myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kinachoweza kutua New York kinaweza kutua pia Moscow..N
Shambulio LA nuclear unajikinga na mask hapo USA haamini mzoga unaenda kutumwa sebuleni kwake. Wajiandae kisaikolojia kuona jiji LA New York likiteremshwa kama bendera
Moscow anasilaha hatari zaidi za nuclear.kwahiyo Marekano hawatapata Muda hata wa kunywa maji.Kinachoweza kutua New York kinaweza kutua pia Moscow..
Hahahahaha jamaa muhuni sana mzee yani ndo ile nipige ngumi ya sikio nikupige ngumi ya jicho halafu nikuulize unaonaje😅Ha ha ha ......
Putin mtu smart Sana aisee.
Kwaiyo watalazimika kununua kwa rubee, afu watafuata exchange rate za benki kuu ya Russia.
Anaetaka anunue, asiyetaka aache[emoji1][emoji1][emoji1]
Hii ndo inaitwa BOSS HANUNIWI[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah wee jamaa bhanaWakuu nao kila dalili kituo kinachofata ni poland au slovakia
Hahaha...Hahahahaha jamaa muhuni sana mzee yani ndo ile nipige ngumi ya sikio nikupige ngumi ya jicho halafu nikuulize unaonaje[emoji28]
Hahahahah na hiki ndicho anachokiogopa biden na machoko wenzake wa NaTO. Mrusi haogopwi kizembe zembe tuLabda hujafuatilia MAREKANI hawezi kupelekea Ndege zake asionekane Russia anauwezo wa kufanya chochote.View attachment 2161927
So hii itakuwa Episode ya ngapi kwenye hii movie anayohisi yupo studio anatoa script[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Zelensky kaomba dunia iandamane kupinga operation ya urusi. Hapa Tanzania tukutane wapi kuanza maandamano?
Una ndoto.. lakini haina uhalisia.Moscow anasilaha hatari zaidi za nuclear.kwahiyo Marekano hawatapata Muda hata wa kunywa maji.
Sijui nani kawadanganya hizo nuclear weapons wanazo pekeyao. Kwanza NATO inanyingi kuliko mrussiKinachoweza kutua New York kinaweza kutua pia Moscow..
Anasema Nchi rafiki, Zitanunua kwa pesa yao. Aiseh
Wapeeeee wapeeeee za kichwaaaaa......South Korea launched a number of ballistic and cruise missiles towards the Sea of Japan in response to a North Korean missile launch, the Yonhap news agency reported.
Galip SV View attachment 2162635
Labda Poland ya KibitiWakuu nao kila dalili kituo kinachofata ni poland au slovakia
Ushabiki tu unawatesa...Sijui nani kawadanganya hizo nuclear weapons wanazo pekeyao. Kwanza NATO inanyingi kuliko mrussi
[emoji298]️ The supply of weapons by US and NATO to Ukraine is fraught with consequences and poses a threat to the security of civilians, Russia's Foreign Ministry says
Hapo kinachoangaliwa nani wa kwanza kuKinachoweza kutua New York kinaweza kutua pia Moscow..
Submarine pembezoni mwa urusi zinakaa wapi kamanda? Urahisi wa kuwahi kuipiga Urusi ni kutokea Ukraine pekee ambayo njia hiyo imeshindikanaUna ndoto.. lakini haina uhalisia.
Unadhani USA wakitaka kushambulia kwa nyuklia zitatoka Ardhi yao!! Kuna submarine pembezoni mwa Urusi zitamalikza kazi 😂 😂
Huna akili broo jaribu kutumiaga akili ata siku moja moja mzee duuh siamini kama umeandika pumba kama izi bob!!Hapa badaye inaingia China,India,Venezuela, Syria na baadhi ya mataifa yanayozalisha mafuta,tumaliza kabisa mambo ya USA $ dominance.Hapo ndio watu watajua uchumi wa USA unalingana na wa Nigeria.