T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Sasa hili unalosema sasa ndio lilikufanya uone sina ubongo. Kisa nimeonesha ambacho NATO Secretary amesema? Sasa kati yangu na wewe asiye na ubongo nani, kauli zitolewe na NATO alafu njaa uniletee mimiHoja yangu ni hii, zaidi ya 90℅ humu jukwaani maarifa ya vifaa vya kijeshi tunayapata mtandaoni kwa kusoma lakini mwenzetu badala ya kujifunza usiyoyajua unashupaza shingo kuona unajua kila kitu, elimu ni bahari bandugu
Ukibishana na Pro Putin sasa hivi utaishia kutukanwa,achana nao washavurugwa na kushindwaKwahiyo mkiwa vitani kule utasema mimi sio mwanajeshi kisa ulitokea JKT? Una silaha, kila kitu, uniform na uko uwanja wa mapambano je unataka tukuite muokota makopo au nani?
Hii Urusi si imeenda na conscripts wengi tu ambao wanapigwa risasi kama wengine na wanafanyiwa the same. Huwaoni hata Chechens?View attachment 2162507View attachment 2162509View attachment 2162510
Hilo ndilo wasilolijua mkuu. Achilia mbali USA na Urusi, inapokuja nyuklia hata Uk wanaweza kuimaliza Dunia.Pro Russia bana,mnazani nuclear ni risasi hadi ukiwa nazo nyingi ndio unafanya totally destructions? Ukiwa na mabomu yako 20 ya nuclear yanatosha kabisa kuangamiza Dunia.
Propaganda hizo, hao ni NATO na Ukraine wanaigiza.... Alisikika Mrusi fulani aishiye kwa shemejiMazishi ya high ranking military officers yanaendeleaView attachment 2162511
😂 😂 😂 😂 😂 Unaandika utadhani uko Kremlin.......Dunia ipi unayoizungumzia inaangamizwa na mabomu 20? Unadhani dunia ni kijijin chenu na vijiji jirani vinavoizunguka? Ninachokuambia ni kwamba ikitokea wakajitekenya hapo NATO na kuingia vitani na Urusi hawatakuwa na uwezo wa kuvumilia
Kama vita vya kawaida zidi ya dhaifu aliejirani yake kabisa anaepewa msaada na hao West vinamshinda ndio ataweza kupambana kwa Nuclear na NATO sembuse Marekani?Dunia ipi unayoizungumzia inaangamizwa na mabomu 20? Unadhani dunia ni kijijin chenu na vijiji jirani vinavoizunguka? Ninachokuambia ni kwamba ikitokea wakajitekenya hapo NATO na kuingia vitani na Urusi hawatakuwa na uwezo wa kuvumilia
Upo Joannah shosti angu?Google.
Watapigwa conventional war ambako walidhani kupeleka misururu ya magari ndio nguvu za kijeshi wakawa proved wrong. Watakimbilia nuclear weapons ambako wanadhani ndio wana uwezo ila hawatoamini, nukes kila mtu anazo wanataka kutisha watuHilo ndilo wasilolijua mkuu. Achilia mbali USA na Urusi, inapokuja nyuklia hata Uk wanaweza kuimaliza Dunia.
Sasa hivi wale mashabiki wake wote wameamua kukaa kimya wamebaki watatu tuu humu nao muda si mrefu watatoweka maana sasa wamebaki na story za nuclear tuu kana kwamba anazo yeye peke yake.Putin sawa na Kiduku, mikwaraaa mingiii!
Akitimba field hamna kitu.
Wakati Marekani miaka yake 20 Afghanistan na Iraq kwa pamoja hakuwahi pata vifo kufikia hapa
Watakwambia ni propagandaLeo unatimia mwezi mmoja kamili toka Urusi avamie Ukraine
Na Urusi hajafanikiwa kuteka Ukraine
Unachosema ni kweli kabisa na vilivyopo mtandaoni ni kwa uchache ya vilivyopo. Dunia ina mengi sana hii lakini kuna njemba ina smartphone anaona kaiweka dunia nzima kiganjaniSio 90% tu jomba... ni 100% ya taarifa zote nje ya mipaka kiuchumi, kivita kijamii n.k...
Af kidogo flan hivi na mahaba yake baada ya kupekua page ya kwanza na ya pili anajikuta anajua kiiiiila kitu kuliko wenye nazo. Ajikuta aijua mifumo yote ya ulinzi ajab kwa kusoma articles mitandaoni.
Kama info nyeti za kiusalama ziko open kiasi hicho tungekuwa wapi mda huu? Imagine yule kamanda Orio anashindwa kutamka details kuhusu jeshi mahakaman tena chini ya kiapo. Anaweza kwenda kuzianika online?
Vitoto vingine bn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku yake itafikaANYONGWEEEEEE ✊✊✊✊
Umeandika nini? Hata mpangilio tu wa herufi nao ni hadithi?. Unashangaa umemaliza form four?.
So, Sad!!. 😢😢