Mgodo Mgodoki
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,399
- 1,368
Ndio mlichobaki nacho hicho,ikija vita ya nuclear na Russia akibananishwa sujui mtaleta utetezi gani. Maana vita vya kawaida tayari anaelekea kushindwa ndio maana sasa hivi kila muda anataja nuclear.Jamani Russia anamabomu hatari ya nuclear kuliko nchi yoyote ndo maana NATO anaepuka vita ya moja Kwa Moja na urusiView attachment 2163014
WAMEANZA KUJITOKEZA SASA WANASEMA DUNIA NI YAO [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji389][emoji1630] Wealth Management Group Rothschild & Co. will no longer accept new clients with Russian citizenship, Bloomberg reports, citing sources.
To date, the company has 70 Russian clients.
Hao walianza kutuma hizo clip za games mda mrefu toka vita inaanza wakiwa wanamsifia ghost of kyiv sijui ghost kaishia wapi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Inafikia hatua serikali inapost kijiclip cha game wakidai wanadungua ndege za Russia
View attachment 2163005
Check hiyo video apo chini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kama ushawah cheza game utaielewa [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
View attachment 2163010
[emoji1255][emoji200] Official account of Ukrainian ministry of defence uploading Arma 3 videos [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Silaha zilipelekwa Poland tangu wakati wa Bush JrSijaona taarifa kwamba NATO wameweka silaha za kinyuklia Poland. Hazihitajiki.
Roketi kwenye nyambizi za Marekani na Uingereza ni aina ya Trident II zinafikia shabaha hadi umbali wa kilomita 11,000.
Zinaweza kufika Moscow hata kutoka Madagaska au karibu na Zanzibar bila matatizo. (Hakuna anayetaka kutumia silaha hizo, maana kila upande unazo na mara wanaanza kuzitumia, ni mwisho wa Urusi, mwisho wa Marekani, mwisho wa nchi nyingine - ningehisi pia mwisho wa Tanzania unawezekana maana sioni jinsi gani serikali yoyote itadumu kiasi cha uharibifu na njaa ambacho kingetokea hadi sehemu zetu za Afrika).
Tena hao US hawataki vita iishe haraka kuna manufaa wanapata hawapeleki silaha bure mwisho wa vita kuna madeni makubwa Ukraine itatakiwa kuyalipa
Wachina fitna. Ndio walewale authoritarian regimes.
Endeleeni kudanya Ukraine inageuka magofu tatizo mnaangalia Sana BBC.ukraine ni mtoto mdogo Sana Kwa Russia.Ndio mlichobaki nacho hicho,ikija vita ya nuclear na Russia akibananishwa sujui mtaleta utetezi gani. Maana vita vya kawaida tayari anaelekea kushindwa ndio maana sasa hivi kila muda anataja nuclear.
Kuna habari hizi pia za Biden kufaidika na UkraineHabari za kitambo ndo mnarecycle
Wakati ukizungumzia hizo nyuklia za Marekani ambazo Max zaweza fika umbali wa km 12,000, nyuklia za Russia zaweza kufika umbali hadi wa km 16,000.Sijaona taarifa kwamba NATO wameweka silaha za kinyuklia Poland. Hazihitajiki.
Roketi kwenye nyambizi za Marekani na Uingereza ni aina ya Trident II zinafikia shabaha hadi umbali wa kilomita 11,000.
Zinaweza kufika Moscow hata kutoka Madagaska au karibu na Zanzibar bila matatizo. (Hakuna anayetaka kutumia silaha hizo, maana kila upande unazo na mara wanaanza kuzitumia, ni mwisho wa Urusi, mwisho wa Marekani, mwisho wa nchi nyingine - ningehisi pia mwisho wa Tanzania unawezekana maana sioni jinsi gani serikali yoyote itadumu kiasi cha uharibifu na njaa ambacho kingetokea hadi sehemu zetu za Afrika).
Hii si sahihi. Sijaona taarifa kwamba kuna silaha za nyuklia nchini Poland, tangu silaha za Kirusi ziliondolewa baada ya mwisho wa ukomunisti.Marekani alishaweka Nuclear Poland na Turkey muda mrefu sana, na hili ndilo lilifanya Russia ajiondoe kwenye ule Mkataba wa START.
Unazifahamu Silos!!?? Hachana na za kutunza Chakula!!? ... Jichanganyeni...Urusi ana nyuklia submarine ngapi? vs USA..????
Thubutu!!!Tujuzeni kinachoendelea kwenye hicho kikao cha NATO kinachofanyika Belgium kama wameamua kupeleka majeshi ukraine
Hata wasipeleke. Wamuache tu aendelee na Ukraine.Tujuzeni kinachoendelea kwenye hicho kikao cha NATO kinachofanyika Belgium kama wameamua kupeleka majeshi ukraine