji kombora ngapi za Nyuklia kuiangamiza Uingereza yote ? Kwa Taarifa yako Russia anahitaji kombora 5 tu za SATAN 2 kuangamiza kila kitu Uingereza na hapo Russia INA stock ya makombora 7500
Umeandika nini? Hata mpangilio tu wa herufi nao ni hadithi?. Unashangaa umemaliza form four?.[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. NAZANI UKUWAELEWA VIZURI PRO RUSSIA. KWAO MWEZI MMOJA NI SAWA NA SIKU MOJA. ILI WALAGHU WAKUELEWE KUWA URUSI NI DHAIFU HII THREAD ULIPASWA HUIANZISHE MWEZI WA 12 MWISHONI MWA MWAKA HUU.[emoji4][emoji4]
Sio 90% tu jomba... ni 100% ya taarifa zote nje ya mipaka kiuchumi, kivita kijamii n.k...Hoja yangu ni hii, zaidi ya 90℅ humu jukwaani maarifa ya vifaa vya kijeshi tunayapata mtandaoni kwa kusoma lakini mwenzetu badala ya kujifunza usiyoyajua unashupaza shingo kuona unajua kila kitu, elimu ni bahari bandugu
Neno 'nchi pekee' andoa hapo.....Russia ndo nchi pekee duniani yenye first and second nuclear strike hivyo hata ukimvizia na kuwaua warusi wote bado ana uwezo wa kukuangamiza kabisa kupitia mfumo wake ambao unaitwa perimeter au dead hand au silo ambao ukidetect tu moshi au radioactive basi mfumo huo utaruhusu makombora kuachiwa automatic
Nioneshe wapi nimesema hazionekani. Wapi?Akili zako size ya nyeto tu jomba aliyekwambia vile hakukosea... Maelezo mengj, Punic nyingi ajab zote pumba tu. Mwanzo umesema haziezi onekana tukakukanusha unadanganya.
Ukaja na neno "stealth"... ukihisi na ujuaji uchwara wako umeongea cha maana tukakueleza kua "stealth" maana ake n "difficult to trace" ila haina maana ya kuwa "untraceable"...
Sasa unakuja na pumba nyingine ati kwani ukiitrack utakuwa umefanya nn? What a coward... Tulikuwa tunazungumzia kuonekana au kuizuia...? We jamaa n Ndezi sana tena mno. Una akili za "kipunga" sana dogo.
Huo ujuaji wa kisee** haukusaidii kitu mdogo wang kaa kwa Password tu usidhihirishe ugolo mwingi uliouhifadhi kichwani.
Qoute and comment kwenye kitu ulichokielewa and be ready kuwa corrected hio ndio sifa ya educated one na si as"""le like you...
Putin mikwara imezidi.Leo unatimia mwezi mmoja kamili toka Urusi avamie Ukraine
Na Urusi hajafanikiwa kuteka Ukraine
Dunia ipi unayoizungumzia inaangamizwa na mabomu 20? Unadhani dunia ni kijijin chenu na vijiji jirani vinavoizunguka? Ninachokuambia ni kwamba ikitokea wakajitekenya hapo NATO na kuingia vitani na Urusi hawatakuwa na uwezo wa kuvumiliaPro Russia bana,mnazani nuclear ni risasi hadi ukiwa nazo nyingi ndio unafanya totally destructions? Ukiwa na mabomu yako 20 ya nuclear yanatosha kabisa kuangamiza Dunia.
Yanaanzia KremlinVip maandamano yanaanzia wapi?View attachment 2162505